Kwanini Dr Slaa ana chuki kubwa sana na Rais Samia?

Huna adabu na uchawa wako.
Watu tuna matatizo lukuki Hali mbaya watoto wetu wanadaiwa Ada mashuleni kinachoendelea ni upuuzi tupu eti wakule kwa urefu wa kamba.
Hooovyo.
Serikali ya Rais samia ilishafuta ada kuanzia shule za msingi mpaka sekondari.sasa wewe unasomesha shule zipi huyo mwanao? Kama yupo private school ulitaka nani akulipie ada wakati watoto ni wako na umewapeleka Mwenyewe? Kama ni vyuo vikuu serikali ya Rais Samia inatoa mikopo kwa wanafunzi wote wenye sifa na kusoma kozi za kipaombele.
 
Mkuu Luka, Lucas mwashambwa , siungi mkono hoja!, kwa sisi tunaomfahamu Dr. Wilbroad Slaa tangu akiwa Padri na Katibu Mkuu wa TEC, this is a person of impeccable integrity, jifunze kutofautisha hoja za mtu na kuzitengaanisha na personalities, Dr. Slaa anakosoa kwa hoja za msingi kabisa na sio hoja za chuki dhidi ya mtu yoyote!.

Nakuaminia sana mdogo wangu katika kujenga hoja, nakushauri usianze kuleta hoja za siasa za zengwe na maji taka, kwa hoja za uchimvi, uongo, fitna na majungu!.

Mfano ule Waraka wa TEC kuipinga DPW na Bandari zetu, ukisema Maaskofu Katoliki Tanzania wanachuki na Rais Samia kwasababu 1. Ni Rais Mwanamke 2. NI Rais Muislamu, 3. Ni Rais kutoka nchi nyingine ya Zanzibar 4. Asili yake sio Mtanzania halisi, ana asili ya Waarabu wa Oman!, 5. Mambo ya Intel na IQ ya Samia... utakuwa umewatendea haki TEC?. Kwenye hoja za TEC wana hoja zozote zinazoengemea hoja hizo?.

Ukiusikiliza ukosoaji wa Dr. Wilbroad Slaa, kuna kitu chochote personal amewahi kukizungumza against Rais Samia, mfano hoja hizo?,

Nakushauri usiende personal, tuendelee kukata hoja, endelea kusifu, kumfagilia na kumpigia mapambio ya Kutosha Rais Samia ila usivuke mipaka ukajikuta ni kama unamuabudu fulani na kumtukuza, ukamponza bure!. Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!

P
Sasa umeamua kutufumbua macho sababu za kumchukia rais Samia.
Kumbe hata uraia wake una mashaka?
Rais kutoka nchi nyingine? Nk
Nangoja 2025 tuone kama CCM watatuletea huyu mwarabu wa Oman kama mgombea wao wa urais ili tupinge kwa kutumia sababu ulizoorodhesha kwenye uzi wako.
Duh.
 
Acheni ujinga wenu hapa, nyie mkishindwa na kuzidiwa na hoja mnaanza kupiga porojo zenu za uongo, chuki, fitina na uzushi wa kishamba.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Haihitaji akili kubwa sana wala shahada ya chuo kikuu wala kusubiri kuambiwa wala kupewa ufunuo katika kutambua kuwa Dr Slaa Ni mtu ambaye kifua na moyo wake unaonyesha kuwa na chuki kubwa sana na Rais wetu Mh mama Samia Suluhu Hasssan. Ukisikiliza maneno ya Dr Slaa kwa nyakati na vipindi tofauti tofauti wakati huu wa Urais wa Rais Samia unaona wazi kabisa kuwa kaelemewa na hasira,kinyongo na maumivu makubwa ndani ya moyo wake dhidi ya Rais Samia.

