Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,837
Kama kuna dikteta anayependwa na kusifiwa basi ni Fidel Castro, Madikteta wote Duniani huchukiwa na kukejeliwa kuanzia Hitler, Stalin mpaka Kim wa Korea Kaskazini lkn siyo Castro, leo hii anasherehekea siku yake ya kuzaliwa miaka 90, Dunia nzima wanamuandika positive tena Wazungu wenzake wa magharibi ambao bni Mabepari hawamuiti Dikteta bali wanamuita Revolutionary leader au Mwanamapinduzi sasa unajua ni kwa nini Castro anapendwa na kusifiwa na Wazungu wa Magharibi ambao ni Mabepari?
Ni kwa sababu Fidel Castro ni Myahudi na kwa kuwa Dunia imeshikwa na Wayahudi kuanzia media, Mabenki mpaka Wanasiasa basi ni mwiko kumsema vibaya Myahudi, kuna sababu kwa nini Obama kama Raisi wa USA nchi ambayo ni adui namba moja wa Ukomunisti amekwenda kumtembelea Fidel Castro!