Kwanini DSTV ni ghali sana?


kawaulize TCRA ndo utajua kwann dstv gharama...
 
yap Dstv wana gharama..bt kwa huduma na channel wanazotoa i think they shuld b....halafu kingine kinacho changia iwe gharama ni ryts za kurusha na kuoperate matangazo nchini kwetu hili swala TCRA ndo wahusika wakubwa huenda kodi yake ipo juu dats y....umewahi kujiuliza kwann ITV iliacha kuonyesha champions league au channel ten kuonyesha premier league enz hizo???....hakuna tv station isiyopenda kufnya hvyo tatizo ni vibali na gharama zake...ni hayo tu
 
tatizo uchumi wetu mkuu shilingi ingekuwa na thamani mambo yangekuwa po tu
 
Of course sie wengine ni HD philia so it's only in dstv ambapo wanarusha true hd channels Mfano MNET PREMIRE, MNET EAST, DISCOVERY HD SHOWCASE SUPERSPORT you real feel the texture.
 
Tatizo ni kukosekana kwa wapinzani wadau...makampuni mengine yakija mambo yatabadilika..hata gharama za simu zilikuwa hivyo hivyo.....
 
Tatizo ni kukosekana kwa wapinzani wadau...makampuni mengine yakija mambo yatabadilika..hata gharama za simu zilikuwa hivyo hivyo.....
hapo mdau umenena ni kama vile GTV walivyokuja kidogo walionyesha upinzani sema hawakuwa wamejipanga stahilika
 

Naamini hii Monopoly ifike mahali ikome bhana. Haiwezekani utoze dola 78 kitu cha dola 20, huu ni wizi wa mchana kweupe. Ifike mahali tuseme imetosha, na kwa nini iwe kwa US $¿ Nadhan shida iko kwetu sisi wenyewe Watanzania, tunawadekeza hawa!
 
Tiba hata dstv huko kwao south africa bei ni poa sana, hapa ni shamba la bibi huko kwao ni kama usd 30
 
Hii DSTV itashusha bei zake iwapo tu Serikali itakoma kuwalipia huduma ya DSTV watendaji, mawaziri na viongozi wengine wa Serikali. Ikitokea serikali inayojali value for money na ugumu wa maisha wa watu wake na hivyo kufuta mchezo huu mchafu ili watu hawa wajilipie wenyewe, I hope wataona mziki wake. Kinyume chake, maadam wanaotakiwa kuangalia haya wanalipiwa na "wajinga" wa nchi hiyo. Sahau kushuka kwa bei.
 
Dstv wakipunguza gharama za "full installation" watapata wateja wengi kwani watu wengi wanaweza kulipa angalau package ya access ambayo tshs. 16,000 kwa mwezi ambayo ni karibu sawa tu tv station nyingine.

Kwa sasa gharama ya full installation ni 129,000 almost sawa na Azam
 

Wameondoa malipo kwa dola sasa unalipa kwa Tsh.
 
Tiba hata dstv huko kwao south africa bei ni poa sana, hapa ni shamba la bibi huko kwao ni kama usd 30

Mkuu hata Huko South Africa sio USD 30 Kama ulivyowema Malipo ya premium package South Africa ni Rand 665 ambayo ni sawa na Kama USD 62.1833 ambayo ni Kama 105000 tsh. Hivi.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Dah !!! Kama ni kweli southafrica dstv wanachaji dola 30 na sisi huku dola 78 sio haki kabisa....😡

sio kama ni kweli. Ni kweli mimi nilikuwa nalipa R270 kwa channel 70 mwaka juzi mwaka jana nime upgrade mpaka channel 100 nalipa R385 'na last ambayo ina channel zaidi ya 150 'ni rand 600 ;kwa us dolla gawanya kwa kumi na moja vile vile kuna public chnnel zaidi ya mia ambazo ni bure hata usipolipa hawakati nyingi ni za dini gospel .bongo kodi zimezidi sisi ni wajinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…