Kwanini hasa minara ya simu haifanyi kazi ipasavyo baadhi ya maeneo?

marcs

JF-Expert Member
Nov 2, 2016
1,001
2,000
View attachment 453930 View attachment 453931
Je ni nini kimekosewa au kusababisha minara ya simu kutokufanya kazi ipasavyo kuna utofauti mkubwa katika mimara ya vijijini na ya mjini.

Minara ya vijijini inaonekana kuwa na nguvu zaidi ya minara ya mjini kwa mfano minara ya vijijini huwa mnara hadi mnara ni km 80 watakaokuwa watapata mawasiliano.

Lakini imekuwa tofauti wa minara ya mjini kwani ipo karibukaribu lakini sometime hakuna network waweza kuta mnara hadi mnara km 20 lakini hakuna kitu.

Kwa mfano katika road ya Kigamboni Kongowe. Minara yote ya makampuni ya simi ipo Kibada kuna mnara 4 sasa cha ajabu kutoka Kibada mnara upo Tuangoma km 10 lakini hapo kati Funcity, Mwembemtengu hakuna network.

Makampuni yote ya simu hayashiki yaani hakuna network hiyo ni hapa Dar kwanini inakuwa hivyo? Au mnara imeweka mahali paspo huska?

Wenye makampuni ya simu liangalieni hili.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom