Kwanini George Floyd alikamatwa?

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Hii ni taarifa nimejaribu kuitafuta lakini sijafanikiwa kuiona.

Nilichofanikiwa kuona ni kwamba, hawa wawili yaani marehemu George na Derek waliwahi kufanya kazi pamoja club moja ya usiku. Kwa hiyo walifahamiana. Maana George naye inasemekana alifanya kazi za security kama alivyofanya Derek.

Najiuliza sana, hii chuki iliyopo kati ya wazungu kwa watu weusi, ingekuwa kwa kiwango hicho tunachoaminishwa, je watu wangeandamana kiasi hicho kupinga tukio hilo? Kwa nini waandishi hawataki kueleza mwanzo wa stori ilivyokuwa? Je George alijaribu kupambana na askari ama alijisalimisha?
 
Wanasema alienda dukani kununua sigara akatoa not bandia ya dola 20, alipoondoka muuza duka akamwambia arudishe sigara akakataa, muuza duka akawapigia polisi
 
Hii ni taarifa nimejaribu kuitafuta lakini sijafanikiwa kuiona.

Nilichofanikiwa kuona ni kwamba, hawa wawili yaani marehemu George na Derek waliwahi kufanya kazi pamoja club moja ya usiku. Kwa hiyo walifahamiana. Maana George naye inasemekana alifanya kazi za security kama alivyofanya Derek.

Najiuliza sana, hii chuki iliyopo kati ya wazungu kwa watu weusi, ingekuwa kwa kiwango hicho tunachoaminishwa, je watu wangeandamana kiasi hicho kupinga tukio hilo? Kwa nini waandishi hawataki kueleza mwanzo wa stori ilivyokuwa? Je George alijaribu kupambana na askari ama alijisalimisha?

Niliona video clip alivyo kamatwa - alijisalimisha tu, akatiwa pingu kwa nyuma aka amriwa atembee mbele akiongozana na Police wanne, video hiyo ilipigwa kwa ccvtv camera za nearby Supermarket.

Sasa kulicho fuata mpaka akajikuta yupo chini ya gari ya Police huku shingo yake ikiwa imekandamizwa na goti la Polisi, haijulikani kama walipo fika sehemu hiyo walimpiga ngwara/mtama maanake na yeye alikuwa ni mtu wa miraba minne.
 
akajikuta yupo chini ya gari ya Police huku shingo yake ikiwa imekandamizwa na goti la Polisi, haijulikani kama walipo fika sehemu hiyo walimpiga ngwara/mtama maanake na yeye alikuwa ni mtu wa miraba minne.
Nami nimeshangaa! Alikufa kirahisi mno! Na wale polisi, wana roho ngumu mno. Jamaa anajikojolea, walaa hawashtuki kuwa jamaa ana hali mbaya!?

Sina shaka wale WAGOMVI watakuwa wamegundua style ya kummaliza mpinzani wake. Ni kukandamiza tu shingo chini kwa kutumia goti, adui kwisha habari yake!
 
Hii ni taarifa nimejaribu kuitafuta lakini sijafanikiwa kuiona.

Nilichofanikiwa kuona ni kwamba, hawa wawili yaani marehemu George na Derek waliwahi kufanya kazi pamoja club moja ya usiku. Kwa hiyo walifahamiana. Maana George naye inasemekana alifanya kazi za security kama alivyofanya Derek.

Najiuliza sana, hii chuki iliyopo kati ya wazungu kwa watu weusi, ingekuwa kwa kiwango hicho tunachoaminishwa, je watu wangeandamana kiasi hicho kupinga tukio hilo? Kwa nini waandishi hawataki kueleza mwanzo wa stori ilivyokuwa? Je George alijaribu kupambana na askari ama alijisalimisha?
MKUU tuchukulie jamaa mwanzo kabisa alipambana na askari na hatimae wakamfunga pingu je baada yakumfunga pingu si maana yake washamdhibiti kikitakiwa kufuatwa nijamaa kutiwa kwenye gari nasafari iendelee

Kama alileta vurugu hatimae akawa mpole ama akaleta vurugu wakamkandamiza nagoti pale chini wakat anapiga kelele kama anakufa jamaa hajali jamaa anatokwa nahaja polisi hajali

Ubaguzi wawazungu kwawatu weusi sio tu upo ni upo sana eidha unajua ama kweli hujui kwakua hujawahi kuuona ama hujawahi kuusikia basi ?!

