Kwanini "hakuna" Ufisadi Serikali ya Mapinduzi ZNZ?

Ufisadi hauna dini...Rostam, Yusuph Manji, Kingunge......
Ufisadi hauna kabila.....Daniel Yona, Andrew Chenge, Mgonja....
Hauna itikadi lakini hapa lazima niseme ccm imezidi
Hauna rangi...Jeetu Patel..Mramba
Hauna kiwango cha elimu.... Prof fulani na mkigoma aliyeiba BOT sasa hivi yuko jela
 
Wanajamvi inaonekana tatizo la uhujumu uchumi na ufisadi liko huku upande wa serikali ya Muungano. Kule Serikali ya mapinduzi Zanzibar sijasikia huu uozo. Fisadi au mhujumu uchumi sio lazima ahujumu mabilioni hivyo kama Zenji kuna mafisadi wa vijimilioni tungewasikia.

Je huu usafi wa wenzetu unasababishwa na nini? Wako watakaong'aka naingiza udini, lakini angalia majina ya mafisadi utaona wakristo wanaongoza. Wako watasema nafasi nyingi za uongozi zimeshikwa na wakristo hii kusababisha kuwa na wakristo wengi mafisadi zaidi ya waislamu, kama ndivyo iweje Zenji kwenye viongozi almost wote waisilamu kusiwe na mafisadi japo wa vimilioni?

.......... sasa kama Kanisa na Maaskofu wanatakatisha pesa za wizi unategemea nini !?

Wameenda mbali mpaka wamekula deal na serikali wakatengeneza kitu wanaita M.o.U !

Ajabu wanajenga Makanisa makuubwa kwa kutumia pesa za wizi na dhulma, ndani wanakita Masanamu ......... halafu wakipita barabarani wanamdharau Muislaam aliye vaa suruali fupi !
:horn: MaxShimba
 
Ufisadi hauna dini...Rostam, Yusuph Manji, Kingunge......
Ufisadi hauna kabila.....Daniel Yona, Andrew Chenge, Mgonja....
Hauna itikadi lakini hapa lazima niseme ccm imezidi
Hauna rangi...Jeetu Patel..Mramba
Hauna kiwango cha elimu.... Prof fulani na mkigoma aliyeiba BOT sasa hivi yuko jela

........ Rostam si Muislaam ni mpagani na huyo mwingine haujui Mlango wa Msikiti ..... tena ni Mlevi ! :horn: SOGHOO
 
Last edited by a moderator:
Wa Tanganyika unaanikwa zaidi kuliko ule wa Zanzibar. Abeid Karume kajimilikisha Ardhi wakati wa utawala wake.
Uvumilivu kwa wafichua maovu na ujasiri wa wafichua maovu vinatofautiana kati ya bara na visiwani.
 
Rostam Aziz, Kighoma Malima, Yusuph Manji, Jeetu Patel,Idris Rashid,Yusuf Makamba, Kingunge Ngomable Mwiru, Msabaha, nk. just to mention few, Hawa ni wakristo? Ubaguzi wenu Waislam utawaandama subiri tu. Ndiyo maana hamtaki kuwakamata mafisadi wote, mnabakia kuwaonea Basil Mramba, Yona na Mgonja tu!! Ufisadi hauna dini na wala hauna chama. Watanzania tujifunze kuona dhambi kama ya wote na wala si kuwalinda wahalifu kwa kuwa wako kwenye chama chetu au klabu yetu!!

Rostam ni mpagani usidanganywe na jina, dini yake wanaabudu miti na ni dini ya kale sana ya Waajemi,
Idris rashid alikwiba nini ?
Yusuf Makamba alikwiba nini ?
Msabaha aliponzwa na kusimamia dili za mtia nia wa Urais, yule mwenye mvi nyingi. Kudhihirisha kuwa ni muadilifu hayuko hata kwenye kambi yake ! Ex-Fisadi
 
Last edited by a moderator:
.......... sasa kama Kanisa na Maaskofu wanatakatisha pesa za wizi unategemea nini !?

Wameenda mbali mpaka wamekula deal na serikali wakatengeneza kitu wanaita M.o.U !

Ajabu wanajenga Makanisa makuubwa kwa kutumia pesa za wizi na dhulma, ndani wanakita Masanamu ......... halafu wakipita barabarani wanamdharau Muislaam aliye vaa suruali fupi !
:horn: MaxShimba

You need to do your homework before you talk to me.

https://groups.google.com/forum/#!topic/k-forum/Iqttbg6RT20

https://zanzibariyetu.wordpress.com/2009/04/02/wafanyakazi-hewa-washitakiwe/

Zanzibar siamin kama kuna kiasi cha hela zaidi ya mill 50 hapo utaiba kitu gani
 
Wazenj ni mafisadi wakubwa sana, sema waswahili priority yao wengi wao sio pesa, ni wanawake wazuri, ikiwezekana wa Kiarabu, baasi!! Sasa huku arusha na kilimanjaro mkuu wangu ni kisanga, kama unafikisha miaka 40 lakini huna nyumba za kutosha za kupangisha na magari, pia akaunti yako hata haisomi hata million 100, wewe bado ni boya tu
 
........ Rostam si Muislaam ni mpagani na huyo mwingine haujui Mlango wa Msikiti ..... tena ni Mlevi ! :horn: SOGHOO

Ninavyoelewa mimi ni kwamba kunywa pombe hakumzuii mtu kua muislamu ila kitimoto, maana huku mtaani waislamu wanakunywa pombe mchana kweupe na kuzini ila nyama ya nguruwe hawali kweupe mpaka akuamini sana ndio atakula tena fasta fasta gizani. Hii inanipa imani kwamba kitimoto huenda ikawa haram kweli. Lakini pombe na uzinzi ruksa.
 
Back
Top Bottom