music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 500
- 888
Msoga gang wangeweza kumuweka mtu wao 2015 hakika nchi ingeshapigwa mnada.Magufuli alifanya kazi ambayo watanzania wengi aliwagusa ndiyo maana ataongelewa sana.pamoja na lile kundi la msoga gang kulipwa pesa kumchafua lakini hachafuki.
Nguvu hipi Mkuu?Ndiyo maana Umoja party inapigwa vita kwa sababu nguvu ya Magufuli siyo ya kawaida
Dikteta kapotelea mavumbiniNdiyo maana Umoja party inapigwa vita kwa sababu nguvu ya Magufuli siyo ya kawaida
Na Magufuli alikuwa Rais katili kuliko woote!Ukiwatoa Nyerere, Mkapa na Magufuli waliobaki walikuwa wanafilisi nchi. Sasa wakumbukwe kwa lipi ?
The end justified the meansNa Magufuli alikuwa Rais katili kuliko woote!
Timu gaidi watulie hiki chuma hawakiwezi
Kwa ndani kabisa, haya mambo ya Ukatoliki na Uislam tunashindwa kuwa na common say towards viongozi wetu. Wametugawa nasi tukawezekana. #UdiniUkristoVsUislam. Viongozi wote have got both strengths and weaknessesUkiwatoa Nyerere, Mkapa na Magufuli waliobaki walikuwa wanafilisi nchi. Sasa wakumbukwe kwa lipi?
Katili kwa mafisadi na walamba asali.Na Magufuli alikuwa Rais katili kuliko woote!
kwasababu aliua na kutesa wapinzani wake.Wataalam wa siasa mnisaidie kunielewesha. Kwa nini kila kona ya nchi mtu anayeongelewa sana kwenye mijadala ni Magufuli?
Mwanzoni nilijua ni ishu temporary kutokana amekufa akiwa madarakani, ila kila kukicha ni kama moto unaotambaa kwenye nyasi kavu zilizotandazwa.
Of course kuna upande unamsifu sana na kuna upande unamsema vibaya sana.
Swali langu kwa nini yeye na kuna wastaafu wengi tu na walifanya mambo mengi (mabaya na mazuri)?
Maana nnaona dalili ya kizazi cha sasa awa waliozaliwa kuanzia 1997 hapo kuendelea wanaanza kumtumia kama reference as tulivyofanya sisi watu wazima kwa Nyerere.