Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,179
- 2,294
Hakuna kosa lolote chadema sio genge la wahuni kama ccm wafiraji na watekaji.Na hili ndio kosa kubwa,tusitengeneze watu tuunde mifumo imara na taasisi imara.
Hakuna kosa lolote chadema sio genge la wahuni kama ccm wafiraji na watekaji.Na hili ndio kosa kubwa,tusitengeneze watu tuunde mifumo imara na taasisi imara.
Una uelewa finyu hata kwenye mambo madogo, mtoa mada kauliza kwanini CCM wanamshambulia Heche, wewe unakimbilia michango ya Chadema. Anayekulipa na yeye ni kama wewe tuGentleman,
heche ni fisadi wa pesa za chadema,
na ndio maana wanachama wa chadema hawataki tena kukichangia pesa chama chao mpaka heche apigwe chini na mkutano wa baraza kuu la chadema taifa September 15 🐒
Gentleman,Una uelewa finyu hata kwenye mambo madogo, mtoa mada kauliza kwanini CCM wanamshambulia Heche, wewe unakimbilia michango ya Chadema. Anayekulipa na yeye ni kama wewe tu