Kwanini Dr Slaa akisafiri ofisi anamwachia Victor Kimesea, majukumu yake anamwachia Mnyika?

Ndugu wanajamvi naomba mnisaidie kwa yule anayejua kwa nini dr slaa akisafiri ofisi humwachia mkurugenzi wa utawala ndugu victor kimesea lakini majukumu yote ya kiutendaji huachiwa mnyika.

swali langu la msingi kwa nini anayeachiwa ofisi asiachiwe na majukumu yote ya slaa kiutendaji au anamapungufu gani kwenye utendaji mpaka aachiwe ofisi pekee bila majukumu.

Lakini pia kwa nini dr slaa hamwachii msaidizi wake kwa maana ya naib katibu mkuu kijana aliyeaga kwao zitto kabwe au naye ananini?

Mimi naona sasa ifike mahali tuachane na hizi 'hoja' nyepesi.
Tuje na HOJA kama hizi hapa chini...

Leo ni siku ya wazee duniani.
Repoti zinasema kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi tano zinazoongoza kwa kutowajali wazee wake !!
Tanzania ni nchi pekee toka bara la afrika kwenye list hiyo ya nchi tano
zilizo kinara kwa ukatili kwa wazee wake.
Tanzania inashindwa hata na nchi ndogo kabisa hapa afrika mashariki kama Rwanda na Burundi.

Wa-Tanzania, Hii ndio HOJA ya leo.

Ile 'sera' ya 'Maisha bora kwa kila m-Tanzania' vipi ???
Au sera ile haiwahusu wazee wetu hapa Tanzania ???
 
Jambo kubwa la kujiuliza kwa nini ofisi aachiwe victor halafu majukumu mnyika hiki ni kitu gani sikielewe.

wewe ni CCM, hivyo huwezi kuelewa kila move ya CDM, Tuachie sisi!

Ungekuwa na vigezo vya weledi, ningekukaribisha ujiunge CDM lakini u are at the bottomless pit!
 
Ndugu wanajamvi naomba mnisaidie kwa yule anayejua kwa nini dr slaa akisafiri ofisi humwachia mkurugenzi wa utawala ndugu victor kimesea lakini majukumu yote ya kiutendaji huachiwa mnyika.

swali langu la msingi kwa nini anayeachiwa ofisi asiachiwe na majukumu yote ya slaa kiutendaji au anamapungufu gani kwenye utendaji mpaka aachiwe ofisi pekee bila majukumu.

Lakini pia kwa nini dr slaa hamwachii msaidizi wake kwa maana ya naib katibu mkuu kijana aliyeaga kwao zitto kabwe au naye ananini?

Akisafiri tena tutamwambia akachie wewe office na majukumu yake then utampa usaidizi ZITTO.
 
Victor Kimesera ni moja ya watendaji wakuu wa chama. Kwa taarifa yako Kikwete anamgwaya sana Kimesera
Teh teh teh! Nimecheka sana kweli JF kuna vituko Rais anamgwaza kimesera¤ mbavu zangu.
 
Majukumu ya chadema siku hizi yanasimamiwa na kupangwa na mama Josephine mshumbusi. Na mshumbusi na zitto ni panya na paka. Nadhani umeshaelewa hapo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kama huna unachojua bora kaa kimywa subiri chakula kiive uletewe ni busara pia kukaa kimywa kama hujui kitu.

Mimi ni mwanachama halala CCM tena mtiifu hata mkitaka id card no nitaiweka hapa mtandaoni. Ila kinacho nisikitisha nikuona vijana wetu kama kina Simiyu kwetu HAMY-D LIZABONI RITZ (SHONZA NA MWAMPAMBA HATUWATAMBUI KICHAMA HAO NIWA MWINGULU.) wanatumika sivyo hawana mbinu mpadala yakupambana na CDM. Napenda kuwashauri hebu pendeni kujenga hoja za msingi hususan kuelezea ilani ya chama chetu na utekelezaji wake kwani ndio wananchi ndio wanachotaka. Epukeni kuwapa CDM PROMO KILA SIKU. Nyie ndio mmekua sehemu ya KUIJENGA CDM MKIJUA MNAIBOMOA. Tumechoka kila siku Slaa Mbowe Mnyika Lema Mdee hebu ongeleeni maji umeme mashule huduma za afya barabara nk. NI USHAURI TU ANGALIENI VIONGOZI WETU KAMA NAPE NA MWINGULU WANAVYO DHARAULIKA ITS PAIN.
 
Creative and uncommon leaders see things in different ways,hii ndiyo inayotenganisha uongozi wa magamba na CHADEMA.
 
Ndugu wanajamvi naomba mnisaidie kwa yule anayejua kwa nini dr slaa akisafiri ofisi humwachia mkurugenzi wa utawala ndugu victor kimesea lakini majukumu yote ya kiutendaji huachiwa mnyika.

swali langu la msingi kwa nini anayeachiwa ofisi asiachiwe na majukumu yote ya slaa kiutendaji au anamapungufu gani kwenye utendaji mpaka aachiwe ofisi pekee bila majukumu.

Lakini pia kwa nini dr slaa hamwachii msaidizi wake kwa maana ya naib katibu mkuu kijana aliyeaga kwao zitto kabwe au naye ananini?
Katika watu wajinga hakika wewe ni nambari one! Hivi akimuachia shemeji yako ndo ungefurahi? Tatizo unaitazama cdm kama cdm pole!
 
Ndugu wanajamvi naomba mnisaidie kwa yule anayejua kwa nini dr slaa akisafiri ofisi humwachia mkurugenzi wa utawala ndugu victor kimesea lakini majukumu yote ya kiutendaji huachiwa mnyika.

swali langu la msingi kwa nini anayeachiwa ofisi asiachiwe na majukumu yote ya slaa kiutendaji au anamapungufu gani kwenye utendaji mpaka aachiwe ofisi pekee bila majukumu.

Lakini pia kwa nini dr slaa hamwachii msaidizi wake kwa maana ya naib katibu mkuu kijana aliyeaga kwao zitto kabwe au naye ananini?

Bila hii post ulikuwa unapiga pasi ndefu hadi jioni,Mgao wa pesa ya lunch kutoka lumumba isingekuhusu leo!.Viongozi wenu huko lumumba wako makini mnoo! Yani wanawafuatilieni vijana wao wote kwa ukaribu mkubwa mnoo,Mushakuwa watumwa mjini.
 
Ndugu wanajamvi naomba mnisaidie kwa yule anayejua kwa nini dr slaa akisafiri ofisi humwachia mkurugenzi wa utawala ndugu victor kimesea lakini majukumu yote ya kiutendaji huachiwa mnyika.

swali langu la msingi kwa nini anayeachiwa ofisi asiachiwe na majukumu yote ya slaa kiutendaji au anamapungufu gani kwenye utendaji mpaka aachiwe ofisi pekee bila majukumu.

Lakini pia kwa nini dr slaa hamwachii msaidizi wake kwa maana ya naib katibu mkuu kijana aliyeaga kwao zitto kabwe au naye ananini?

Ungecheki na Slaa ungekuwa umepata majibu fasta sana kuliko kuileta kama mada, hapa utapata majibu meengi ambayo bado utakuwa na kazi ya kumpigia Slaa ku-confirm, kwa mfano mimi siamini kama kweli hicho unachouliza kipo kweli au ni propaganda maana hamna mahala popote unaponi-convice kwamba Dr Slaa akisafiri ofisi anamwachia Victor Kimesea, majukumu yake anamwachia Mnyika
 
mnafikiri tutamshambulia Dr. slaa kama kwenye ule uzi wa josephine?kule tulikuwa tunamweka sawa na nafikiri kimyomoyo amejifunza somo moja au mawili.
 
Ukiona hivyo VICTOR KIMESERA ni MCHAGA..

CDM haina maisha marefu jamani..

t1511.gif
 
Zitto yuko bize sana hawezi fanya majukumu mengine hivyo ndo maana Dr. Slaa humwachia majukumu mtu mwingine afanye hivyo usimfikirie au usifikirie kitofauti ondoa dhana hiyo bestito
Ndugu wanajamvi naomba mnisaidie kwa yule anayejua kwa nini dr slaa akisafiri ofisi humwachia mkurugenzi wa utawala ndugu victor kimesea lakini majukumu yote ya kiutendaji huachiwa mnyika.

swali langu la msingi kwa nini anayeachiwa ofisi asiachiwe na majukumu yote ya slaa kiutendaji au anamapungufu gani kwenye utendaji mpaka aachiwe ofisi pekee bila majukumu.

Lakini pia kwa nini dr slaa hamwachii msaidizi wake kwa maana ya naib katibu mkuu kijana aliyeaga kwao zitto kabwe au naye ananini?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom