Hawa ni wasomi na ni watu wasiopindisha ukweli ...DIKTETA angenuna. Aliwaalika maINTAPRINTINUA tu....
Inaitwa “devide and rule”
Ni vema ukijibu swali la mleta mada badala ya mapicha ya kishirikinaNadhan hata kwenye kikao hiki hawakualikwa ko sio ajabu View attachment 1006410
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeuliza hao wanne, hao wengine ni wako.
Angalau wewe umeukaribia ukweli, kwa hiyo waliokwenda ikulu walikuwa wana kadi za CCM.Hao wana kadi za chadema!
Askofu Frederick Shoo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).
Askofu Fredrick Shoo: Wale wote wanaojaribu kupotosha ukweli wa waraka wa Maaskofu kwa kuupaka matope ni wajinga - JamiiForums
Askofu Bagonza:
Askofu Bagonza: Kusifiwa si kigezo kuwa unafanya vizuri. Ni upatikanaji wa fadhila zisizolipiwa bila kudaiwa - JamiiForums
Askofu Niwemugizi
Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake - JamiiForums
Askofu Ngalalekumtwa
Askofu Ngalalekumtwa: Katiba isiyotokana na Rasimu ya Warioba ikataliwe - JamiiForums
AU HAWAKUPATA MWALIKO?
AU wale walikuwa viongozi wa dini na hawa ni viongozi wa kiroho? Nauliza tu.
Walitengwa au walijitenga!
Picha imepigwa kwenye kikao cha chama chako leo imekuwa ya kishirikina kwel dunia ina mengiNi vema ukijibu swali la mleta mada badala ya mapicha ya kishirikina
Askofu Frederick Shoo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).
Askofu Fredrick Shoo: Wale wote wanaojaribu kupotosha ukweli wa waraka wa Maaskofu kwa kuupaka matope ni wajinga - JamiiForums
Askofu Bagonza:
Askofu Bagonza: Kusifiwa si kigezo kuwa unafanya vizuri. Ni upatikanaji wa fadhila zisizolipiwa bila kudaiwa - JamiiForums
Askofu Niwemugizi
Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake - JamiiForums
Askofu Ngalalekumtwa
Askofu Ngalalekumtwa: Katiba isiyotokana na Rasimu ya Warioba ikataliwe - JamiiForums
AU HAWAKUPATA MWALIKO?
AU wale walikuwa viongozi wa dini na hawa ni viongozi wa kiroho? Nauliza tu.
Hakuna sababu ya kuungwa mkono na viongozi wa dini wanafiki. Viongozi wa dini wanatakiwa na kauli zinazosimamia ukweli na siyo kumfurahisha mtu.Umewapigia simu ukawauliza kwanini hawakuwepo?. Muwe waangalifu sana katika kila mnachoamua kukifanya.
Mnatengeneza mazingira ya kipuuzi ya kuhalalisha ugomvi na viongozi wa dini, wakati kesho au kesho kutwa watu hawa hawa mtawahitaji kisiasa au kijamii.
Mnahitaji uwepo wa mtu au watu wachache wenye hekima inayoyaongoza maamuzi, vinginevyo mwisho wenu haupo mbali.
Askofu Frederick Shoo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).
Askofu Fredrick Shoo: Wale wote wanaojaribu kupotosha ukweli wa waraka wa Maaskofu kwa kuupaka matope ni wajinga - JamiiForums
Askofu Bagonza:
Askofu Bagonza: Kusifiwa si kigezo kuwa unafanya vizuri. Ni upatikanaji wa fadhila zisizolipiwa bila kudaiwa - JamiiForums
Askofu Niwemugizi
Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake - JamiiForums
Askofu Ngalalekumtwa
Askofu Ngalalekumtwa: Katiba isiyotokana na Rasimu ya Warioba ikataliwe - JamiiForums
AU HAWAKUPATA MWALIKO?
AU wale walikuwa viongozi wa dini na hawa ni viongozi wa kiroho? Nauliza tu.
NILITAMANI MZEE LUSEKELO UPAKO AONGEE SIJUI KWA NINI ALIKAA KIMYA HUWA ANA MANENO YA HEKMA SANA
Sent from my iPhone using JamiiForums
Viongozi wa dini!Waliokwenda ikulu ni wanachama wa CCM?
Shehe shehenaSHEIKH PONDA SIJAMUONA SHEIKH KILEMILE WA TANDIKA SIJAMUONA SHEIKH KISHKI SIJAMUONA MASHEIKH WA MIKOANI SIJAWAONA WALIKUJA NI WAO BAKWATA KATIBU MWEKA FEDHA NA MASHEKHE NJAA WALIOKOTWA BUNGONI
Sent from my iPhone using JamiiForums
So walioitwa wana kadi ya CCMHao wana kadi za chadema!