Kwanini Dr Slaa akisafiri ofisi anamwachia Victor Kimesea, majukumu yake anamwachia Mnyika?

Zitto ni mtanzania wakati
kimesea ,mnyika na Slaa ni wakaskazini.sasa ulitaka aachiwe mtanzania
ambae hawezi linda maslahi ya kaskazini? au unajifanya hujui mission
yetu ya kuhakikisha tunakua na dola yetu ya Kaakazini? chadema
inawenyewe na kaskazini ndio mpango mzima wengine
mnajipendekeza.
kwa kauli hizi za ma'uvccm kaskazini mtakusahau na soon itakuwa magharibi na kusini, endelezeni huu ukaburu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom