hakuna muislam mpuuzi akapigane sehemu kisa kuona muislam mwenzake ananyanyasika.Ugaidi ni mambo yanayotengenezwa kwa manufaa yao binafsi ili kuvuruga tu amani za watu na kugombanisha pia.Mkuu nimeweka hapo link kuna ripoti ya UN yenye ushahidi kwamba huko China kuna waislam million 1 wanateswa kwenye makambi. China haijakana hyo ripoti bali imesema "imewabadilishia makazi wenye misimamo mikali"..... Ikimaanisha tukio ni la kweli sasa basi cha kujiuliza mbona sioni nchi za kiislam kama Iran zikipiga kelele na mbona makundi ya kigaidi sijasikia yakilipua makazi ya wachina huko uarabuni au hata balozi zao ama hata ndani ya uchina yenyewe???
Hapo ndipo pananitatiza
Ok mkuu sasa kma ni miradi ya wahuni tu kwanini wasimtengenezee na China sasa hao magaidi feki?hakuna muislam mpuuzi akapigane sehemu kisa kuona muislam mwenzake ananyanyasika.Ugaidi ni mambo yanayotengenezwa kwa manufaa yao binafsi ili kuvuruga tu amani za watu na kugombanisha pia.
So haiwezekani muislam wa tanzania akaenda kulipua Congo sababu kaona muislam wa Congo ananyanyasika hakunaga mpuuzi huyo.
UGAIDI UNATENGENEZWA,WATU WANAWEKEZA KWA MANUFAA YA KWAO ILI KUVURUGA SEHEMU HISIKA KISHA WAO KUPOTEA NA KUWAACHIA SEKESEKE WENYEWE
Nilishangaa issue ya westgate ama Garissa ziliwekwa front page na Kenya media ili magazeti yauze bila kujua yalichafua taswira ya Kenya kma nchi isiyo salama!!Inawezekana Ugaidi upo pia huko China sema hauripotiwi na vyombo vyao vya habari sababu ya udhibiti mkubwa wa serikali.
pole kijana.....Kina Bwana Utam hawapo huko. Pia China hakuna haki za wanadamu ukileta ujinga unapotezwa
DahActually nmekua nikufutilia Sana kuhusu Hilo #zito junior
Nimekuja kugundua kua China n nchi ya kibabe zaidi ya Russian hasa kwene kudeal na ugaid au vuguvugu za kujitenga hawajamaa hawana salia mtume aisee
Miaka ya Nyuma miaka 2000s' China imesumbuliwa Sana na ugaidi na wanaotaka kujitenga hasa Xianjian regions waishio kabila la uighur ambao wanna asili ya uturuki (Turkish descent)
Wachina wakampeleka afisa mmoja wa serikali ambae aliweza kuituliza TIBETI ( ilikua inataka kujitenga ) ...
Huyu jamaa ndo ameweza kutuliza Sana Jimbo Hilo ambalo linapakana na Pakistan , Afghanistan, Kazakhstan ambako wanaamini vugu vugu la ugaidi ndo linaanzia huko kwa shinikizo la nchi hizo za kiislam...
So CHINA ikaanza mkakati kwa kutight control mipakani no one out no one in....inasadikika Zaid ya watu 2000 kwa kipindi waliuliwa huko wakat China ilitoa takwimu kama iliua magaidi 90 na kitu hivi....
Hiyo n mikakani
HAN CHINESE
Kwa kuhofia eneo Hilo kujitenga ilianza mkakati wakupeleka wananchi wake wengine ambao n wachina dominant (han Chinese) katka Jimbo Hilo la xianjian nakufanya hao HAN CHINESE kuwa wengi 38% zaidi ya wa- uighur ambao ndo wenye asili wa eneo Hilo.....Sasa Apo Kuna kujitenga hapo wakat mmpo outnumbered!
Wanajeshi na police
Kiasi kikubwa Cha wanajeshi wamepelekwa huko...Na wengine wanawekwa kufanya Kaz kama za raia kikinuka wanachukua mtutu....Polisi au wanajeshi Doria mtaan ni kama kawaida
TECHNOLOGIA OF utambuzi
Hapa ndyo majaribio yote ya technilogia tambuzi ,sura,DNA,Giand Data analysis,...na wamehakikisha Kuna camera Kila sehem supermarket,barabaran,kwene mabasi,misikitini ,na mitaani majumbani.....
Kila mkazi huko Yuko kwene database
Kiasi kwamba hao wachina wakiturkish wakienda hata kununua kisu kinaandikwa namba na kuambatanishwa kwenye taarifa za mtu huyo....
Kifupi technologia yote ya ulinzi ipo Jimbo Hilo...
MASPY, CHECKPOINT
Pamoja na yote bado wameweka zaidi ya 1million maspy ambao wanazunguka kwenye nyumba za wachina waturuki hao,na kutoa taarifa kwa wanaemuhisia na itikadi
Checkpoint mbalimbali wanakagua simu ,picha na video za itikadi Kali,na silaha yyte ile
KUUA MISIMAMO MIKALI YA KIDINI
kuvaa baibui,kufuga ndevu nyingi kwa kijana,KUFUNGA,au kuhubiri itikadi unashikwa....shehe lazma achaguliwe na serikal ya China..
DETENTION CENTERS
wamewadetein Zaid ya million 2 according to Western media kwa makosa tofauti au kushukiwa kuwa na silaha,itikadi,unapnga au kuwepo kwa ndugu nje ya nchi...
So kwa hali Hii huyo gaidi ataingilia wapi mipakani wanajeshi,na MASPY,macamera
Kuna jaribio moja lilifanywa kutest surveillance ya beijin....akaingia reporter mmoja wa BBC akapigwa picha alafu akaambiwa atawanyike mtaani aende anakokujua yy aone n muda gan watatumia kumkamata.....
N masaa matatu tu wakamnasa!! Sasa unaeza ona security zao zilivo na nguvu.....n makamera tu dk cfuri wanae
Habari za jioni wana JF, kama kichwa cha habari kinavyosomeka nimekuwa nikijiuliza sana kwamba pamoja na China kuwa ni taifa ambalo limenyanyasa sana waislamu ambao wengi wao wanatokea jimbo la magharibi mwa nchi Tianjeng, ambapo ripoti kadhaa za umoja wa mataifa 2016 ziliripoti kuwa waislam zaidi ya million 1 wamehamishiwa kwenye makambi huku wakiitwa magaidi na wakipata mateso mazito pamoja na ukatili mwingine wa kinyama sasa najiuliza kwanini sijasikia nchi za kiarabu zikipiga kelele au makundi ya kigaidi kama ISIS au Al qaeda kufanya mashambulizi huko china au hata balozi za china maeneo mengine duniani?? Ambapo ni tofauti kabisa kama tulivyozoea kwamba nchi zinazokandamiza waislam hasa mataifa makubwa lazima yakumbane na mashambulio ya kigaidi!!! Najua humu kuna wataalam wa siasa za kimataifa ningeomba mnisaidie na hili swali.
SOURCE:BBC
UN alarmed at China 'detention camps'
Cc Malcom Lumumba chige JokaKuu Richard Wick
Mkuu ndio maana nmefungua uzi weka unachojua tupate uelewa ila kusema mtu hayupo informed afu unaishia hapo haiwezi saidia kujibu swali la uzi.Mkuu yuor not informed, Fuatilia kuhus waislam wanawekwa kizuizini.
Nasikia China anawabana haswa na beberu ndo anawatetea
Anawatetea nani ?!Nasikia China anawabana haswa na beberu ndo anawatetea
Duh!Ni kweli huo mkoa ni wa waislam lakin unaendeshwa kwa sheria za china. Usisahau china hakuna kupiga adhana kule kila mtu na dini yake kimya hakuna kengele wala adhana ni mwendo wa muumin anajua wajibu wake
Aisee!mkuu china ni nchi kubwa sana sasa haiingiliki kirahisi hivyo kama ni misheni ilifeli,halafu ugaidi ni sera maalum ya wazungu ya kutafutia gia ya kuanzisha ugomvi ili kupata rasilimali fulani katika eneo walipangalo au kuanzisha vituo vya kijeshi.sasa wale waislam walio china chini ya makambi ni wale waislam magharibi waliopandikizwa kuanzisha chokochoko sasa mchina kamkoma nyani giladi.kawapa za mwana ukome hebu fikiri kama ameweza kilicontrol kanisa katoliki atashindwa kuvibana viislam uchwara milioni moja.yale wanayowafanya wale waislam ni funzo kwamba kama kuna wengine watajaribu basi watakiona cha mtema kuni. UGAIDI NI WIZI NA UNYANG'ANYI WA KIZUNGU.
