Kwanini enzi zetu hakukuwa na mtu mnene?

Kwanini enzi zetu hakukuwa na mtu mnene?

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,736
Reaction score
7,972
Kwa nini enzi za mwalimu hakukuwa na mtu mnene

1480027_FB_IMG_1485976202288.jpg
 
Mlikuwa mnashindia unga wa njano na buruga huo unene ungetoka wapi?

Ukikamatwa na sabuni au sukari wewe ni mhujumu uchumi.

Nguo mnafulia majani ya mipapai.
 
Siku hizi wanawake na wanaume ni wanene, vijana wa kiume ndio wananashangaza kuwa na makalio makubwa, haijulikani wanakula nini ambao wenzao wa zamani hawakula
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
aise!
hizo ni suruali au sketi?!
kweli binaadamu tumepitia mabadiliko makubwa sana!!
 
Hapakua na chips, mayonaiz, juisi za viwandani, anasa anasa, shughuli za kutumia nguvu...unene na anasaanasa ilikua mambo ya matajiri.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
aise!
hizo ni suruali au sketi?!
kweli binaadamu tumepitia mabadiliko makubwa sana!!
Na Bado zitarudi tu. Kwanza zilikuwepo mnazovaa sasa hivi zikiitwa mdomo wa chupa. Baadae zikaja hizi buga
 
Na Bado zitarudi tu. Kwanza zilikuwepo mnazovaa sasa hivi zikiitwa mdomo wa chupa. Baadae zikaja hizi buga
[emoji1787][emoji1787]
sawa mkuu.
ila hiyo style ta kata mbuga ikirudia tena sivai hats kidogo.
 
Walikuwa wanatembea umbali mrefu kwa miguu kila siku hakukuwa na haja ya usafiri.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
aise!
hizo ni suruali au sketi?!
kweli binaadamu tumepitia mabadiliko makubwa sana!!
Mkuu fashion huwa inajirudia sometimes so usishangae hizo pigo kuwa fashion kwa kizazi kijacho
 
Mkuu Ata wanajeshi wa Enzi izo walikuwa wastahalabu sana..View attachment 2012952
Dah...

Ama kweli Mungu ni mkubwa! Hivi unajua nilikuwa nimedata kwa kuhangaika kutafuta alikokuwa huyu mbuzi?!

Hapa ndipo ninapoipenda Jei Wii manake ingekuwa wale wengine, ingekuwa keshapigwa kisu mbuzi wangu!

Yupo kambi gani mkuu ili nikamchukue kesho?!
 
Back
Top Bottom