Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,443
- 4,386
Ni wakati sasa wa Wazanzibar kuamka na kutetea usawa katika kufaidi matunda ya Muungano.
Jana Rais Magufuli amefuta sherehe za Muungano kwa mwaka huu na kuagiza kuwa fedha zilizotengwa kwa ajili ya sherehe hizo zikatumike kujenga barabara Mwanza - yaani zitumike Tanganyika tu; sasa swali ni kwamba kwanini fedha hizo zitumike sehemu moja tu ya Muungano?
Zanzibar wataendelea kunyonywa hadi lini wakati gharama za kuendesha Muungano wanachangia sawa?