Pia sio wazungu wote wabaguzi wengine wazungu ila wanajiona mafala tu hawababaishwi na hivyo virangi mtu anamsemo wakiswahili kabisa anakwambia namimi naenda haja kama kawaida yanini kujiona bora !? Hao wanaojiona bora ma fu*** tu nimenukuu maneno yamzungu mmoja tu

Watu weusi inabidi wakamatie hapo hapo walipokamata ili heshima irejelee.....
 
Nami nimeshangaa! Alikufa kirahisi mno! Na wale polisi, wana roho ngumu mno. Jamaa anajikojolea, walaa hawashtuki kuwa jamaa ana hali mbaya!?

Sina shaka wale WAGOMVI watakuwa wamegundua style ya kummaliza mpinzani wake. Ni kukandamiza tu shingo chini kwa kutumia goti, adui kwisha habari yake!
Mkuu ile tranchea,,ile pipe inayopitisha hewa,Ina kaugumu kidogo ila ikakandamizwa ama shingo kukanyagwa ilipo huwa inabonyea kugusana na hivyo hewa haipiti,kifo huwa Ni within minutes,maana hata akikuachia,tayari tranchea imebondeka,hewa haipiti kifo Ni given unless ventilator I we karibu Sana,
Wataalamu wa kravi maga wanajua Sana hili
 
Mimi bado nataka kujua huo ubaguzi upo wapi, Ni matukio ya kawaida kwa mapolisi wangi kutesa wahalifu mpaka kuwaua bila kufata taratibu husika.
Sasa lile tukio kunasibishwa na ubaguzi ndipo nashindwa kufahamu. kwa kuwa mfanyaji alikua ni mtu mweupe na mfanyiwa alikua ni Black ndio automatic inakua ndio ubaguzi?
 
Mungu akujaalie mwaka mmoja ujaaliwe kutembelea US kama hukuwahi kujaaliwa

Hili tukio kiukweli kabisa kutoka moyoni Askari hakulufanya kama sehemu yaubaguzi ilikua ajali kazini tu ama sababu nyengine

Ila matukio kama hayo hapa states yamekua yakawaida ama yakujirudia rudia sana namaranyingu hua yanafanywa kwawatu weusi kwahio watu wamejumlisha nayale yaliopita tu wakayachanganya wakakinukisha walikia wanatafuta sababu tu nawameipata

Na asikwambie mtu hayo maandamano pia yanachagizwa nahali ngumu yakiuchumi yaliopo states hasa koronya imezidi kuleta balaa

Ila natamani siku moja uitembelee states uone ubaguzi uliopo wakipumbavu pumbavu nakijinga jinga

:-ila mpaka mwaka utakao kuja wewe kutakua kunaheshma maana watu watakua washaelewa kama blacks wakiamua wanaweza.....
 
Nguvu kupita kiasi ndio kosa kubwa hapo,ni mbinu ya ki Polisi kutokana na mafunzo yao,lakini haikupaswa kutumika kwa mtu ambaye tayari alikuwa yuko kwenye pingu,na ukumbuke walikuwa askari 4 hiyvo aina hiyo ya ukabaji haikuhitajika pale...
 
:-ila mpaka mwaka utakao kuja wewe kutakua kunaheshma maana watu watakua washaelewa kama blacks wakiamua wanaweza.....

Black wakiamua wanaweza nini? Blacks ni watu wa ovyo kabisa kwenye ulimwengu, Hayo maandamano yanapewa nguvu na wazungu pamoja na vyombo vya habari vya kizungu.
Ila kama ingelikua ni mablack watupu pangelikua pashatulia ndani ya siku 3.
 
Mungu akujaalie mwaka mmoja ujaaliwe kutembelea US kama hukuwahi kujaaliwa

Hili tukio kiukweli kabisa kutoka moyoni Askari hakulufanya kama sehemu yaubaguzi ilikua ajali kazini tu ama sababu nyengine

Ila matukio kama hayo hapa states yamekua yakawaida ama yakujirudia rudia sana namaranyingu hua yanafanywa kwawatu weusi kwahio watu wamejumlisha nayale yaliopita tu wakayachanganya wakakinukisha walikia wanatafuta sababu tu nawameipata

Na asikwambie mtu hayo maandamano pia yanachagizwa nahali ngumu yakiuchumi yaliopo states hasa koronya imezidi kuleta balaa

Ila natamani siku moja uitembelee states uone ubaguzi uliopo wakipumbavu pumbavu nakijinga jinga

:-ila mpaka mwaka utakao kuja wewe kutakua kunaheshma maana watu watakua washaelewa kama blacks wakiamua wanaweza.....

ndani ya bara la Africa kuna ubaguzi mkubwa Zaidi kuliko hata huo wa U.S, umewahi ubaguzi wakidini, ubaguzi wa kikabila, ubaguzi wa kiitikadi za vyama.
TZ imefika hatua ukigundulikana ni mfuasi wa vyama vya upinzani ajira kwenye serekali uisahau, Hivo ndivo tunavyoishi huku. Sasa hayo ya huko ni kudeka tu
 
unadhani alosababisha haya nani ?!

Omba dua turampet aingize jeshi mitaani kama anavyoropoka halaf ndio utakuja kuelewa namaanisha nini
 
ndani ya bara la Africa kuna ubaguzi mkubwa Zaidi kuliko hata huo wa U.S, umewahi ubaguzi wakidini, ubaguzi wa kikabila, ubaguzi wa kiitikadi za vyama.
TZ imefika hatua ukigundulikana ni mfuasi wa vyama vya upinzani ajira kwenye serekali uisahau, Hivo ndivo tunavyoishi huku. Sasa hayo ya huko ni kudeka tu
naam uko sawa kabisa

Nandio maana states watu wana andamana kwanguvu kwasababu wanaamini yakwamba mambo kama yale yalotokea hayana nafasi katika taifa kama hili

states wanajiona wako perfect ila bado wanawabagua watu weusi

Afrika wala sikupingi kama haya mambo yapo mengi kabisa ila hao states wanaojifanya nje hawana haya mambo wanakwamia wapi ?!.....
 
Nami nimeshangaa! Alikufa kirahisi mno! Na wale polisi, wana roho ngumu mno. Jamaa anajikojolea, walaa hawashtuki kuwa jamaa ana hali mbaya!?

Sina shaka wale WAGOMVI watakuwa wamegundua style ya kummaliza mpinzani wake. Ni kukandamiza tu shingo chini kwa kutumia goti, adui kwisha habari yake!
Paragraph ya kwanza imenitoa chozi,duu inauma sana,kuna vifo vinasokitisha sana,kama huyu bro,
 
Mungu akujaalie mwaka mmoja ujaaliwe kutembelea US kama hukuwahi kujaaliwa

Hili tukio kiukweli kabisa kutoka moyoni Askari hakulufanya kama sehemu yaubaguzi ilikua ajali kazini tu ama sababu nyengine

Ila matukio kama hayo hapa states yamekua yakawaida ama yakujirudia rudia sana namaranyingu hua yanafanywa kwawatu weusi kwahio watu wamejumlisha nayale yaliopita tu wakayachanganya wakakinukisha walikia wanatafuta sababu tu nawameipata

Na asikwambie mtu hayo maandamano pia yanachagizwa nahali ngumu yakiuchumi yaliopo states hasa koronya imezidi kuleta balaa

Ila natamani siku moja uitembelee states uone ubaguzi uliopo wakipumbavu pumbavu nakijinga jinga

:-ila mpaka mwaka utakao kuja wewe kutakua kunaheshma maana watu watakua washaelewa kama blacks wakiamua wanaweza.....
 
