Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 5,757
- 10,533
Kilichowakuta nini ?Huawei alipigwa Sanctions unaona kilichowakuta.
Kilichowakuta nini ?Huawei alipigwa Sanctions unaona kilichowakuta.
Kwa sababu nchi nyingi Afrika zimejaza watu wapuuzi wapuuzi kuanzia viongozi mpaka wananchi.Kwa mifumo ya kiuchumi ya kidunia ilivyo hakuna nchi Africa unaweza kupigwa sanctions na isitetereke