MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,213
- 13,531
Php haiezi kutengenezea application kama whattsap au telegram.. Sio nzuri sana katika kunandle multi-billion server requests ndo maana haitumiki huko
Php haiezi kutengenezea application kama whattsap au telegram.. Sio nzuri sana katika kunandle multi-billion server requests ndo maana haitumiki huko
Mkuu kama hujaelewa mada ni bora ungekaa kimya tu, ubunifu na programming language ni wapi na wapi? Kwenye programming kuchagua language ya kutumia haihitaji ubunifuHakuna wabunifu hapa Tanzania ndiyo sababu kuu kila mtu anataka kutengeneza apps kwa mfumo ule ule hakuna wa kubuni tofauti.
Kwani hapo kamjibu mtoa mada?mbona kwenye mada za tech mara nyingi mtu akiwasema nyinyi developers huwa unakuja juu bila kutoa majibu sahihi?
mtoa mada kasema kuwa kweli tovuti nyingi za tanzania wabunifu wake wametumia php kwa sana na akauliza kwanini hamtumii language nyingine....
wewe ulitakiwa umjibu kuwa hatutumii hizo nyingine sababu 1,2,3.....
Hii inamfaa sana, heko Mtangoo
Yan in short jua kwamba kutumia language flan...inategemea na requirements za system ambayo anatakiwa a develop ...yan swali lako ni sawa na kuuliza kwann mtu akitoka ubungo kwenda mbagala anapanda daladala na asipande ndegeKwanini developers wengi Tanzania wanapenda kutumia PHP?
Habari wana JF!
Ukiangalia websites nyingi hasa za hapa kwetu utaona zimetengezwa kwa kutumia php kwenye server side! Je kwanini developers wengi Tanzania wanapendelea kutumia PHP wakati kuna languages nyingine nyingi tu ambazo wangeweza kutumia kama...
Python(django, flask) inatumika na makampuni makubwa kama Quora, instagram, linkedln, Mozilla, Google(Youtube), IBM
Javascript (Node Js) inatumika na Microsoft, Mozilla
Ruby (RoR) inatumika na Twitter, bloomberg
Na nyingine nyingi tu!!
JF imetengenezwa kwa php, websites zote za serikali zote zimetengenezwa kwa php n.k.
Mgunduzi wa Quora (ambaye pia alikua anafanya kazi facebook) katika moja ya interview zake alisema, kama Facebook ingekua inaanza miaka hii basi wasingetumia PHP!!
Kwanini basi developers wengi Tanzania wanapenda kutumia php na sio python(django, flask, tornado) au ruby (RoR)??
Sawa lakin jua FB wangekua wanaanza leo basi wasingeifikiria achilia mbali kuitumia php...hayo ni maneno ya D angelo mmiliki wa quora na former cto wa fb..Facebook pia ina php,ajax
Nafikiri kuna Non PHP websites Tanzania ambazo zimekua Open kufunguliwa kwa end users!
Na hizi zilishawai kuwekwa hapa!
1. TTCL website yake ni ASP.NET
2. TTCL service portal ni Java Servlet
3. Tigo Recharge Portal ASP.NET
4. Vodacom recharge portal ni JSP pia
5. TRA Motor vehicle Tax valuation ni ASP.NET
6....... n.k
hizo ni chache ambazo labda mimi nimekutana nazo na nirahisi ku deduce kutoka kwa nje!
Kwa hiyo observation unaweza ona kuwa web systems nyingi Tanzania zipo kwenye Java na C#
Hizo za serikali unazosema ni PHP labda ni kutoka na age na developers wameamua ku maintain lugha ilotumika mwanzo!
Tukija kwa individual Level PHP is cheap to deploy online unaweza jifunza hizo Djngo sijui vitu gani na ukashindwa au ukahangaika kui deploy online.
Ila a simple google search utapata Host kibao wa PHP na the like.
Nafikiri tusiwe taken up na hizo quotes za hao jamaa kuna reason(S) tuangalie uhalisia wa hapa kwetu!
Umesema haina uwezo wa kunandleb mult-billion sever requestPhp haiezi kutengenezea application kama whattsap au telegram.. Sio nzuri sana katika kunandle multi-billion server requests ndo maana haitumiki huko
Kwa maana hiyo unaposema php sio mzuri sana kunandle mult-billion sever requestPhp haiezi kutengenezea application kama whattsap au telegram.. Sio nzuri sana katika kunandle multi-billion server requests ndo maana haitumiki huko
Ina maana tanzania developers wanajua php peke yake??Huwezi kutumia kitu usichokijua
Nnavyojua fb kwenye server zao hawatumii php tu.... Kuna c++, hack, java etcKwa maana hiyo unaposema php sio mzuri sana kunandle mult-billion sever request
Kwa hiyo Facebook haina uwezo huo maana Php imetumika pale
Kama Jamii forums nayo inatumia PHP basi PHP ni mzuri sana!!Kwanini developers wengi Tanzania wanapenda kutumia PHP?