Kwanini hakuna picha ya mtume wetu Muhammad (SAW)

USSR

Authubillah minna shaitwan rwajim, Bismillah Rahman Rahim.

Wal asr innali innsaan la fi husrin illa nladhinna ammanu wa aminun swali hat watawasau sabir haq watawasau bir sabr.

Kwanza Mtume hakusoma wapa hakujua kuandika.

Pili kwa Waislam Bwana Mtume S.A.W ameelezewa Muonekano wake kwenye sirah (historia) na pua ameelezewa sana na Maawahaba zake juu ya Muonekano wake.

WASIFU WA NJE
1. Hakua mrefu wa kusababisha uumie shingo kumtizama na hakuwa mfupi wa kuinamisha shingo ili umtizame.

2. Alikua na prophet sill ambayo inaelezewa kua ni nywele zilizoota katikati ya mabega take.

3. Alipewa nusu ya uzuri wa Yusuph Aleyh Salaam katika riwaya moja na nyingine zinaelezea kwamba alipewa nusu ya uzuri wa dunia.

4. Bwana Mtume S.A.W alikua akitembea kwa unyenyekevu na mwendo wake ulikua kama mtu anayeshuka kwenye kimteremko.

5. Bwana Mtume S.A.W alikua na ndevu ndefu laini nyeusi aidha alikua na nywele zilizoota kudondokea mgongoni, (baada ya uislam kuwa umeanza kushika kasi ali introduse sunna ya kunyoa kipara na kufuga ndevu.

6. Uso wake ulikua na nuru kama ya mbalamwezi

WASIFU WA NDANI.
1. Bwana Mtume S.A.W alikua fasaha katika matamshi

2. Alikua mwerevu, mwaminifu, mpole, mkarim sana kwa yeyote yule kadiri na muislam

3. Alikua kiongozi master mind na amir jeshi wa jeshi la Waislam.

NB
Huo wasifu wa ndani nimekupa nyongeza tu.

Aidha Bwana Mtume alikua na watoto saba ambao alizaa kwa mke mmoja tu na ni Mwanae Fatma pekee ndiye aliyekua hai wakati wa kifo cha baba yake.

Wajukuu zake ni wawili toka kwenye tumbo la Fatma ambaye ni HASSAN NA HUSSEIN.

KWANINI HAKUNA PICHA YAKE?
Kwa mujibu wa docrine ni Haram kuwa na picha yake na hii inazo asili mbili

1. Walihofia vizazi vijavyo vitarudi kwenye kuchonga sanam lake na kuanza kuliabudu Kama ilivyokua kwa mapagani wa Macca na

2. Mwenyezi Mungu anajua zaidi ya kwanini aliikataza uchoraji wa picha yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USSR,
Yesu kristo picha yake iko wapi?Au wewe kwa akili yako ilivyo fupi unamfananisha na yule mwigizaji au ile mipicha ya Leonard mnayoweka kanisani? Kwa taarifa yako hakuna picha ya Yesu kwenye hii Dunia.
Picha zipo Vatican bana, ni mswahili pyuuu! na Mtume Mohahamad ni mswahili tosha! ila sababu ya u mwamba wanaweka rangi nyeupe!

Mmedanganywa sana,
 
Picha ya Mtume hiyo, kuna mtu alihukumiwa kifo kwa kujaribu tu kufanana nae
Screenshot_20200106-162518.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafahamu alizaliwa Macca akakuzwa na wazazi wake akasoma na kuishi kama wanadamu wengine mpaka umauti ulipomfika akazikwa kama nabii na mtume.

Amekuwa mtu maarufu sana tangu mtoto kwa nini hawakumchora picha ya kumbukizi ili vizazi vijavyo vimuone ndio kwa nini hakuna picha.

Walimfahamu dada zake, kaka zake, wajomba na mashangazi hata rika lake alilokuwa nalo kwanini hata kwa maelezo asichorwe tu, kwa nini inakatazwa na tunaambiwa yeye alikuwa mtu wa watu na mnyenyekevu, alipendwa?

Je watoto/wajukuu hawajui baba/babu alikuwa anafananaje ili watunze kumbukumbu kwa nini hakuna picha hata ya kuchora?

Manabii na mitume wote tunaziona picha zao za kuchorwa ila sio huyu mwamba wa miamba Mohammed SAW kwa nini?

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
SWALI FUPI: UMEISHAWAHI ONA PICHA YA MUNGU?
 
Kwani kamera zimegunduliwa mwaka gani? Labda tuanzie hapo halafu tujadili sababu na upatikanaji wa picha halisi za Mitume.
Nilitaka kuuliza hili swali,umeniwahi.
ila jibu likiendana na picha,tafadhaki nitagg,maana ni sawa na kusema eti drone zilishiriki vita vya kwanza vya dunia,mbaaaaaaaaali sana.
 
USSR

Authubillah minna shaitwan rwajim, Bismillah Rahman Rahim.

Wal asr innali innsaan la fi husrin illa nladhinna ammanu wa aminun swali hat watawasau sabir haq watawasau bir sabr.

Kwanza Mtume hakusoma wapa hakujua kuandika.

Pili kwa Waislam Bwana Mtume S.A.W ameelezewa Muonekano wake kwenye sirah (historia) na pua ameelezewa sana na Maawahaba zake juu ya Muonekano wake.

WASIFU WA NJE
1. Hakua mrefu wa kusababisha uumie shingo kumtizama na hakuwa mfupi wa kuinamisha shingo ili umtizame.

2. Alikua na prophet sill ambayo inaelezewa kua ni nywele zilizoota katikati ya mabega take.

3. Alipewa nusu ya uzuri wa Yusuph Aleyh Salaam katika riwaya moja na nyingine zinaelezea kwamba alipewa nusu ya uzuri wa dunia.

4. Bwana Mtume S.A.W alikua akitembea kwa unyenyekevu na mwendo wake ulikua kama mtu anayeshuka kwenye kimteremko.

5. Bwana Mtume S.A.W alikua na ndevu ndefu laini nyeusi aidha alikua na nywele zilizoota kudondokea mgongoni, (baada ya uislam kuwa umeanza kushika kasi ali introduse sunna ya kunyoa kipara na kufuga ndevu.

6. Uso wake ulikua na nuru kama ya mbalamwezi

WASIFU WA NDANI.
1. Bwana Mtume S.A.W alikua fasaha katika matamshi

2. Alikua mwerevu, mwaminifu, mpole, mkarim sana kwa yeyote yule kadiri na muislam

3. Alikua kiongozi master mind na amir jeshi wa jeshi la Waislam.

NB
Huo wasifu wa ndani nimekupa nyongeza tu.

Aidha Bwana Mtume alikua na watoto saba ambao alizaa kwa mke mmoja tu na ni Mwanae Fatma pekee ndiye aliyekua hai wakati wa kifo cha baba yake.

Wajukuu zake ni wawili toka kwenye tumbo la Fatma ambaye ni HASSAN NA HUSSEIN.

KWANINI HAKUNA PICHA YAKE?
Kwa mujibu wa docrine ni Haram kuwa na picha yake na hii inazo asili mbili

1. Walihofia vizazi vijavyo vitarudi kwenye kuchonga sanam lake na kuanza kuliabudu Kama ilivyokua kwa mapagani wa Macca na

2. Mwenyezi Mungu anajua zaidi ya kwanini aliikataza uchoraji wa picha yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aidha Bwana Mtume alikua na watoto saba ambao alizaa kwa mke mmoja tu na ni Mwanae Fatma pekee ndiye aliyekua hai wakati wa kifo cha baba yake.

Naomba ufafanuzi hapo mkuu! Kwani wale wake zake wengine hakuzaa nao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom