DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,636
- 81,533
Hizi ndo sababu zangu kwamba this guy is patriotic (Mzalendo).
Kwa nafasi aliyonayo Gwajima kuanzia Kijamii, kisiasa, kiuchumi.
Sifikirii Kama anatafuta umaarufu , na sifikirii Kama anatufa political mileage au anatufa Personal interest.
Kwahiyo angeamua kukaa kimya asiongee chochote kuhusu utekaji bado asingepoteza chochote na angeendelea kuwa safe tu.
Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
Ila yeye kuongea ameonekana ni mzalendo kwakuwa amejaribu kuvaa viatu Vya wanaopitia hayo madhira.
Kwa UPENDO Gwajima anastahili pongezi Sana.
Kuhusu mnaosema anapuliza na kuuma jibu ni hapana Ila anauma Ila alichofanya ni kutumia lugha ya kifalisafa zaidi.
Watu wenye Elimu ya theolojia au walisoma philosophy wanelewa haya mambo.
Unapozungumza ni sawa na MTU anayejenga Nyumba ya kuishi hauwezi kuweka mlango mmoja tu wakuingilia bila kuweka na wakutokea.
The guy is smart.