HUSSEIN MUSHI
Member
- Feb 16, 2013
- 51
- 18
Lakini Tido ashaondoka Mwananchi Ltd
Pale kamaliza mkataba
Lakini Tido ashaondoka Mwananchi Ltd
ni sawa na clouds kupiga muziki wa lady jd. yaan hapo ndo ujue kuwa tz hamna professionalism kabisaaaaaa! na hii ni katika sekta zoote!Tido Mhando alitoka TBC kwenda kuliongoza Mwananchi. ndio bifu ilipoanzia hapo. Mkurugenzi wa sasa wa TBC hawezi kufikia kiwango au upeo wa Tido.
Naomba kuuliza kwa anayejua.
Kwa nini gazeti la Mwananchi halisomwi kwenye kipindi cha jambo leo
asubuhi?
Ni kwa sababu wasomaji wa Mwananchi si wasikilizaji wa TBC!!!Naomba kuuliza kwa anayejua. Kwa nini gazeti la Mwananchi halisomwi kwenye kipindi cha jambo leo asubuhi?
ni sawa na clouds kupiga muziki wa lady jd. yaan hapo ndo ujue kuwa tz hamna professionalism kabisaaaaaa! na hii ni katika sekta zoote!
ni sawa na clouds kupiga muziki wa lady jd. yaan hapo ndo ujue kuwa tz hamna professionalism kabisaaaaaa! na hii ni katika sekta zoote!
Watanzania hua tunavisasi vya kike mno. Mtu mbovu anaweza kuteuliwa kuongoza taasisi ya uma au binafsi kwa kumkomoa mtu mwenye uwezo kisa sio . yes sir man. Tony Blair aliweza kumwachia Gordon Browm madaraka lkn walikua na bifu. Tz inawezekana hiyo. hapa si mtu unaweza ukamuachia Mulugo ikulu kumkomoa Slaa
ni sawa na clouds kupiga muziki wa lady jd. yaan hapo ndo ujue kuwa tz hamna professionalism kabisaaaaaa! na hii ni katika sekta zoote!
kwasababu ni gazeti la CHADEMA
hata hapa jf magazeti ya mwa.na.halisi na mawi.o sikajua kisa ni nini.ni sawa na clouds kupiga muziki wa lady jd. yaan hapo ndo ujue kuwa tz hamna professionalism kabisaaaaaa! na hii ni katika sekta zoote!