Kwanini gesti? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini gesti?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lizzy, Feb 6, 2011.

 1. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nimeona malalamiko na matukio kibao yanayotokea nyumba za wageni yakiletwa humu!Wengine utawagundua ni maInfii kwahiyo hawawezi kupelekana nyumbani ila wengine ni mabachela!Sasa kwa hawa walio single kwanini hua wanapelekana gesti na sio kwenye makazi yao?Jinsi mtu anavyo-value uhusiano inachangia...au ndo inaonyesha kwamba hamna uhusiano pale wala heshima kwa kiasi fulani?Binafsi hua nafikiria mwanaume mpaka akupeleke gesti anakua amekudharau sana!Embu kakaz mtuambie...ni kwanini?
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  sio kakudharau kwa sababu na yeye anaingia humo humo. Kuna mawili yawezekana kama anaishi na wazazi hawezi kukupeleka kwake si heshima kula tundi home kwake,gesti kuna usiri fulani baina yenu wawili,inategemea pia kipato chake labda hana uwezo wa hoteli kubwa. Mwingine yawezekana ana wanawake zaidi ya moja sasa akikupeleka kwake anapoishi itakuwa soo kwake na jirani zake au wazazi wake.wengi wanaowapeleka home kwako ni wale ambao wameshafikia hatua ya uchumba na umeshatambulishwa kwa ndugu.sasa kama ndo mmejuana na ukakubali kula tundi unadai ukalie home kwake kwanini???popote pale mradi pawena utulive na usiri
   
 3. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lizzy ukweli ikiwa mwanaume ana mpenzi mmoja atampeleka nyumbani kwake vinginevyo labda awe anaishi chumba kimoja na haishi peke yake.
   
 4. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Na sisi tunaomalizana kwenye vichaka na majumba mabovu unatuweka kwenye kundi gani!
   
 5. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu nyie mko kwenye kundi maalum! umenikumbusha enzi hizo
   
 6. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Nafikiri pia inategemea mmefahamiana muda gani,as in relationship iko level gani?huwezi tu mmekutana leo kesho unampeleka kitandani kwako hata hujamuelewa huyo mwanamke na kuamua unataka awe nani kwenye uhusiano wako.......honestly,mi sijui naonaje ishu ya kwenda guest...
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mh, sasa naona tunachimbana mno humu ndani
   
 8. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Dah kwa hiyo sie tunaitataji special treatment! Lol
   
 9. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Duh na tupo wengi...!
   
 10. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  ooooh my GOD !!!
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hapo sawa...ila yule anaeishi peke yake nini kinasababisha ukiacha kuwa na mpenzi wake?
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Feb 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hommie kumbe bado huwa unaendelea na huu mchezo
   
 13. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mdogomdogo tu hommie tutafika wanata uwapeleke geto then waache gagulo zao! Lol
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa kwanini wasisubiri mpaka wawaelewe ili wapelekane nyumbani?Yani hapo inaonyesha kitanda chake kina thamani zaidi ya mwili wake!
   
 15. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #15
  Feb 6, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tuache utani guest ni noma kama ni mpenzi wako unae muheshimu na kumpenda mpeleke nyumbani
   
 16. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #16
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  da! Umenigusa hapo aisee!
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Feb 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hehe nyie bado watoto!Pesa ya guest hamna..nyumba ya kuwapeleka hamna na hormone zinawazidi nguvu mpaka mnakimbilia vichakani!
   
 18. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #18
  Feb 6, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ndo maana tunahitaji katiba mpya maana haya makundi yetu yanasahaulika sana halafu tupo wengi.
   
 19. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #19
  Feb 6, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ulivyoshtuka utafikiri hujawai tumia hii kitu!
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Feb 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nani anamchimba nani tena?
   
Loading...