Kwanini Dr Slaa akisafiri ofisi anamwachia Victor Kimesea, majukumu yake anamwachia Mnyika?

Mantling ya Zito anafanya mnyika hii ni zarau sana kwa Zito nae hajitathmin Zito jinsi anavyozarauliwa?

Mzee wa sumu jina lako limenishtua sana, nilifikiri ni ile sumu iliyotaka kumdhuru ZITTO, kidogo nimpigie simu ZITTO nimwambie kaa mbali huyu ni B.S.S
 
Ungesubiri hata saa saba ifike,asubuh asubuh umeanzana Rais wetu duh!! Sasa naamini kweli Nape ameongeza dau kwa vijana wake.
 
Ndugu wanajamvi naomba mnisaidie kwa yule anayejua kwa nini dr slaa akisafiri ofisi humwachia mkurugenzi wa utawala ndugu victor kimesea lakini majukumu yote ya kiutendaji huachiwa mnyika.

swali langu la msingi kwa nini anayeachiwa ofisi asiachiwe na majukumu yote ya slaa kiutendaji au anamapungufu gani kwenye utendaji mpaka aachiwe ofisi pekee bila majukumu.

Lakini pia kwa nini dr slaa hamwachii msaidizi wake kwa maana ya naib katibu mkuu kijana aliyeaga kwao zitto kabwe au naye ananini?


mhhhhhh mnaipa promo cdm kila kukicha...mlipaswa kuja na issue zinazohusu maendeleo kisiasa kuhusu ccm sasa hii promo daily nani anawalipa na inasaidia nini maana haituondelei kero za dawa maji umeme barabara madeni nk....loo
 
aiseee babayangu nimecheka sana bado kidogo nipaliwe na mbege yewiiiiiii
bora wewe umejipambanua kuwa ni mchagaa na unatetea Watu wa Kaskazini kuliko hawa akina Jackson Jacqueline wanaokuwa na nidhamu ya uoga.
 
Zitto ana majukumu yake ya Unaibu, hiyo nafasi siyo ya kumsaidia Katibu mkuu ni nafasi inayojitegemea, kwahiyo ni wajibu wa Dr. Kumkaimisha mtu mwinginne akiondoka ofisini.. Na Zitto naye akisafiri majukumu yake anamkaimisha mtu mwingine.. Una swali jingine?

M m m m m m m m m, umeishia darasa la ngapi wewe?
 
Kwani mnyika siyo mbunge au yeye ni viti maalumu make unaongea kitu ambacho kianamajibu.
mkuu inaonekana una majibu yako tayari kichwani, hiyo ni hatari sana! Ninachosema huwezi kufananisha majukumu ya zitto ya kibunge na mh. Mnyika, zitto ni waziri wa fedha kivuli, naibu kiongozi wa upinzani bungeni, ni mwenyekiti wa kamati ya PAC, Pia ni mjumbe wa kamati ya fedha ya bunge. Mnyika hana majukumu ya kibunge mazito ukilinganisha na zitto, mnyika ni waziri kivuli wa nishati na mjumbe wa kamati hiyo pamoja na kamati ya ardhi tu! Huo ndo ukweli, mengine ni yako na wagamba wenzako!
 
Leo ningeshangaa sana kama hadi saa tano hii hakuna uzi wa shutma unaomuhusu DR.Slaa, kweli kawashika palivyo; Lumumba kunawaka moto.

Kumbe ukiongelewa sana, umewashika watu pabaya? Hongera sana JK maana wewe utakuwa unaongoza kwa kuwashika pabaya Ma-CHADEMA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom