Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kama wanavyoonekana kwenye picha hapo chini hao wananchi wamejenga kwenye Mto, lkn kuna watu kama kina fisadi Lowasa & Co. wanaishi Masaki na wanajifanya wana utu sana klk wengine wote na kuwaambia wabakie hapo hapo lkn hawawakaribishi kuishi nao Masaki!