Mungu akujaalie mwaka mmoja ujaaliwe kutembelea US kama hukuwahi kujaaliwa

Hili tukio kiukweli kabisa kutoka moyoni Askari hakulufanya kama sehemu yaubaguzi ilikua ajali kazini tu ama sababu nyengine

Ila matukio kama hayo hapa states yamekua yakawaida ama yakujirudia rudia sana namaranyingu hua yanafanywa kwawatu weusi kwahio watu wamejumlisha nayale yaliopita tu wakayachanganya wakakinukisha walikia wanatafuta sababu tu nawameipata

Na asikwambie mtu hayo maandamano pia yanachagizwa nahali ngumu yakiuchumi yaliopo states hasa koronya imezidi kuleta balaa

Ila natamani siku moja uitembelee states uone ubaguzi uliopo wakipumbavu pumbavu nakijinga jinga

:-ila mpaka mwaka utakao kuja wewe kutakua kunaheshma maana watu watakua washaelewa kama blacks wakiamua wanaweza.....
Haikua ajari kazini Mkuu, yule Askari ni kama Israel aliyekuja kuitoa roho ya Marehemu.

Jamaa kaenda kununua Sigara kwenye Duka ambalo yeye ni Mteja wa siku zote, na wanafahamiana mpaka na Mmiliki...

Muuzaji anahisi Noti alopewa ya $20 ni fake, anamwambia jamaa arudishe Sigara jamaa anakataa, Muuzaji anapiga Simu Police, baada ya Dakika 7 Police wawili wamefika, mmoja Mzungu mwingine JAMII ya Asia, wanamfata Jamaa kwenye Kona ya Mtaa ambapo Alikua amekaa na mwenzie kwenye Gari....

Wanamchomoa Jamaa, Jamaa Aleta Ubishi, Wanatumia Nguvu wanafanikiwa kumfunga Pingu, wanampeleka kwenye Gari yao ili wamwingize ndani jamaa analeta Ubishi, anawaambia Police yeye huwa anasumbuliwa na Ugonjwa wa kuwa na Hofu, hivyo anaogopa, Police Wanatumia nguvu wanamwingiza kwenye Gari....

Inakuja Gari ingine ya Police ikiwa na Police 3 na Muuzaji wake akaenda straight ilipokua gari ya Police wa mwanzo, Akamvuta Jamaa toka kwenye Siti za gari mpaka akaanguka chini (ile picha ambayo wengi tumeiona ni baada ya kumchomoa jamaa kwenye Siti kwa nguvu mpaka kuanguka chini)
Akamgandamiza na Magoti yake kati ya Shingo na Mgongo, kwa muda wa Dakika 8.... (ni kama alikua anajua anachokifanya) baadaye inaonekana kama Jamaa kazimia but Bado hakumwachia, baada ya kulegea zaidi Raia Wanamwambia Police amezimia, utamuua, mtizame kwenye mishipa tuone kama bado yupo Hai, Ndo Police anamwachia, yule Police JAMII ya Asia anacheck Mishipa ya Damu haoni hata mmoja!!

Wanambeba kumpeleka Hospital, inatangazwa baada ya saa 1 kafariki.

Unaweza kusema Ajari kazini Mkuu!
Usiwe mtu wa kupinda pinda Kwani nawe ni Police....

Jamaa aliuwawa.... Period!
 
