Kwanini hakuna taarifa za wasanii wetu wa muziki na wanasoka kwenye mitandao?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,533
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kwanini wasanii wetu maarufu hapa Tanzania huwezi kupata taarifa zao kwenye mitandao kama Wikipedia ili angalau ujue historia zao.

Ni ajabu kwamba hata wanamuziki wetu wakongwe huwezi kupata taarifa zao zote hasa kwenye mtandao maarufu wa Wikipedia. Mitandao kama Wikipedia ni muhimu kutunza taarifa na historia za muziki wetu

Nashauri wasanii hasa wa muziki waanze kuweka taarifa zao kwenye mitandao maarufu kama wikipedia ili vizazi vije kuwakumbuka.

Wazee wakongwe kwenye muziki wa Tanzania kama akina King Kikii, Makasi nk huwapati.

Nimeona wachache tu kama Platinums na Remmy Ongala.


FOR THE ENGLISH AUDIENCE

I have been wondering for a long time why our famous artists here in Tanzania one can not find their information on networks like Wikipedia to at least know their history

It's amazing that even our oldest musicians you can't find all or just part of their information online e.g. who they are,what they've been doing,their discography etc,; I'd expected to get Tanzanian solo guitar guru and singer Mr Vumbi's history especially on the popular Wikipedia website but it went 0-0 off my expectations. Networks like Wikipedia are essential to keep track of our music information and history of our Tanzanian musicians and their band like the Le Wanyika, ETC

I advise music artists especially to start posting their information on popular networks like Wikipedia so that the next generations will remember them.

Older people in Tanzanian music like Kikumbi Mpango a.k.a King Kikii, Makasi etc. you rarely get their discography and profile online.

I have been able to find only a few musicians like Platinums and Remmy Ongala. Even if you get to find their information it's very much limited and squeezed.
 
Mfano nani?

Tatizo Wikipedia ni sehemu ata wewe unaweza uka create a page wadau tukawa tunajazia jazia nyama.

Sasa wasanii wenyewe wanashindwa ata kua na IT wa kumanage mambo ya mutandaoni unadhani nani atamfungulia page.
 
Ukifuatilia kwa ukaribu utaona ni uelewa, menejimenti na elimu. Ukifuatilia watu/taasisi wenye kujielewa taarifa zao zipo.

Nadhani ni wakati kwa wataalamu wa Wikipedia kushughulikia hii tenda kwa kuwafuata wahusika kukusanya na kuchapisha taarifa zao.
 
Mfano nani?

Tatizo Wikipedia ni sehemu ata wewe unaweza uka create a page wadau tukawa tunajazia jazia nyama.

Sasa wasanii wenyewe wanashindwa ata kua na IT wa kumanage mambo ya mutandaoni unadhani nani atamfungulia page.
Hiyo ilikuwa Wikipedia ya miaka 6 nyuma hivi sasa Wikipedia ni reliable source | Wao Wiki wanahitaji uthibitisho kuweza kuonesha kurasa na details husika wazi.

cc. Nafaka
 
Bora wasiendelee kuweka tu huko kwenye mitandao. hawa kina kajala na amba ruty bora habari zao tuzijue wenyewe tu humu humu Tanzania..
 
Back
Top Bottom