baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 5,870
- 12,427
Boss Congo walicho ki experience ni tofauti kabisa na wa Africa wengine haya sio mambo ya kuangalia juu juuNdio nasema issue sio wazungu issue ni mtambuka. Hata leo DRC isiwe na vita unadhani Viongozi wake watatoa mikataba mizuri ya rasilimali?
rudia kusoma kisha edit swali lako mkuu,ndo nitakujibu vizuri mkuu.Ni kweli mkuu, ina rasilimali nyingi sana. Lakini, kwani ni Congo DRC pekee ndiyo yenye utajiri wa rasilimali? Mbona nchi zingine tajiri kama Congo DRC hazina machafuko?
..DRC ni shamba la bibi, ni mkakati wa mabeberuSababu wana Mali, leo hii Congo ikifungwa hakuingii hakutoki Kitu nchi nyingi za west zitakua katika hali ngumu sana.
Congo ndio wana run Dunia kwenye mambo mengi sana na Madini yao ni crucial kwenye Technology za sasa. Mabwana wakubwa hawataki wajitawale na kujielewa ili mambo yao yaende.
Wanaoiba hawaangalii hicho, huu sio ushindani wa Tanzania na Congo ila ni maelezo ya kwa nini Congo haina Amani na ina misuko suko wakati wote.Sasa angalia na value per square meter, hiyo DRC ni mara 5 ya Tanzania ila kwa size yetu bado we are good than most nations huku Africa.
kusema nchi nyingi ni tajiri na zina utulivu pasipo kuzitaja hizo nchi unamaanisha nini mkuu?Nchi nyingi zina mali lakini zina utulivu, why DRC? Shida ni uongozi na hulka ya Wacongo wenyewe.
At what percent? Hii ni production ya Cobalt 2023Hiyo Cobalt ipo Congo,Russia,Indonesia,Australia,Cuba
Hauna Apple, Microsoft, Dell na Google n.k kwa sababu ya madini ya Congo, unavyo hivi kwa sababu ya vichwa vya kina Steve Jobs, Bill Gates, Michael Dell, Sergey Brin, Larry Page n.k Hata bila ya madini ya Congo hivi vitu vingekuwepo.Wanaoiba hawaangalii hicho, huu sio ushindani wa Tanzania na Congo ila ni maelezo ya kwa nini Congo haina Amani na ina misuko suko wakati wote.
Pia kama nilivyoelezea comments nyengine Madini ya Congo wao ni Monopoly, kuwa na 70% share ya Madini ambayo ni sababu ya Leo Tuna Apple, Microsoft, Nvidia, GOOGLE na wengine si jambo la kitoto. Gesi wanaweza wasichukue ya Tanzania wakaenda Qatar, Urusi, Algeria etc hakuna Nchi yenye Monopoly ya Gesi,
Kikubwa zaidi ni vikwazo vya kununua silaha za kisasa vilivyowekewa serikali ya DRC na Umoja wa Mataifa ili kuilazimisha serikali kufanya mazungumzo na waasi.Kuna nchi zilishawahi kuingia katika misukosuko ya kisiasa lakini hatimaye zilikuja kutukia. Rwanda ni mojawapo.
Kwanini imekuwa tofauti nchini Congo DRC?
1. Tatizo ni uongozi? Angepatikana huko kiongozi kama NYERERE, au KAGAME au MAGUFULI angeweza kuituliza?
2. Wasababisha machafuko ya Congo DRC wana nguvu kuliko wazuiaji?
3. Hulka ya raia wa Congo DRC inachangia?
Idea zao haziwezi kuwa implemented bila Cobalt?Hauna Apple, Microsoft, Dell na Google n.k kwa sababu ya madini ya Congo, unavyo hivyo kwa sababu ya vichwa vya kina Steve Jobs, Bill Gates, Michael Dell, Sergey Brin, Larry Page n.k
NDIYO.Idea zao zinaweza kuwa implemented bila Cobalt?
south africa asilimia kubwa ya migodi inamilikiwa na wamagharibi. Na kuna matukio mengi ya mauaji migodini,Maelezo mengi lakini hauja jibu nilicho uliza ,zaidi umekwenda mbali kwa kuonesha wanufaika wa Mali ya DRC.
