Kwanini hauendi kwenye saili za UTUMISHI?

Nyomi ya leo
IMG-20230817-WA0083.jpg
 
INASIKITISHA SANA

Hiyo nyomi hapo wanaenda kuwania nafasi chache tu zilizotangazwa.

Vijana shtukeni sekta ya kilimo ina fursa nyingi sana

Kazi zenyewe ni za 765k per month. Kila la kheri kwenu ila mtakuja kushtuka kwa kuchelewa na umri umeenda

Imagine kijana anaanza kazi ana miaka 33 baada ya miaka 27 tu kashastaafu 🤔

Kwa kuwa hana uzoefu na mtaa au biashara akipewa kiunua mgongo zote au nyingi ya hizo pesa anazipoteza mwisho wa siku presha, kisukari tunazika mstaafu akiwa na 65

Mitaji mkuu shida.
 
Back
Top Bottom