Jaribuni ndugu zanguni kufuatilia maneno ,matamshi ,kauli , mazungumzo na hata matendo ya Dr Slaa miaka mitano iliyopita na Dr Slaa wa wakati huu wa Rais samia, ili muelewe hiki nachokiandika hapa kuwa Dr Slaa kuna jambo linamsumbua sana moyoni na akilini mwake.amebeba mzigo wa maumivu ,maumivu yakuona Rais Samia akifanikiwa kwa kiasi kikubwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania tofauti pengine na matarajio yake yeye mwenyewe.

Sasa maumivu hayo yameshindikana kutunzika katika moyo na kifua chake na sasa kaamua kutoa sauti yake.sasa anawapangia watu mambo ya kusema,sasa hataki na anaumia sana anapoona watu wakimponge Rais Samia.hataki watu wafanye hivyo maana anaumia.hataki vijana kwa maelfu yao wampongeze Rais samia baada ya kupata ajira baada ya kusota mitaani kwa miaka mingi,hataki wakulima wanaoendelea kuneeemeka na mbolea za Ruzuku pamoja na bei nzuri za mazao wampongeze Rais samia kwa juhudi zake za kuinua kilimo na mkulima.

Hataki wazazi wampongeze Rais samia baada ya kuwatua mzigo wa kulipa ada kama walivyokuwa wanafanya awali,hataki vijana wa vyuo vikuu wampongeze Rais samia baada ya kuwa sasa wote wenye sifa wanapata mikopo bila shida yoyote ile,hataki watumishi wa umma wampongeze Rais samia baada ya kuongezewa mishahara kwa 23% hasa wale wa kima cha chini baada ya kusota wakisubiri kwa miaka mingi,hataki watumishi ambao sasa wamepandishwa madaraja,kulipwa malimbikizo ya madeni na kupewa nyongeza ya mshahara kila mwaka wampongeze Rais samia.

Dr Slaa hataki na anaumia sana anapoona wafanyabiashara wakimpongeza Rais samia kwa kuweka mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji,Dr Slaa hataki kuona Rais Samia akipongezwa kwa kuiheshimisha nchi yetu kimataifa mpaka sasa tumerudishwa kwenye mpango wa millenium challenge huku miradi ya maendeleo ikiendelea kutekelezwa kila kona ya nchi yetu.

Sasa kwanini Dr Slaa hataki tumpongeze Rais wetu? Kwanini anaumia sana? Mbona awali alikuwa mtoa sifa na pongezi mzuri sana na alituasa hata watanzania kupongeza juhudi na kazi kubwa sana iliyokuwa ikifanywa na serikali ya awamu ya tano? Kwanini leo iwe kama kosa au jinai kumpongeza Rais samia kwa kazi kubwa na uchapa kazi wake uliotukuka ulioliletea maendeleo makubwa Taifa letu ndani ya muda mfupi?

Anataka nini Dr slaa? Kwani yeye anatakaje? Anataka tuseme nini pale Rais wetu anapofanya vizuri?

Napenda kusema na kumwambia Dr Slaa kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe,hakuinuliwa kwa mkono wa mwanadamu bali na mkono wa Mungu Mwenyewe,hivyo hawezi kushushwa na mikono wala maneno ya mwanadamu mwenye chuki zake binafsi. Atapambana sana lakini hataweza kumshusha mama yetu.ukiinuliwa na Mungu mwanadamu hawezi kukushusha.ukipewa kibali na Mungu mwanadamu hawezi kukuzuia kupita na kukubalika mahali popote pale.Mungu yupo upande wa Rais Samia na Anaendelea kumpatia njia na maarifa ya kuongoza Taifa letu.

Uzuri wa Rais wetu yeye hakatishwi tamaa wala kunyong'onyeshwa na maneno au chuki ya mwanadamu .siku zote yeye hutizama mbele kwa matumaini na ujasiri wa hali ya juu katika kuyakabili matatizo na Changamoto mbalimbali ili kuwatua mizigo Watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742- 676627.
Ni baada ya kiki ya DP World kubuma 😆😆
 
Slaa ni PhD hawezi kuwa na chuki na mtu ambaye amemzidi elimu kwa mbali sn, Dr anataka pesa ziitwe za serikali ni kodi za wananchi na siyo mali yake binafsi. UWT badilikeni acheni ujinga wenu
 
Siyo kumpenda tu hatumtaki kabisa huku kwetu ametujazia ndugu zake huku utadhani ni nchi yao
Labda humtaki wewe lakini mamilioni ya watanzania wanampenda mh Rais na ndio maana unaona walimu wamekuwa msitari wa mbele kumchangia pesa ya kuchukulia Fomu uchaguzi ujao.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Haihitaji akili kubwa sana wala shahada ya chuo kikuu wala kusubiri kuambiwa wala kupewa ufunuo katika kutambua kuwa Dr Slaa Ni mtu ambaye kifua na moyo wake unaonyesha kuwa na chuki kubwa sana na Rais wetu Mh mama Samia Suluhu Hasssan. Ukisikiliza maneno ya Dr Slaa kwa nyakati na vipindi tofauti tofauti wakati huu wa Urais wa Rais Samia unaona wazi kabisa kuwa kaelemewa na hasira,kinyongo na maumivu makubwa ndani ya moyo wake dhidi ya Rais Samia.

Jaribuni ndugu zanguni kufuatilia maneno ,matamshi ,kauli , mazungumzo na hata matendo ya Dr Slaa miaka mitano iliyopita na Dr Slaa wa wakati huu wa Rais samia, ili muelewe hiki nachokiandika hapa kuwa Dr Slaa kuna jambo linamsumbua sana moyoni na akilini mwake.amebeba mzigo wa maumivu ,maumivu yakuona Rais Samia akifanikiwa kwa kiasi kikubwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania tofauti pengine na matarajio yake yeye mwenyewe.

Sasa maumivu hayo yameshindikana kutunzika katika moyo na kifua chake na sasa kaamua kutoa sauti yake.sasa anawapangia watu mambo ya kusema,sasa hataki na anaumia sana anapoona watu wakimponge Rais Samia.hataki watu wafanye hivyo maana anaumia.hataki vijana kwa maelfu yao wampongeze Rais samia baada ya kupata ajira baada ya kusota mitaani kwa miaka mingi,hataki wakulima wanaoendelea kuneeemeka na mbolea za Ruzuku pamoja na bei nzuri za mazao wampongeze Rais samia kwa juhudi zake za kuinua kilimo na mkulima.

Hataki wazazi wampongeze Rais samia baada ya kuwatua mzigo wa kulipa ada kama walivyokuwa wanafanya awali,hataki vijana wa vyuo vikuu wampongeze Rais samia baada ya kuwa sasa wote wenye sifa wanapata mikopo bila shida yoyote ile,hataki watumishi wa umma wampongeze Rais samia baada ya kuongezewa mishahara kwa 23% hasa wale wa kima cha chini baada ya kusota wakisubiri kwa miaka mingi,hataki watumishi ambao sasa wamepandishwa madaraja,kulipwa malimbikizo ya madeni na kupewa nyongeza ya mshahara kila mwaka wampongeze Rais samia.

Dr Slaa hataki na anaumia sana anapoona wafanyabiashara wakimpongeza Rais samia kwa kuweka mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji,Dr Slaa hataki kuona Rais Samia akipongezwa kwa kuiheshimisha nchi yetu kimataifa mpaka sasa tumerudishwa kwenye mpango wa millenium challenge huku miradi ya maendeleo ikiendelea kutekelezwa kila kona ya nchi yetu.

Sasa kwanini Dr Slaa hataki tumpongeze Rais wetu? Kwanini anaumia sana? Mbona awali alikuwa mtoa sifa na pongezi mzuri sana na alituasa hata watanzania kupongeza juhudi na kazi kubwa sana iliyokuwa ikifanywa na serikali ya awamu ya tano? Kwanini leo iwe kama kosa au jinai kumpongeza Rais samia kwa kazi kubwa na uchapa kazi wake uliotukuka ulioliletea maendeleo makubwa Taifa letu ndani ya muda mfupi?

