Kwanini Dar kuna vibanda vya chips kila mtaa?

Kwanini Dar kuna vibanda vya chips kila mtaa?

Uyu atakuwa ameleta gunia za viaz Dar sasa yupo Ubungo maji anavizia Fuso arudi Mbeya.
 
Kwa jinsia yoyote; WAKATI WA KAZI NA NI CHAKULA AMBACHO KINA USALAMA ZAIDI, na haraka hata kubebeka. Chakula hiki kimekuwa maarufu sana pale pirika za kiuchumi zilipoongezeka. Na hii ni sifa ya majiji yote duniani yaani uwepo wa fast food kila kona
naam,umenena vema
 
hahahahahah nimefurahishwa sana na huu uzi, mkuu usisahau kupita kariakoo pale,kigamboni bridge, na posta.
 
Usisahau na kupanda na magari ya mwendo haraka na hakikisha unapiga picha ili ukawaoneshe Wanambeya wenzako
 
kwani tunalima uku tule igal? uku n akili tu, uko shmba kuleni ugali mpate nguvu ya kulimq
 
Back
Top Bottom