MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,772
- 71,839
Ningekuwa ni mmoja wapo wa hoa walioficha hiyo historia ningejua sababu mkuu.Malcom lumumba
Nmependa mwendo huu sasa tuambie kwann unazan some history or events hufichwaaa
Ningekuwa ni mmoja wapo wa hoa walioficha hiyo historia ningejua sababu mkuu.Malcom lumumba
Nmependa mwendo huu sasa tuambie kwann unazan some history or events hufichwaaa
Dingiswayo alikuwa noma sana.Kabla ya kuwa mfalme yeye na kaka yake walijaribu kumpindua baba yao wakastukiwa Dingiswayo akafanikiwa kutoroka kaka ake akauwawa.Dingi alivyo kufa Dingiswayo akarudi kuchukua kiti mmoja kati ya ndugu wa Dingiswayo alie tazamiwa kuchukua kiti akaenda exile but after sometimes akawa lured kuja nyumbani and he was killed upon arrivalNingekuwa ni mmoja wapo wa hoa walioficha hiyo historia ningejua sababu mkuu.
upload 'epic of sundiata' tuongeze kitu.Baada ya mama yake kumtandika rungu la kichwa moja ya wafanyakazi wa mume wake alitimuliwa na kurudishwa kwao.
Shaka akafukuzwa na kulelewa na chifu wa Mutethwa, huko ndiko alikutana na Dingswayo baada ya kuwa chifu wakaanza kuvamia vijiji na yeye alisaidia kabisa kwasababu Wazulu walimkataa kwa kusema amezaliwa nje ya ndoa kabla mama yake hajaolewa na chifu wa Wazulu. Hadithi ya huyu jamaa imekaa kama The Epic of Sundiata....!