Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,916
Na ndio maana USA anawewesekaChina wapo vizuri na wanaendelea kua vizuri...
Na ndio maana USA anawewesekaChina wapo vizuri na wanaendelea kua vizuri...
How,foton,faw zinauzwa nchi gan ya ulaya
Hakuna kitu anae iendesha Marekani ndiyo huyohuyo anaeiendesha China, Rothschild anahusika sana na uchumi wa China pia Unaweza kuifatilia Familia ya Li na 13 bloodline fimily.China tayri ni giant duniani hakuna wa kumstopisha hakuna wa kumuogopa ndyo maana marekani anaangaika Tu kuweka vikwazo kwenye makampuni yake Ila stage alivyofika China marekani kashachelewa maana teknolojia, ushawishi, pesa vyote amevishika na kibaya zaidi ni Kwa bei nafuu bidhaa zake unazipata
How,foton,faw zinauzwa nchi gan ya ulaya