Kwanini hakuna picha ya mtume wetu Muhammad (SAW)

Kwanini hakuna picha ya mtume wetu Muhammad (SAW)

Kwani kamera zimegunduliwa mwaka gani? Labda tuanzie hapo halafu tujadili sababu na upatikanaji wa picha halisi za Mitume.
Kabla ya ugunduzi wa camera picha zilikuwa zinachorwa kwa mikono
 
Mbona muddy nipo nae hapa buza kwa mpalange?

Ama muddy yupi unayemsemea?
 
Nafahamu alizaliwa Macca akakuzwa na wazazi wake akasoma na kuishi kama wanadamu wengine mpaka umauti ulipomfika akazikwa kama nabii na mtume.

Amekuwa mtu maarufu sana tangu mtoto kwa nini hawakumchora picha ya kumbukizi ili vizazi vijavyo vimuone ndio kwa nini hakuna picha.

Walimfahamu dada zake, kaka zake, wajomba na mashangazi hata rika lake alilokuwa nalo kwanini hata kwa maelezo asichorwe tu, kwa nini inakatazwa na tunaambiwa yeye alikuwa mtu wa watu na mnyenyekevu, alipendwa?

Je watoto/wajukuu hawajui baba/babu alikuwa anafananaje ili watunze kumbukumbu kwa nini hakuna picha hata ya kuchora?

Manabii na mitume wote tunaziona picha zao za kuchorwa ila sio huyu mwamba wa miamba Mohammed SAW kwa nini?

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna picha ya Mtume gani unayoijua?
Tutumie hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aidha Bwana Mtume alikua na watoto saba ambao alizaa kwa mke mmoja tu na ni Mwanae Fatma pekee ndiye aliyekua hai wakati wa kifo cha baba yake.

Naomba ufafanuzi hapo mkuu! Kwani wale wake zake wengine hakuzaa nao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio.

Kuna jambo ambalo halisemwi sana misikitini kuhusu maisha ya Bwana Mtume. Hakua akioa kwa tamaa za ngono kama ambavyo wasio Waislam wamekua wakiaminishwa.

Bwana Mtume S.A.W alikua akioa kusitiri, Bi Khadija Thuwaib aliyekua ndiye barafu moyo kwakua walitoka naye mbali sana na hakuoa mke mwingine mpaka Bi. Khadija alipofariki.

Samahani kwa kukupa nyongeza ambayo labda hukuihitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafahamu alizaliwa Macca akakuzwa na wazazi wake akasoma na kuishi kama wanadamu wengine mpaka umauti ulipomfika akazikwa kama nabii na mtume.

Amekuwa mtu maarufu sana tangu mtoto kwa nini hawakumchora picha ya kumbukizi ili vizazi vijavyo vimuone ndio kwa nini hakuna picha.

Walimfahamu dada zake, kaka zake, wajomba na mashangazi hata rika lake alilokuwa nalo kwanini hata kwa maelezo asichorwe tu, kwa nini inakatazwa na tunaambiwa yeye alikuwa mtu wa watu na mnyenyekevu, alipendwa?

Je watoto/wajukuu hawajui baba/babu alikuwa anafananaje ili watunze kumbukumbu kwa nini hakuna picha hata ya kuchora?

Manabii na mitume wote tunaziona picha zao za kuchorwa ila sio huyu mwamba wa miamba Mohammed SAW kwa nini?

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Yapo maelezo ya kutosha ya kuelezea wasfu wake na kuelewa alikuwa wa namna gani ila picha hairihusiwi katika usilam ndio maana hakuchorwa na wala hachorwi, waislam wanaofata na kufahamau makatazo hayo hawawezi kufanya hivyo labda watokee watakaokwenda kinyume na maktazo
 
USSR

Authubillah minna shaitwan rwajim, Bismillah Rahman Rahim.

Wal asr innali innsaan la fi husrin illa nladhinna ammanu wa aminun swali hat watawasau sabir haq watawasau bir sabr.

Kwanza Mtume hakusoma wapa hakujua kuandika.

Pili kwa Waislam Bwana Mtume S.A.W ameelezewa Muonekano wake kwenye sirah (historia) na pua ameelezewa sana na Maawahaba zake juu ya Muonekano wake.

WASIFU WA NJE
1. Hakua mrefu wa kusababisha uumie shingo kumtizama na hakuwa mfupi wa kuinamisha shingo ili umtizame.

2. Alikua na prophet sill ambayo inaelezewa kua ni nywele zilizoota katikati ya mabega take.

3. Alipewa nusu ya uzuri wa Yusuph Aleyh Salaam katika riwaya moja na nyingine zinaelezea kwamba alipewa nusu ya uzuri wa dunia.

4. Bwana Mtume S.A.W alikua akitembea kwa unyenyekevu na mwendo wake ulikua kama mtu anayeshuka kwenye kimteremko.

5. Bwana Mtume S.A.W alikua na ndevu ndefu laini nyeusi aidha alikua na nywele zilizoota kudondokea mgongoni, (baada ya uislam kuwa umeanza kushika kasi ali introduse sunna ya kunyoa kipara na kufuga ndevu.

6. Uso wake ulikua na nuru kama ya mbalamwezi

WASIFU WA NDANI.
1. Bwana Mtume S.A.W alikua fasaha katika matamshi

2. Alikua mwerevu, mwaminifu, mpole, mkarim sana kwa yeyote yule kadiri na muislam

3. Alikua kiongozi master mind na amir jeshi wa jeshi la Waislam.

NB
Huo wasifu wa ndani nimekupa nyongeza tu.

Aidha Bwana Mtume alikua na watoto saba ambao alizaa kwa mke mmoja tu na ni Mwanae Fatma pekee ndiye aliyekua hai wakati wa kifo cha baba yake.

Wajukuu zake ni wawili toka kwenye tumbo la Fatma ambaye ni HASSAN NA HUSSEIN.

KWANINI HAKUNA PICHA YAKE?
Kwa mujibu wa docrine ni Haram kuwa na picha yake na hii inazo asili mbili

1. Walihofia vizazi vijavyo vitarudi kwenye kuchonga sanam lake na kuanza kuliabudu Kama ilivyokua kwa mapagani wa Macca na

2. Mwenyezi Mungu anajua zaidi ya kwanini aliikataza uchoraji wa picha yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo sindio uongoo huoo
 
Back
Top Bottom