Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,950 Reaction score 183,432 Apr 8, 2026 #61 min -me said: Shindiii mashirima haeleweki Click to expand... Wewe ndio hueleweki bwana. Usimsingizie.
min -me said: Shindiii mashirima haeleweki Click to expand... Wewe ndio hueleweki bwana. Usimsingizie.
O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 3,742 Reaction score 5,608 Apr 9, 2026 Thread starter #62 Ubungo Mataa said: Mk MKuu ngoja siku tukija kwako kwenye msiba wa first born wako ndio tutajadili hili. Tutaomba utueleze kama ubwabwa wa hapo nyumbani kwako ni mtamu Click to expand... Unakosaje utamu Sasa wakati chumvi imo
Ubungo Mataa said: Mk MKuu ngoja siku tukija kwako kwenye msiba wa first born wako ndio tutajadili hili. Tutaomba utueleze kama ubwabwa wa hapo nyumbani kwako ni mtamu Click to expand... Unakosaje utamu Sasa wakati chumvi imo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,957 Reaction score 194,017 Apr 10, 2026 #63 Kamserereko... Cc: Mahondaw
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 51,721 Reaction score 208,993 Apr 10, 2026 #64 Usiombe viwe vinakuhusu kwa asilimia 100.. Mimi siku moja nzima na nusu hamna kitu kilikuwa kinapita kooni zaidi ya maji Acha masikhara OP ππ
Usiombe viwe vinakuhusu kwa asilimia 100.. Mimi siku moja nzima na nusu hamna kitu kilikuwa kinapita kooni zaidi ya maji Acha masikhara OP ππ
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 51,721 Reaction score 208,993 Apr 10, 2026 #65 Smart911 said: Kamserereko... Cc: Mahondaw Click to expand... Mayoo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,957 Reaction score 194,017 Apr 10, 2026 #66 Depal said: Mayoo Click to expand... Watu wanapenda kamserereko...
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 51,721 Reaction score 208,993 Apr 10, 2026 #67 Smart911 said: Watu wanapenda kamserereko... Click to expand... Nmekumbuka kitu,, toka hapa emπ
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,957 Reaction score 194,017 Apr 10, 2026 #68 Depal said: Nmekumbuka kitu,, toka hapa emπ Click to expand... Tatizo unapenda sana kudeka deka... hahaha sasa mimi nakosa gani...
Depal said: Nmekumbuka kitu,, toka hapa emπ Click to expand... Tatizo unapenda sana kudeka deka... hahaha sasa mimi nakosa gani...
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 51,721 Reaction score 208,993 Apr 10, 2026 #69 Smart911 said: Tatizo unapenda sana kudeka deka... hahaha sasa mimi nakosa gani... Click to expand... We nitakupiga π« siku 1
Smart911 said: Tatizo unapenda sana kudeka deka... hahaha sasa mimi nakosa gani... Click to expand... We nitakupiga π« siku 1
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,957 Reaction score 194,017 Apr 10, 2026 #70 Depal said: We nitakupiga π« siku 1 Click to expand... Ila pole sana... kitapona tu... hahahaha