Kwanini Dr Slaa ana chuki kubwa sana na Rais Samia?

Rais wako ndio Rais pekee anayechukiwa sana na Watanzania walio wengi na hasa wa hali ya chini.
Rais Samia anapendwa sana na mamilioni ya watanzania.watu wa chini ambao wengi wao ni wakulima wanampenda na kumkubali sana Rais samia hasa baada ya Rais Samia na Serikali yake kuamua kukipa thamani kilimo na kumuinua mkulima aliyekuwa anateseka miaka yote pasipo kufaidika na jasho lake
 
Ndugu zangu Watanzania,

Haihitaji akili kubwa sana wala shahada ya chuo kikuu wala kusubiri kuambiwa wala kupewa ufunuo katika kutambua kuwa Dr Slaa Ni mtu ambaye kifua na moyo wake unaonyesha kuwa na chuki kubwa sana na Rais wetu Mh mama Samia Suluhu Hasssan. Ukisikiliza maneno ya Dr Slaa kwa nyakati na vipindi tofauti tofauti wakati huu wa Urais wa Rais Samia unaona wazi kabisa kuwa kaelemewa na hasira,kinyongo na maumivu makubwa ndani ya moyo wake dhidi ya Rais Samia.

Jaribuni ndugu zanguni kufuatilia maneno ,matamshi ,kauli , mazungumzo na hata matendo ya Dr Slaa miaka mitano iliyopita na Dr Slaa wa wakati huu wa Rais samia, ili muelewe hiki nachokiandika hapa kuwa Dr Slaa kuna jambo linamsumbua sana moyoni na akilini mwake.amebeba mzigo wa maumivu ,maumivu yakuona Rais Samia akifanikiwa kwa kiasi kikubwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania tofauti pengine na matarajio yake yeye mwenyewe.

Sasa maumivu hayo yameshindikana kutunzika katika moyo na kifua chake na sasa kaamua kutoa sauti yake.sasa anawapangia watu mambo ya kusema,sasa hataki na anaumia sana anapoona watu wakimponge Rais Samia.hataki watu wafanye hivyo maana anaumia.hataki vijana kwa maelfu yao wampongeze Rais samia baada ya kupata ajira baada ya kusota mitaani kwa miaka mingi,hataki wakulima wanaoendelea kuneeemeka na mbolea za Ruzuku pamoja na bei nzuri za mazao wampongeze Rais samia kwa juhudi zake za kuinua kilimo na mkulima.

Hataki wazazi wampongeze Rais samia baada ya kuwatua mzigo wa kulipa ada kama walivyokuwa wanafanya awali,hataki vijana wa vyuo vikuu wampongeze Rais samia baada ya kuwa sasa wote wenye sifa wanapata mikopo bila shida yoyote ile,hataki watumishi wa umma wampongeze Rais samia baada ya kuongezewa mishahara kwa 23% hasa wale wa kima cha chini baada ya kusota wakisubiri kwa miaka mingi,hataki watumishi ambao sasa wamepandishwa madaraja,kulipwa malimbikizo ya madeni na kupewa nyongeza ya mshahara kila mwaka wampongeze Rais samia.

Dr Slaa hataki na anaumia sana anapoona wafanyabiashara wakimpongeza Rais samia kwa kuweka mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji,Dr Slaa hataki kuona Rais Samia akipongezwa kwa kuiheshimisha nchi yetu kimataifa mpaka sasa tumerudishwa kwenye mpango wa millenium challenge huku miradi ya maendeleo ikiendelea kutekelezwa kila kona ya nchi yetu.

Sasa kwanini Dr Slaa hataki tumpongeze Rais wetu? Kwanini anaumia sana? Mbona awali alikuwa mtoa sifa na pongezi mzuri sana na alituasa hata watanzania kupongeza juhudi na kazi kubwa sana iliyokuwa ikifanywa na serikali ya awamu ya tano? Kwanini leo iwe kama kosa au jinai kumpongeza Rais samia kwa kazi kubwa na uchapa kazi wake uliotukuka ulioliletea maendeleo makubwa Taifa letu ndani ya muda mfupi?

Anataka nini Dr slaa? Kwani yeye anatakaje? Anataka tuseme nini pale Rais wetu anapofanya vizuri?

Napenda kusema na kumwambia Dr Slaa kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe,hakuinuliwa kwa mkono wa mwanadamu bali na mkono wa Mungu Mwenyewe,hivyo hawezi kushushwa na mikono wala maneno ya mwanadamu mwenye chuki zake binafsi. Atapambana sana lakini hataweza kumshusha mama yetu.ukiinuliwa na Mungu mwanadamu hawezi kukushusha.ukipewa kibali na Mungu mwanadamu hawezi kukuzuia kupita na kukubalika mahali popote pale.Mungu yupo upande wa Rais Samia na Anaendelea kumpatia njia na maarifa ya kuongoza Taifa letu.

Uzuri wa Rais wetu yeye hakatishwi tamaa wala kunyong'onyeshwa na maneno au chuki ya mwanadamu .siku zote yeye hutizama mbele kwa matumaini na ujasiri wa hali ya juu katika kuyakabili matatizo na Changamoto mbalimbali ili kuwatua mizigo Watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742- 676627.
Binafsi sitowapenda wana ccm kwa kutuwekea sheria ya hovyo ya kikokotoo
 
Upinzani usio na sera ni ujinga mtupu.

Hili la umeme wwatu walishaambiwa litachukuwa miezi sita toka Biteko kawekwa alishughulikie, imekwisha?

Wewe, kama wewe unahitaji umeme wa nini ambao umeukosa?

Wewe unataka kila wanachoambiwa wananchi wakubaliane nacho kirahisi?

Kwa hiyo wananchi wakiambiwa kama hawaridhiki na kilichosemwa wafanyeje?

Na mkumbuke usiku wa deni haukawiii.

Nipo paleee [emoji108]
 
Huyo mswahili wa Zanzibar achana naye hana akili ni ajuza 70+, juzi kapewa 4M za mto msimbazi na hana nyumba pale ni mpangaji hivyo lazima ashambikie ndugu yake kupiga pesa za wabara.
 
Nimesoma kidogo tu nikashuka chini nikakutana na namba yako nikasikitika tu. Ndugu, jibuni hoja anazokuwa anazihoji mbona rahisi tu.
 
Hivi ile 21% ya ajira kutoka Zanzibar wameifanya kweli?

Maana wamejaa mpaka basi?!

Tanganyika [emoji2297]
Huu ujinga ndiyo hatuutaki, ajira wametunyang'anya, pesa wanabeba wanapeleka kwao, ardhi na teuzi zote ni kwao. Huu muungano fake uvunjwe haraka
 
Upinzani usio na sera ni ujinga mtupu.

Hili la umeme wwatu walishaambiwa litachukuwa miezi sita toka Biteko kawekwa alishughulikie, imekwisha miezi sita?

Wewe, kama wewe unahitaji umeme wa nini ambao umeukosa? Kisimu chako hicho kinakuweka bize hata solar ya 5,ooo inatatuwa tatizo.
Tatizo la umeme nchi hii limeanza juzi? Uza ubongo huo ajuza maana unakaa nao kwa hasara.
 
Slaa ana chuki za kiwanga na kijinga.

Chuki kubwa ni Mama Samia alipomwachia Mbowe na kumfutia kesi za ugaidi.

kwanza kesi za ugaidi wa Mbowe, fitna kubwa ya nyuma ya pazia ilikuwa ni Slaa. Unafikiri alipewa ubalozi kwa kuwa anapendwa sana na jiwe?
Hapo ndio unaona umecheza bonge la mind game! Kweli uzee ni tatizo.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Haihitaji akili kubwa sana wala shahada ya chuo kikuu wala kusubiri kuambiwa wala kupewa ufunuo katika kutambua kuwa Dr Slaa Ni mtu ambaye kifua na moyo wake unaonyesha kuwa na chuki kubwa sana na Rais wetu Mh mama Samia Suluhu Hasssan. Ukisikiliza maneno ya Dr Slaa kwa nyakati na vipindi tofauti tofauti wakati huu wa Urais wa Rais Samia unaona wazi kabisa kuwa kaelemewa na hasira,kinyongo na maumivu makubwa ndani ya moyo wake dhidi ya Rais Samia.

Jaribuni ndugu zanguni kufuatilia maneno ,matamshi ,kauli , mazungumzo na hata matendo ya Dr Slaa miaka mitano iliyopita na Dr Slaa wa wakati huu wa Rais samia, ili muelewe hiki nachokiandika hapa kuwa Dr Slaa kuna jambo linamsumbua sana moyoni na akilini mwake.amebeba mzigo wa maumivu ,maumivu yakuona Rais Samia akifanikiwa kwa kiasi kikubwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania tofauti pengine na matarajio yake yeye mwenyewe.

Sasa maumivu hayo yameshindikana kutunzika katika moyo na kifua chake na sasa kaamua kutoa sauti yake.sasa anawapangia watu mambo ya kusema,sasa hataki na anaumia sana anapoona watu wakimponge Rais Samia.hataki watu wafanye hivyo maana anaumia.hataki vijana kwa maelfu yao wampongeze Rais samia baada ya kupata ajira baada ya kusota mitaani kwa miaka mingi,hataki wakulima wanaoendelea kuneeemeka na mbolea za Ruzuku pamoja na bei nzuri za mazao wampongeze Rais samia kwa juhudi zake za kuinua kilimo na mkulima.

Hataki wazazi wampongeze Rais samia baada ya kuwatua mzigo wa kulipa ada kama walivyokuwa wanafanya awali,hataki vijana wa vyuo vikuu wampongeze Rais samia baada ya kuwa sasa wote wenye sifa wanapata mikopo bila shida yoyote ile,hataki watumishi wa umma wampongeze Rais samia baada ya kuongezewa mishahara kwa 23% hasa wale wa kima cha chini baada ya kusota wakisubiri kwa miaka mingi,hataki watumishi ambao sasa wamepandishwa madaraja,kulipwa malimbikizo ya madeni na kupewa nyongeza ya mshahara kila mwaka wampongeze Rais samia.

Dr Slaa hataki na anaumia sana anapoona wafanyabiashara wakimpongeza Rais samia kwa kuweka mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji,Dr Slaa hataki kuona Rais Samia akipongezwa kwa kuiheshimisha nchi yetu kimataifa mpaka sasa tumerudishwa kwenye mpango wa millenium challenge huku miradi ya maendeleo ikiendelea kutekelezwa kila kona ya nchi yetu.

Sasa kwanini Dr Slaa hataki tumpongeze Rais wetu? Kwanini anaumia sana? Mbona awali alikuwa mtoa sifa na pongezi mzuri sana na alituasa hata watanzania kupongeza juhudi na kazi kubwa sana iliyokuwa ikifanywa na serikali ya awamu ya tano? Kwanini leo iwe kama kosa au jinai kumpongeza Rais samia kwa kazi kubwa na uchapa kazi wake uliotukuka ulioliletea maendeleo makubwa Taifa letu ndani ya muda mfupi?

Anataka nini Dr slaa? Kwani yeye anatakaje? Anataka tuseme nini pale Rais wetu anapofanya vizuri?

Napenda kusema na kumwambia Dr Slaa kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe,hakuinuliwa kwa mkono wa mwanadamu bali na mkono wa Mungu Mwenyewe,hivyo hawezi kushushwa na mikono wala maneno ya mwanadamu mwenye chuki zake binafsi. Atapambana sana lakini hataweza kumshusha mama yetu.ukiinuliwa na Mungu mwanadamu hawezi kukushusha.ukipewa kibali na Mungu mwanadamu hawezi kukuzuia kupita na kukubalika mahali popote pale.Mungu yupo upande wa Rais Samia na Anaendelea kumpatia njia na maarifa ya kuongoza Taifa letu.

Uzuri wa Rais wetu yeye hakatishwi tamaa wala kunyong'onyeshwa na maneno au chuki ya mwanadamu .siku zote yeye hutizama mbele kwa matumaini na ujasiri wa hali ya juu katika kuyakabili matatizo na Changamoto mbalimbali ili kuwatua mizigo Watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742- 676627.
Wakrristo huwa wanachukia viongozi wa kiislam
 
Back
Top Bottom