Anataka nini Dr slaa? Kwani yeye anatakaje? Anataka tuseme nini pale Rais wetu anapofanya vizuri?

Napenda kusema na kumwambia Dr Slaa kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe,hakuinuliwa kwa mkono wa mwanadamu bali na mkono wa Mungu Mwenyewe,hivyo hawezi kushushwa na mikono wala maneno ya mwanadamu mwenye chuki zake binafsi. Atapambana sana lakini hataweza kumshusha mama yetu.ukiinuliwa na Mungu mwanadamu hawezi kukushusha.ukipewa kibali na Mungu mwanadamu hawezi kukuzuia kupita na kukubalika mahali popote pale.Mungu yupo upande wa Rais Samia na Anaendelea kumpatia njia na maarifa ya kuongoza Taifa letu.

Uzuri wa Rais wetu yeye hakatishwi tamaa wala kunyong'onyeshwa na maneno au chuki ya mwanadamu .siku zote yeye hutizama mbele kwa matumaini na ujasiri wa hali ya juu katika kuyakabili matatizo na Changamoto mbalimbali ili kuwatua mizigo Watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742- 676627.
Kumbuka pia Dr Slaa alikuwa hampendi Dr kikwete. Hivyo ameumga mnyororo wa thamani
 
Labda humtaki wewe na mkeo lakini mamilioni ya watanzania wanampenda mh Rais na ndio maana unaona walimu wamekuwa msitari wa mbele kumchangia pesa ya kuchukulia Fomu uchaguzi ujao.
Hawa walimu wajinga na watofauti ngani na nyie UWT? kama ni mzuri akaongoze kwao kwani kwao hawataki mtu wa kuletea maendeleo kwa haraka? Sisi hatumtaki
 
Sasa umeamua kutufumbua macho sababu za kumchukia rais Samia.
Kumbe hata uraia wake una mashaka?
Rais kutoka nchi nyingine? Nk
Nangoja 2025 tuone kama CCM watatuletea huyu mwarabu wa Oman kama mgombea wao wa urais ili tupinge kwa kutumia sababu ulizoorodhesha kwenye uzi wako.
Duh.
Sisi siyo wajinga tumchague mtu wa kuja, sahivi mpk VEO's ni warabu wa kutoka Zenji mzee utadhani sisi hatuna ndugu asee
 
Huna adabu na uchawa wako.
Watu tuna matatizo lukuki Hali mbaya watoto wetu wanadaiwa Ada mashuleni kinachoendelea ni upuuzi tupu eti wakule kwa urefu wa kamba.
Hooovyo.
Pesa zinapelekwa visiwa kujenga kisiwa chao na ajira zote zimeenda upande mmoja na dini moja, kifupi hatumtaki huo mtu wao
 
Ndugu zangu Watanzania,

Haihitaji akili kubwa sana wala shahada ya chuo kikuu wala kusubiri kuambiwa wala kupewa ufunuo katika kutambua kuwa Dr Slaa Ni mtu ambaye kifua na moyo wake unaonyesha kuwa na chuki kubwa sana na Rais wetu Mh mama Samia Suluhu Hasssan. Ukisikiliza maneno ya Dr Slaa kwa nyakati na vipindi tofauti tofauti wakati huu wa Urais wa Rais Samia unaona wazi kabisa kuwa kaelemewa na hasira,kinyongo na maumivu makubwa ndani ya moyo wake dhidi ya Rais Samia.

Jaribuni ndugu zanguni kufuatilia maneno ,matamshi ,kauli , mazungumzo na hata matendo ya Dr Slaa miaka mitano iliyopita na Dr Slaa wa wakati huu wa Rais samia, ili muelewe hiki nachokiandika hapa kuwa Dr Slaa kuna jambo linamsumbua sana moyoni na akilini mwake.amebeba mzigo wa maumivu ,maumivu yakuona Rais Samia akifanikiwa kwa kiasi kikubwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania tofauti pengine na matarajio yake yeye mwenyewe.