South Africa Kuna mali mbona kumetulia,shida ya Congo iko kwa Wacongomani wenyewe.
Wewe ndo umeenda OP mwenyewe na kuleta kitu ambacho hakipo kwenye mada, ulivyowekwa graph ya rare earth kwenye comment ya Cobalt ulitegemea nini?Nani kasema cobalt ni rare earths.
Rare earths ndio muhimu kwa duniani ya sasa na inayokuja mpaka kupachikwa jina la gold of the 21st century na huyo Congo unayemtaja hayupo kwenye charts kubwa
ProveNDIYO.
South africa asilimia kubwa migodi inamilikiwa na wazungu,south sudan kuna nini cha kuvutia wazungu,afrika ya kati kuna vita vya serikali dhidi ya waasi, tanzania,angola na zambia wananchi ni waoga, serikali zao znakubali mikataba ya kinyonyaji huku wananchi hawahoji. manake wananchi wangekuwa na akili wakawa wana maandamano,kupinga na kukataa mikataba hii,hao hao wamagharibi wangewatumia hao wananchi kuwa waasi,vita vya msituni vingetamalaki na mali ingeenda tu kivyovyote vile. wale jamaa wanapiga popote,ukiamka wanapga,ukiwa umelala wanapga,hakuna pa kukimbilia..Na mimi nimeuliza mbona mpaka wa Congo na South Sudan, Afrika ya Kati, Tanzania, Zambia, Angola, hakuna shida?
..kwanini eneo lisilo na amani ni lile linalopakana na Rwanda, na Uganda, wakati mipaka mingine iko shwari?
Congo inamiliki 70% ya Colbat dunianiNi kweli mkuu, ina rasilimali nyingi sana. Lakini, kwani ni Congo DRC pekee ndiyo yenye utajiri wa rasilimali? Mbona nchi zingine tajiri kama Congo DRC hazina machafuko?
hao akina kagame wanashirikiana kwa ukaribu mno na wamagharibi sio wao kama nchi.shida ni Paul kagame na mseveni .wale jamaa siyo kabisa.sisjui kwa nini wako EAC
shida sio viongozi,wananchi wenye akili ndio walisababisha hii vita,hawawezi kukubali kuona maliasili zao znasombwa. So badala ya njia ya kutumia mikataba feki kujulikana na wananchi wakaamua watumie waasi na mataifa jirani. Like wise tanzania wananchi mkishtuka,watawatumia hawa wapinzani,watatengeneza uikundi vya waasi ili mradi tu wafikie adhima yao.Sio kweli, Tanzania mbona tuna rasilimali na hakuna waasi. In fact wazungu wanajichotea almasi tu dhahabu kwa mikataba mibovu ndio sembuse watake vita.
Unataka kuniambia DRC bila vita hao viongozi hawahongeki?
Tuache kusingizia wazungu, hata Mugabe aliachiwa kila kitu ila bado nchi ikamshinda kwa kunuka ufisadi.
shida sio viongozi,wananchi wenye akili ndio walisababisha hii vita,hawawezi kukubali kuona maliasili zao znasombwa. So badala ya njia ya kutumia mikataba feki kujulikana na wananchi wakaamua watumie waasi na mataifa jirani. Like wise tanzania wananchi mkishtuka,watawatumia hawa wapinzani,watatengeneza uikundi vya waasi ili mradi tu wafikie adhima yao.Sio kweli, Tanzania mbona tuna rasilimali na hakuna waasi. In fact wazungu wanajichotea almasi tu dhahabu kwa mikataba mibovu ndio sembuse watake vita.
Unataka kuniambia DRC bila vita hao viongozi hawahongeki?
Tuache kusingizia wazungu, hata Mugabe aliachiwa kila kitu ila bado nchi ikamshinda kwa kunuka ufisadi.