Kwanini Dikteta Castro anapendwa sana?

Kwanini Dikteta Castro anapendwa sana?

KWANZA KABLA HUJAENDELEA FUTA KAULI YAKO CASTRO SIYO MYAHUDI
 
Mkuu una mawazo ya kupandikizwa!
Nani kamwambia Fidel Castro ni dikteta!
Watu msiojua historia mtamini kila kitu na kunyonya uchafu kama sponji kwenye maji.

Nimemuita dikteta kwa maana ni Kiongozi ambaye anaongoza nchi isiyo na vyama vingi na wala hakuna uchaguzi, na hakuna maana nyingine ya udikteta kama ipo niambie, hata Mlm.Nyerere wkt wa Chama kimoja alikuwa ni dikteta, hiyo ndiyo maana ya udikteta!

Yaani Kiongozi ambaye hajachaguliwa na wananchi aidha kaingia kwa nguvu ya kupindua Serikali au karithishwa na bila ya kufanyika uchaguzi kama Theresia May!
 
KWANZA KABLA HUJAENDELEA FUTA KAULI YAKO CASTRO SIYO MYAHUDI

Siwezi kufuta kauli yangu kwa maana ndiyo hasa hoja nzima ya mada yangu na nashangaa watu wengi wanavyochangia hoja za pembeni!
Mimi nimeongelea Kimataifa na siyo ndani ya Cuba, yaani Castro anapendwa sana watu wa Magharibi au Mabepari kuliko Madikteta wengine kama wa Uchina, Urusi (Stalini), Kim -Korea, hata Mkomunisti Chavez alichukiwa zaidi na watu wa Magharibi klk Castro, sasa ni kwa nini?

Ni kwa sababu Fidel Castro ni Myahudi hiyo ndiyo sababu, na vyombo vya Habari vyote Dunia hii vinamilikiwa na Wayahudi ndiyo maana anapata positive news ingawaje ni Mkomunisti na dikteta!!
 
Nimemuita dikteta kwa maana ni Kiongozi ambaye anaongoza nchi isiyo na vyama vingi na wala hakuna uchaguzi, na hakuna maana nyingine ya udikteta kama ipo niambie, hata Mlm.Nyerere wkt wa Chama kimoja alikuwa ni dikteta, hiyo ndiyo maana ya udikteta!

Yaani Kiongozi ambaye hajachaguliwa na wananchi aidha kaingia kwa nguvu ya kupindua Serikali au karithishwa na bila ya kufanyika uchaguzi kama Theresia May!
Mkuu umekua yamini na mabeberu au waliokusomesha bure ulaya au vipi?
Kwa definition yako basi Putin anaingia kundi hilo kama ilivyo Xi Ping wa China na Malkia wa Uingereza na vile vile Al Sisi wa Egypt na wengine wengi sana.

Na kwa definition hiyo hiyo, uhuru uliopiganiwa na mababa zetu kina Nyerere, Samora, Kaunda, Neto , Obote, Kenyatta basi waifanya hivyo kidikteta dikteta!

You have avery narrow view of world politics, don't allow yourself to be fed political trash from the West.
 
Jamaa alisoma science viva Revolutionarist Fidel RIP Che
 
Castro, dikteta?????!!!!! Sawa ni dikteta kwa mtazamo wa nchi za magharibi na wale wanaochukulia mtazamo wa nchi hizo kuwa ndiyo unaostahili kuiongoza dunia....
Kama source ni Wikipedia we ulitakaje
 
mataifa ya magharibi yanaifanya dunia kuwa kma wao wanavyotaka pumbafu
 
Ila nimeskia story nyingi sana za huyu blaza.

Mara alikuja tz akiwa kawaida na suti kumbe alikuwa na siraha matata imo katika mwili wake.

Alitoroka guantanamo gereza lililopo katikati ya bahari na kuogerea mamia ya kilomita

SJUI NI KWELI???

Inasemekana ni miongoni pia mwa wachache wenye cheo cha mwisho cha kijeshi duniani.
 
Back
Top Bottom