Kwanini Dar kuna vibanda vya chips kila mtaa?

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
2,264
4,702
Habarini wadau?

Mimi ni mkazi wa Mbeya, na nimekuwa nikipita katika majukwaa mbalimbali ya JamiiForums na kusikia watu wakisema watu wa Dar wanakula chips sana.

Sasa nina wiki3 toka nimekuja Dar, na nimeshangaa kuona kibanda cha chips karibia kila mtaa, nimeshangazwa na ulaji chips uliopitiliza hapa Dar hasa inayochanganywa na mayai.

Kwa Dar es Salaam chakula kikuu ni chips, tofauti na sehemu nyingne za nchi ambazo chakula kikuu ni ugali, ndizi au wali.

Chips c chakula kinachoshauria ule kila siku, atleast mara 1 kwa mwezi, vinginevo unahatarisha afya.

Naainisha madhara ya chips mayai ya muda mrefu:
1.Kwa wanawake, kizazi kinalegea, pia uchache wa virutubisho husababisha watoto kuzaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi.

2. Husababisha mafuta mwilini yanayoleta sukari na presure. Matatizo ya ini sababu ya kolestro ilopitiliza.

3. Upungufu wa mbegu za kiume. Na zisizo na ubora.

4. Mimba japo ni indirect/

5. OBESITY NA UNENE ULOPITILIZA

Japo chips ni tamu ila si nzuri kwa afya.

Poleni wana Dar es Salaam, wala chips wakuu katika ulimwengu huu
 
Sidhani Dar chips lazima zichomewe kwe kibanda Kama Mbeya, kwa sababu ulikuja nalo moyoni umeona mabanda yote yanachomwa chips. Kwa taarifa yako Dar Ni zaidi ya mbeya kwa kila kitu, ukiondoa mashamba. Hujiulizi kwa kwanini magari ya huko kwenu hufanya safari za Dar, hujiulizi mazao yenu huletwa kwenye masoko ya Dar.
 
Haya na ww tumejua umekuja dar kula chps umechoka kula viax vyakuchemshwa mbeya
 
Badala yakusema dar nimeona fursa kadhaa za biashara!we umeona mabanda ya chips tu?? Ukiishi huu mji ndio utaelewa,watu wapo fasta kuliko mda wenyewe!hakuna mda wakusonga ugali na kupika makande uku!na afya tunazo za kutosha na Mungu anatubariki sana tu
 
You have no point, umeropoka


Sidhani Dar chips lazima zichomewe kwe kibanda Kama Mbeya, kwa sababu ulikuja nalo moyoni umeona mabanda yote yanachomwa chips. Kwa taarifa yako Dar Ni zaidi ya mbeya kwa kila kitu, ukiondoa mashamba. Hujiulizi kwa kwanini magari ya huko kwenu hufanya safari za Dar, hujiulizi mazao yenu huletwa kwenye masoko ya Dar.
 
Back
Top Bottom