Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,291
- 2,468
Sasa lawama zimehamia rasmi kwa kituo cha tv cha Clouds kama vile wao ndio wenye hatia kuliko wote. Clouds hapo ni kama koki tu inayotoa maji. Kwanini wahusika hawataki kuhoji uhalali wa Muhimbili kuwa na kitengo cha kuwapa mashoga 'mahitaji' yao?
Natamani sana serikali ijitokeze na kusema lolote kuhusiana na hicho kitengo ambacho kinawalea kina Kaoge hadi wanapata fursa ya kujielezea hadharani bila hiyana. Clouds kwa upande mwingine wamejaribu kuonyesha hali halisi ilivyo.
Kwa nini wahukumiwe wao wapiga baragumu na walezi waachwe?