Kwanini Dar siyo ngome kuu ya upinzani?

Watu wengi wa dar wameadhiriwa sana na wadharamu awapendi kufanya kazi kwa bidii, wanapenda sana kuombaomba na hilo ndio tatizo kubwa

Heheheheh kama Dar watu hawafanyi kazi , hivi viwanja na makampuni sijui kwann yapo huku?
Mbona miji mingi tu dunian haishughulikii siasa
 
Dar ndio kwenye kero kuu ya maji na foleni na ndio ukitoka home saa 11 alfajiri kurudi ni saa tano night....
_dar ndio wapenda ubwabwa kwa khanga
 
Dar naweza kusema kuna tatizo kubwa mimi ninaishi hapa mda mrefu nimelifanyia hili kazi dar siyo ngome ya upinzani wala ccm wakazi wengi wa hapa hasa vijana wanatatizo la uvivu wa kuvikiri hasa maswala ya kitaifa wanajionyesha wako bize sana linapo kuja jambo la kisiasa lakini wanatumia mda mwingi wa kujushulisha na mambo ya michezo na burudani wanauelewa mkubwa sana wa mambo hayo nimefanya utafiti magazeti mengi yanayouzika sana hapa ni yamichezo na ya udaku wewe kama uko dar vijana wengi ni magaseti gani wana nunua asubuhi utashangaa utaweza usimpate kijana anae nunua magaseti haya yanayo andika mambo ya kisiasa kama upati habari unakuwa mtu wa kuishi kwa hisia tu vijana wengi niliongea nao wameniambia hawakupiga kura nikiwauliza kwanini wanasema sababu moja hawaoni faida ya kupiga kura wanaona kama kumtafutia mtu ulaji sababu nyingine wanayosema kwamba hata wakipigia kura upinzani bado ccm watashinda sasa nitatizo watu wanamna hii nitatizo linalo wapa ccm ushindi wa mezani
 
Dar tunawafahamu hao mnaowaita wapinzani na mapungufu/makandokando yao. Hawana jipya zaidi ya hii mikutano yao inayofanana na FIESTA za Clouds.
 
Karibu nchi zote duniani ambazo zimekuwa na mwamko wa kisiasa na upinzani uliokomaa zimefanya hivyo baada ya kuteka mji wake wake mkuu au mji mashuhuri. Ni katika miji mikubwa ya nchi ndipo upinzani umeonekana kukomaa

Zambia - Lusaka
Kenya - Nairobi
Irani - Tehran
Thailand - Bangkok
Ukraine - Kiev
Uingereza - London


n.k

Lakini kwa Tanzania, Dar-es-Salaam jiji kubwa zaidi, lenye watu wengi zaidi na lenye kufikiwa na vyombo vya habari vingi zaidi siyo ngome ya upinzani Tanzania. Zaidi ya watu kujitokeza kushangilia na kuonesha kukerwa na serikali ya chama tawala mara kwa mara ni hao hao watu wa Dar ndio wanaipa nguvu CCM na sitoshangaa (natumaini isiwe) upinzani unaweza usinyakue mbunge tena Dar.

Ni kitu gani kinafanya Da isiwe ngome ya upinzani? Kwa mfano kushindwa kuchukua halmashauri hata moja, kushindwa kutoa mameya, madiwani wengi wakiwa bado ni CCM na wabunge bado ni CCM licha ya madudu yote. Na hasa ukizingatia kuwa Dar ndiyo yaweza kudaiwa kuwa ina wasomi wengi zaidi!!!!

Yawezekana lawama ziiangukie CCM au pongezi kwa kuweza kuchakachua nguvu za upinzani Dar? Kwa sababu hata kwenye kura za maoni utaona wana CCM Dar wanaonekana kuchangamka zaidi kuliko wale wa upinzani. Au mimi siangalii vitu kwa usahihi maana hata CUF haina nguvu Dar mahali ambapo tungetarajia kuwa na nguvu ya aina fulani.
Upinzani Wa Tanzania hauna mpya, watu Wa Dar waliuamini upinzani enzi za Nccr Mageuzi. Sasa hivi wapinzani ni wapiga deal. Akinyimwa MTU pesa ndio analalamikia. Kwa mfano suala la IPTL umemsikia Dr. Slaa au Mbowe akilihoji? Kwa nini wanachao na Zitto kupitia amplifier wake Kafulila analihoji kwa vile hajapata mgao.
 
Back
Top Bottom