kwanini DEMU (dame)???

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Hivi unajisikia vipi mkeo anapoitwa demu?

ok,au mchumba wako kwa mfano,au wewe unae itwa demu na ikaitika unajua maana yake?
kwanini usiseme "mchumba","rafiki","binti" nk?

dame-->woman or girl: a term for a woman or girl (often considered offensive)
 
dame ni title kubwa sana inayotolewa na malkia wa uingereza kwa wanawake wenye mchango mkubwa katika fani mbalimbali. it is the opposite of "SIR". kwa hivi, mkeo akiitwa demu ni jambo la kujivunia
 
dame ni title kubwa sana inayotolewa na malkia wa uingereza kwa wanawake wenye mchango mkubwa katika fani mbalimbali. it is the opposite of "SIR". kwa hivi, mkeo akiitwa demu ni jambo la kujivunia

hell no,i cant take that me naona kama jina la udhalilishaji hivi ila wengi kama sio wote wanalikubali
 
hivi unajisikia vipi mkeo anapoitwa demu?

Ok,au mchumba wako kwa mfano,au wewe unae itwa demu na ikaitika unajua maana yake?
Kwanini usiseme "mchumba","rafiki","binti" nk?

dame-->woman or girl: a term for a woman or girl (often considered offensive)
haijakaa sawa but nadhani inatokana na neno madam waswaz wakapick demu tu, nakuwa wanatumia kumanisha mwanamke
 
Mimi sitakubali maana hili lilishakuwa ni jina la kihuni sana kwa huku kwetu.

Mke/ mchumba wangu aitwe hivyo kwa bahati mbaya ila kama makusudi, Lazima nife na wewe.
 
Back
Top Bottom