poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
Habari wadau,
kuna jamaa yangu mmoja aliniomba nimsaidie blogu yake kwamba mtu akiandika comments
huwa hazionekani, hivyo alitaka nimsaidie kurekebisha nami kadhalika nimeshindwa kwa kuwa sijajua nini tatizo.
Nilijaribu kuandika lakini kile nilichokiandika kikaenda kwenye e mail yake aliyotumia kufungulia blogu yake.
Yeyote mwenye uelewa atoe muongozo.
Ahsanteni.