MKUU tuchukulie jamaa mwanzo kabisa alipambana na askari na hatimae wakamfunga pingu je baada yakumfunga pingu si maana yake washamdhibiti kikitakiwa kufuatwa nijamaa kutiwa kwenye gari nasafari iendelee

Kama alileta vurugu hatimae akawa mpole ama akaleta vurugu wakamkandamiza nagoti pale chini wakat anapiga kelele kama anakufa jamaa hajali jamaa anatokwa nahaja polisi hajali

Ubaguzi wawazungu kwawatu weusi sio tu upo ni upo sana eidha unajua ama kweli hujui kwakua hujawahi kuuona ama hujawahi kuusikia basi ?!

Pia sio wazungu wote wabaguzi wengine wazungu ila wanajiona mafala tu hawababaishwi na hivyo virangi mtu anamsemo wakiswahili kabisa anakwambia namimi naenda haja kama kawaida yanini kujiona bora !? Hao wanaojiona bora ma fu*** tu nimenukuu maneno yamzungu mmoja tu

Watu weusi inabidi wakamatie hapo hapo walipokamata ili heshima irejelee.....
Wazungu ndo wapingaji wakubwa wa ubaguzi, uruhusu ubongo wako uwe free utagundua hilo, tukio la mauji ya George mtu mweusi asilimia kubwa wanaoandamana kupinga ni wazungu, anzia Marekani kwenyewe, njoo ulaya na Australia watu wanaandamana kupinga mauaji ya George, Sasa jiulize wapi India, waarabu, China, Waajemi, Afrika, nk. Kwa nini maandamano yako nchi za wazungu tu?! Jibu ni muhimu.
 
Haikua ajari kazini Mkuu, yule Askari ni kama Israel aliyekuja kuitoa roho ya Marehemu.

Jamaa kaenda kununua Sigara kwenye Duka ambalo yeye ni Mteja wa siku zote, na wanafahamiana mpaka na Mmiliki...

Muuzaji anahisi Noti alopewa ya $20 ni fake, anamwambia jamaa arudishe Sigara jamaa anakataa, Muuzaji anapiga Simu Police, baada ya Dakika 7 Police wawili wamefika, mmoja Mzungu mwingine JAMII ya Asia, wanamfata Jamaa kwenye Kona ya Mtaa ambapo Alikua amekaa na mwenzie kwenye Gari....

Wanamchomoa Jamaa, Jamaa Aleta Ubishi, Wanatumia Nguvu wanafanikiwa kumfunga Pingu, wanampeleka kwenye Gari yao ili wamwingize ndani jamaa analeta Ubishi, anawaambia Police yeye huwa anasumbuliwa na Ugonjwa wa kuwa na Hofu, hivyo anaogopa, Police Wanatumia nguvu wanamwingiza kwenye Gari....

Inakuja Gari ingine ya Police ikiwa na Police 3 na Muuzaji wake akaenda straight ilipokua gari ya Police wa mwanzo, Akamvuta Jamaa toka kwenye Siti za gari mpaka akaanguka chini (ile picha ambayo wengi tumeiona ni baada ya kumchomoa jamaa kwenye Siti kwa nguvu mpaka kuanguka chini)
Akamgandamiza na Magoti yake kati ya Shingo na Mgongo, kwa muda wa Dakika 8.... (ni kama alikua anajua anachokifanya) baadaye inaonekana kama Jamaa kazimia but Bado hakumwachia, baada ya kulegea zaidi Raia Wanamwambia Police amezimia, utamuua, mtizame kwenye mishipa tuone kama bado yupo Hai, Ndo Police anamwachia, yule Police JAMII ya Asia anacheck Mishipa ya Damu haoni hata mmoja!!

Wanambeba kumpeleka Hospital, inatangazwa baada ya saa 1 kafariki.

Unaweza kusema Ajari kazini Mkuu!
Usiwe mtu wa kupinda pinda Kwani nawe ni Police....

Jamaa aliuwawa.... Period!
Nimekuelewa mzee .
 
Back
Top Bottom