Sasa maumivu hayo yameshindikana kutunzika katika moyo na kifua chake na sasa kaamua kutoa sauti yake.sasa anawapangia watu mambo ya kusema,sasa hataki na anaumia sana anapoona watu wakimponge Rais Samia.hataki watu wafanye hivyo maana anaumia.hataki vijana kwa maelfu yao wampongeze Rais samia baada ya kupata ajira baada ya kusota mitaani kwa miaka mingi,hataki wakulima wanaoendelea kuneeemeka na mbolea za Ruzuku pamoja na bei nzuri za mazao wampongeze Rais samia kwa juhudi zake za kuinua kilimo na mkulima.

Hataki wazazi wampongeze Rais samia baada ya kuwatua mzigo wa kulipa ada kama walivyokuwa wanafanya awali,hataki vijana wa vyuo vikuu wampongeze Rais samia baada ya kuwa sasa wote wenye sifa wanapata mikopo bila shida yoyote ile,hataki watumishi wa umma wampongeze Rais samia baada ya kuongezewa mishahara kwa 23% hasa wale wa kima cha chini baada ya kusota wakisubiri kwa miaka mingi,hataki watumishi ambao sasa wamepandishwa madaraja,kulipwa malimbikizo ya madeni na kupewa nyongeza ya mshahara kila mwaka wampongeze Rais samia.

Dr Slaa hataki na anaumia sana anapoona wafanyabiashara wakimpongeza Rais samia kwa kuweka mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji,Dr Slaa hataki kuona Rais Samia akipongezwa kwa kuiheshimisha nchi yetu kimataifa mpaka sasa tumerudishwa kwenye mpango wa millenium challenge huku miradi ya maendeleo ikiendelea kutekelezwa kila kona ya nchi yetu.

Sasa kwanini Dr Slaa hataki tumpongeze Rais wetu? Kwanini anaumia sana? Mbona awali alikuwa mtoa sifa na pongezi mzuri sana na alituasa hata watanzania kupongeza juhudi na kazi kubwa sana iliyokuwa ikifanywa na serikali ya awamu ya tano? Kwanini leo iwe kama kosa au jinai kumpongeza Rais samia kwa kazi kubwa na uchapa kazi wake uliotukuka ulioliletea maendeleo makubwa Taifa letu ndani ya muda mfupi?

Anataka nini Dr slaa? Kwani yeye anatakaje? Anataka tuseme nini pale Rais wetu anapofanya vizuri?

Napenda kusema na kumwambia Dr Slaa kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe,hakuinuliwa kwa mkono wa mwanadamu bali na mkono wa Mungu Mwenyewe,hivyo hawezi kushushwa na mikono wala maneno ya mwanadamu mwenye chuki zake binafsi. Atapambana sana lakini hataweza kumshusha mama yetu.ukiinuliwa na Mungu mwanadamu hawezi kukushusha.ukipewa kibali na Mungu mwanadamu hawezi kukuzuia kupita na kukubalika mahali popote pale.Mungu yupo upande wa Rais Samia na Anaendelea kumpatia njia na maarifa ya kuongoza Taifa letu.

Uzuri wa Rais wetu yeye hakatishwi tamaa wala kunyong'onyeshwa na maneno au chuki ya mwanadamu .siku zote yeye hutizama mbele kwa matumaini na ujasiri wa hali ya juu katika kuyakabili matatizo na Changamoto mbalimbali ili kuwatua mizigo Watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742- 676627.
Rais wako ndio Rais pekee anayechukiwa sana na Watanzania walio wengi na hasa wa hali ya chini.
 
Ukiambiwa kuwa wewe ni CHAWA unakasilika
 
Back
Top Bottom