Duh[emoji848][emoji119]sio mchezo!Actually nmekua nikufutilia Sana kuhusu Hilo #zito junior
Nimekuja kugundua kua China n nchi ya kibabe zaidi ya Russian hasa kwene kudeal na ugaid au vuguvugu za kujitenga hawajamaa hawana salia mtume aisee
Miaka ya Nyuma miaka 2000s' China imesumbuliwa Sana na ugaidi na wanaotaka kujitenga hasa Xianjian regions waishio kabila la uighur ambao wanna asili ya uturuki (Turkish descent)
Wachina wakampeleka afisa mmoja wa serikali ambae aliweza kuituliza TIBETI ( ilikua inataka kujitenga ) ...
Huyu jamaa ndo ameweza kutuliza Sana Jimbo Hilo ambalo linapakana na Pakistan , Afghanistan, Kazakhstan ambako wanaamini vugu vugu la ugaidi ndo linaanzia huko kwa shinikizo la nchi hizo za kiislam...
So CHINA ikaanza mkakati kwa kutight control mipakani no one out no one in....inasadikika Zaid ya watu 2000 kwa kipindi waliuliwa huko wakat China ilitoa takwimu kama iliua magaidi 90 na kitu hivi....
Hiyo n mikakani
HAN CHINESE
Kwa kuhofia eneo Hilo kujitenga ilianza mkakati wakupeleka wananchi wake wengine ambao n wachina dominant (han Chinese) katka Jimbo Hilo la xianjian nakufanya hao HAN CHINESE kuwa wengi 38% zaidi ya wa- uighur ambao ndo wenye asili wa eneo Hilo.....Sasa Apo Kuna kujitenga hapo wakat mmpo outnumbered!
Wanajeshi na police
Kiasi kikubwa Cha wanajeshi wamepelekwa huko...Na wengine wanawekwa kufanya Kaz kama za raia kikinuka wanachukua mtutu....Polisi au wanajeshi Doria mtaan ni kama kawaida
TECHNOLOGIA OF utambuzi
Hapa ndyo majaribio yote ya technilogia tambuzi ,sura,DNA,Giand Data analysis,...na wamehakikisha Kuna camera Kila sehem supermarket,barabaran,kwene mabasi,misikitini ,na mitaani majumbani.....
Kila mkazi huko Yuko kwene database
Kiasi kwamba hao wachina wakiturkish wakienda hata kununua kisu kinaandikwa namba na kuambatanishwa kwenye taarifa za mtu huyo....
Kifupi technologia yote ya ulinzi ipo Jimbo Hilo...
MASPY, CHECKPOINT
Pamoja na yote bado wameweka zaidi ya 1million maspy ambao wanazunguka kwenye nyumba za wachina waturuki hao,na kutoa taarifa kwa wanaemuhisia na itikadi
Checkpoint mbalimbali wanakagua simu ,picha na video za itikadi Kali,na silaha yyte ile
KUUA MISIMAMO MIKALI YA KIDINI
kuvaa baibui,kufuga ndevu nyingi kwa kijana,KUFUNGA,au kuhubiri itikadi unashikwa....shehe lazma achaguliwe na serikal ya China..
DETENTION CENTERS
wamewadetein Zaid ya million 2 according to Western media kwa makosa tofauti au kushukiwa kuwa na silaha,itikadi,unapnga au kuwepo kwa ndugu nje ya nchi...
So kwa hali Hii huyo gaidi ataingilia wapi mipakani wanajeshi,na MASPY,macamera
Kuna jaribio moja lilifanywa kutest surveillance ya beijin....akaingia reporter mmoja wa BBC akapigwa picha alafu akaambiwa atawanyike mtaani aende anakokujua yy aone n muda gan watatumia kumkamata.....
N masaa matatu tu wakamnasa!! Sasa unaeza ona security zao zilivo na nguvu.....n makamera tu dk cfuri wanae
Ninachoamini ungekuepo dunia ingeuona kumbuka hata izo detention camp zmeoneshwa na media za marekan,Western kama BBC,sky news.....wanaminya vyombo vyao lakin wanashindwa vya nje kwasababu nawawo media za China zipo nchi za magharibi....KUKATAZA NISAWA NA KUSEMA KILA MTU ARIPORT HABARI ZAKE.....Inawezekana Ugaidi upo pia huko China sema hauripotiwi na vyombo vyao vya habari sababu ya udhibiti mkubwa wa serikali.