Ila wewe ndiyo una RUKSA ya kutumia miguvu kumpamba marehemu ambaye hayupo?? Wewe Liwagu una akili ya pwagu kabisa. Wewe unatumia nguvu kumsifia miradi halafu unasema Mimi nisitumie nguvu kusema maovu yake? NONSENSEHuna haja ya kutumia miguvu kupambana na marehemu sababu hayupo.
Miaka mi 5 tu imetosha kumuwekea magu kuwa kiongozi Bora wa mfano katika kupambana na umaskini, angalia miradi yote ya kimkakati akili zitakurudia.
Sibishanagi na wajingaAacha upotoshaji Mitume ndio wanatajwa sana kwenye nyumba za ibada NK.
Huyo shetani unamtaja sana kwenye ibadazenu za kishirikina huko
Tuliza ubongo wako kidogo, nani amekuambia Kuna ubishi hapa.Sibishanagi na wajinga
Muwe mnaona aibu kidogo na mjaribu kuwa wazalendo.Ila wewe ndiyo una RUKSA ya kutumia miguvu kumpamba marehemu ambaye hayupo?? Wewe Liwagu una akili ya pwagu kabisa. Wewe unatumia nguvu kumsifia miradi halafu unasema Mimi nisitumie nguvu kusema maovu yake? NONSENSE
Nasema kila mtu ashinde MECHI zake, wasomaji wataaamua siyo wewe
Kwa mujibu wako wewe, ila watanzania tunaoipenda nchi Magufuli was the best President of this Era. Hata baba mkali huchukiwa na watoto wakiwa wadogo ila humshukuru sana uzeeni sababu nafasi anazowatengenezea kimaisha huwa ni za muhimu kuliko starehe za kitoto.Na Magufuli alikuwa Rais katili kuliko woote!
kwasababu aliua na kutesa wapinzani wake.
alipora korosho za wakulima huko kusini akitumia JWTZ
Alijenga uwanja wa ndege kijijini kwao bila kufuata sheria za manunuzi wala kupitishwa na bunge (kinyume kabisa na katiba na sheria)
Alinunua ndege bila kufuata hayo nliyosema hapo juu
aLIKAA Ikulu miaka 5 bila kupandisha madaraja wala mishahara kwa watumishi wa umma
Yupo wapi ben sanane? Anzory Gwanda na Alphonso mawazo? waliwafanya nini watu hawa?
Nani alimminia TUNDU LISU Marisasi yale pale Dodoma mchana ule wa jua kali ? upo wapi upelelezi wa sjauri lile la kinyama kabisa?
ACHA utani, Mkuu nina deni naye HUKO aliko, siku ikifika tutazichapa haswaWataalam wa siasa mnisaidie kunielewesha. Kwanini kila kona ya nchi mtu anayeongelewa sana kwenye mijadala ni Magufuli?
Mwanzoni nilijua ni ishu temporary kutokana amekufa akiwa madarakani, ila kila kukicha ni kama moto unaotambaa kwenye nyasi kavu zilizotandazwa.
Of course kuna upande unamsifu sana na kuna upande unamsema vibaya sana.
Swali langu kwa nini yeye na kuna wastaafu wengi tu na walifanya mambo mengi (mabaya na mazuri)?
Maana nnaona dalili ya kizazi cha sasa awa waliozaliwa kuanzia 1997 hapo kuendelea wanaanza kumtumia kama reference as tulivyofanya sisi watu wazima kwa Nyerere.
Kwa hiyo Sukuma Gang inayarajia Magufuli atakujia ndotoni akupe teuzi? Ndiyo maana unaogopa kumkosoa kwenye UHAYAWANI aliofanya?Muwe mnaona aibu kidogo na mjaribu kuwa wazalendo.
Marehemu atawanyima usingizi kwa miaka mingi sana ijayo kwasababu alikuwa mzalendo na mkweli.
Haku pepesa macho Wala hakutafuna maneno kwenye mambo yanayo husu taifa.
Kama ulikuwa cheti feki umejionea mwenyewe kilicho tokea.
Alikuwa mkweli na ukweli unatabia ya kudumu milele.
Tegemeeni kumuona akiwajia usiku kwenye ndoto maisha yenu yote.
Ilimradi mnaogopa kuwajibishana kwasababu ya urafiki na kuogopa kusemwa vibaya, basi mtaweweseka popote mtakapo sikia jinalake.
Anayemuombea heri ni muuaji mwenzie.Pia zipo familia za mamilioni ya watanzania wakiwepo wajomba zako na nduguzako vijijini kwenu huko wanamuombea heri na raha ya milele huko mbinguni astarehe kwa amani.
Despite miga threats.
Ni kweli aliwagusa kwa kuwatesa, kuwafunga, kuwaua, kuwateka nkMagufuli alifanya kazi ambayo watanzania wengi aliwagusa ndiyo maana ataongelewa sana.pamoja na lile kundi la msoga gang kulipwa pesa kumchafua lakini hachafuki.
Pole sana.ACHA utani, Mkuu nina deni naye HUKO aliko, siku ikifika tutazichapa haswa