Naomba kuuliza kwa anayejua. Kwa nini gazeti la Mwananchi halisomwi kwenye kipindi cha jambo leo asubuhi?
Umemjibu vyema sana, kwa kuwa gazeti la Mwananchi linaigonga sana 'nyundo' serikali ya CCM, na kwa kuwa TBC1, ni 'watiifu' wakubwa wa magamba, ni kitu obvious kuwa chombo hicho kitakuwa tu kinasoma magazeti ya Uhuru, Jambo leo, Mtanzania na Majira, na hata siku moja hutasikia TBC1, isome gazeti la Mwananchi na gazeti la Tanzania Daima, na siku zote watakuwa wanapiga 'fix' kuwa hadi wanaingia mitamboni studio, gazeti hilo, lilikuwa halijawafikia!!hilo swali ni sawa na kuuliza mbona kanisani hawasomi quran