Binafsi siwezi kumchoma mwanaume na maji ya moto, Kama kuchepuka achepuke kwa raha zake atakavyojisikia yeye, Usingizi ni kitu cha Muhimu sana kwa binadamu.mkitafutiwa wasaidizi mnachoma waume zenu na Maji ya Moto, mkiombwa Mzigo mnajifanya mmechoka
Binafsi siwezi kumchoma mwanaume na maji ya moto, Kama kuchepuka achepuke kwa raha zake atakavyojisikia yeye, Usingizi ni kitu cha Muhimu sana kwa binadamu.
Una wake wangapi?Kiukweli inaudhi sana wengine hawawezi kuomba mechi kabisa usipoomba na yeye anauchuna
Muamshe omba mchezo kama amechoka si atakuambiaSasa mtu kama umechoka? Uamuamshe tuu mtu kisa eti kisa mgegedo, kugegedana kupo tuu.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji106]Ushawahi kusikia Mtu kajinyonga kwa kukosa usingizi ?
Jee hujawahi kusikia Mtu kajinyonga kwa ajili ya 'Pambano'?
Halafu unajaribu kufananisha 'pambano' na Vitu vya kijinga!
MmojaUna wake wangapi?
Sawa.Muamshe omba mchezo kama amechoka si atakuambia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] techinique nzuri hyoMimi namuamsha ila kijanja...naweka mkono kwenye lolipop nashika taratiiiibu...anaamka tunaanza mazoezi...
Usiku wa manane ndio safi sasaSipendi kuamshwa usiku wa manane, tufanye kabla ya kulala au alfajiri kabla hatujaamka
[emoji23][emoji23]Usingizi hauna dudu au dude.
Cha muhimu kama usingizi umekata mwamshe mwenzako
Watu wanachelewa airport reporting time kwa ajili ya usingizi sembuse dyudyu
By the way raha na starehe ya usingizi huwezi linganisha na pyupyu so zote statehe na ukiona mtu haamki kachagua starehe anayoipenda zaidi
Yaani bora hata huyo wako anaamka mnaanza game, me wa kwangu haamki ndiyo kwanza atakupiga hadi mateke, kuhusu kuomba game hata ile wakati wa kawaida ndiyo hawezi kabisa yaani nisipoomba mm na kuforce force hamna kitu ntapata kabisa. Huwa sielewi huyu mwanamke kuna mtu anamkanyaga huko nje au ni nnYaani mpaka tuamke sisi mmekuwa mnalala wengine wabinafsi yaani mkilala tusipowaamsha ndio basi tena.
Hii inaudhi sana mbona kama hamtaki tukiwaamsha mnapiga kazi kama mlikuwa macho vile kumbe mnakuwa mnatuchora tuu.
Tuamsheni bwana acheni dharau kwani raha si yetu sote.
hahahahaUsingizi hauna dudu au dude.
Cha muhimu kama usingizi umekata mwamshe mwenzako
Watu wanachelewa airport reporting time kwa ajili ya usingizi sembuse dyudyu
By the way raha na starehe ya usingizi huwezi linganisha na pyupyu so zote statehe na ukiona mtu haamki kachagua starehe anayoipenda zaidi
Kuna changamoto kubwa sana kama user department itakua na maumbile ya kuchelewa kushika motoWakati mwingine ili kuweka rekodi sawa, bora usubiri user department iamshe maombi... vinginevyo utaitwa mbakaji na mengine meeeengi
Anti mbona umefurahaiHa ha ha ha ha
Kumbuka cjaingia kwenye jukwaa la MMU nimeingia kwenye New posts ndo nikakutana na hii kituUngekuwa busy kutafuta pesa usingekuwa na muda wa kuingia MMU mida hii
Hapana nakuhakikishi ni wanawake wengi walio kwenye ndoa wako hivyoYaani bora hata huyo wako anaamka mnaanza game, me wa kwangu haamki ndiyo kwanza atakupiga hadi mateke, kuhusu kuomba game hata ile wakati wa kawaida ndiyo hawezi kabisa yaani nisipoomba mm na kuforce force hamna kitu ntapata kabisa. Huwa sielewi huyu mwanamke kuna mtu anamkanyaga huko nje au ni nn