min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,242
- 167,238
Huyo mwamba mbele ya kiongozi wa kitaifa ana kuwaje na upwiru aseee😂😂Steve Nyerere

Hao sasa ndiyo aina ya watu wanaomsemea Rais na kumtetea.Huyo mwamba mbele ya kiongozi wa kitaifa ana kuwaje na upwiru aseee😂😂
Utaogopaje kinyago ulichokichonga mwenyewe , sikia lipo japo nitaweza kukueleza in box Mungu akinipa kibali ,hivi wajua nchi hii watu upaje vyeo?Ndugu zangu Watanzania,
Nimefuatulia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali,iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA ...
Upinzani upo moyoni mkuuNinyi ndio maana mmeshindwa kabisa kuijenga CHADEMA, kwa sababu macho yenu mnatafuta fursa za pesa tu na maslahi yenu binafsi ndio maana mnaendelea kupuuzwa na watanzania
Nchimbi na Makalla kwenye mikutano yao asilimia kubwa wanaitaja Chadema,Lissu na Mbowe au huwasikilizi ?CHADEMA haina uzito wa aina yoyote ile.ndio maana viongozi wetu wa ngazi ya juu hawawezi kupoteza muda wao kujibu uzushi na uongo wa CHADEMA.
Huyo ni kichaaa na hayo maandishi yake yasiyokuwa na kichwa wala miguu ndiyo furushi lake la makopo na hajui anatoka wapi wala aendako.Hii kaz inakulipa sana najaribu kuangalia muda unaotumia kuandika andiko ambalo mwenye kaz yake hawez kupoteza muda kulisoma lote. Nakuhakikishi hakuna zaidi ya kusoma kichwa na paragraph moja tu. Badilika!
Mzee wa kuhama,Ndugu zangu Watanzania,
Nimefuatulia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali,iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na wana ...
Mimi nawaunga mkono WAZALENDO wote bila kusita wala kuona aibuMzee wa kuhama,
Ushatoka Kwa makonda now upo Kwa kafulila
Nilipoina neno "Ndugu zangu watanzania"NikadharauNdugu zangu Watanzania,
Nimefuatulia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali,iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na wana CHADEMA wanamuogopa Sana Mheshimiwa David Kafulila linapokuja Suala la kushindanisha na kujenga hoja juu ya masuala mbalimbali hususani ya kiuchumi.
Hoja za Mheshimiwa Kafulila zimekuwa zikiwatoa sana Jasho na kuwakimbiza kama Mwenge wa Uhuru na hakuna anayeweza wala kufanikiwa kupangua hoja zake kwa hoja na akaweza kueleweka kwa watu. Mfano mdogo ni juu ya hoja nzito ambazo Mheshimiwa David Kafulila amekuwa akieleza na kuitetea serikali juu ya ukopaji na uchukuaji wa mikopo kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo imekuwa na matokeo chanya kwa uchumi wetu .
Ambapo Mheshimiwa Kafulila ametoa Elimu pana sana kuanzia masuala ya marshall Plan ya Mmarekani ilivyozisaidia nchi za Ulaya, na namna nchi mbalimbali hata zilizoendelea kama vile Japan ambavyo zina madeni makubwa tu.akaenda mbali zaidi kuelezea kwa hoja na ushahidi kuwa Tanzania siyo miongoni mwa nchi zenye madeni makubwa.na kwamba Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kiwango kikubwa sana ndani ya muda mfupi wa Uongozi wa Rais Samia kutoka takribani Dolla Billion 66 mpaka zaidi ya Dolla Billion 85.akaelezea pia ongezeko la watalii ambalo limefikia zaidi ya watalii Million 1.8.ambapo imepelekea kuongezeka kwa mapato mabilioni kwa mabilioni.
Mheshimiwa Kafulila akaelezea pia maana ya ujenzi wa huduma za kijamii kiuchumi zilizojengwa awamu hii ya Rais Samia.akaelezea mfano kwa kipindi hiki kumekuwa na mapinduzi makubwa sana katika Secta ya Afya ,ambapo sasa wananchi wanapata huduma za afya karibu kabisa na maeneo yao.ambapo sasa badala ya mtu huyu kutumia nauli kubwa kwenda umbali mrefu kupata huduma za afya ,sasa anaokoa pesa ya nauli na kuitumia kwa mahitaji yake mengine.
Mheshimiwa Kafulila ameweza na kufanikiwa kwa uhodari na umahili mkubwa sana na kwa takwimu kuelezea Mwenendo wa kiuchumi wa Dunia na hali ya mikopo na madeni kwa Nchi mbalimbali Duniani. Jambo ambalo limewapa Elimu na ufahamu Mkubwa sana wananchi.hali hii imewaacha CHADEMA hoi bin taabani hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa wao huongea kiujumla jumla tu pasipo kuwa na takwimu za aina yoyote ile.hali inayotokana na kukosa uelewa na watu wenye uelewa na Elimu ya masuala ya Uchumi na namna uchumi wa Dunia unavyokwenda.
Ndio maana kuna wakati walikuwa wanapiga kelele kuwa mafuta ya petrol yanauzwa bei juu sana na kwamba hali hiyo inasababishwa na serikali ya CCM. Lakini walikuja kuishiwa nguvu na kupata aibu ya karne pale walipoona wakenya mbalimbali wanakimbilia Tanzania kununua mafuta kwa kuwa bei yetu ilikuwa ni ndogo ukilinganisha na Nchini kwao.hii ni baada ya serikali ya Rais Samia kuwa na utaratibu wa kutoa Ruzuku ya Billion Mia moja kila Mwezi katika Mafuta na hivyo kupelekea Bei ya mafuta kuwa chini ukilinganisha na Majirani zetu..
Ikumbukwe bei ilikuwa imepanda kutokana na kupanda katika soko la Dunia,kulikokuwa kumechochewa na kuchangiwa na vita vya Ukrein na Urussi.ila wao CHADEMA wakawa hawaelewi kitu chochote kile maana wao hawawezagi kuangalia na kujuwa hali ya Dunia inakwenda vipi. Na kwamba wao huona kama Tanzania ni kisiwa hapa Duniani.
Sasa Mheshimiwa Kafulila amekuwa akiwatwanga kwa hoja nzito na zenye ushahidi wa kutosha na takwimu sahihi ,jambo linalowafanya wamuogope sana na kumuona adui wao wa kuwaumbua udhaifu wao na uongo wao na upeo wao mdogo wa masuala mbalimbali hususani ya kiuchumi.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Itakuwa wewe ni mhamiaji haramuNilipoina neno "Ndugu zangu watanzania"Nikadharau
🤣🤣🤣CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu kama wewe
Kafulila anauwezo gani? Huyu ni chawa kama walivyochawa wengine, mtu mwenye UWEZO WA kujenga hoja, hawezi kusifia Kila kitu, huko CCM mwenye UWEZO ni jaji warioba TU.Ni nani ndani ya CHADEMA kwenye uwezo kama alionao Chuma Kafulila
Wewe na mkeo.Ndugu zangu Watanzania,
Nimefuatulia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali,iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na wana CHADEMA wanamuogopa Sana Mheshimiwa David Kafulila linapokuja Suala la kushindanisha na kujenga hoja juu ya masuala mbalimbali hususani ya kiuchumi.
Hoja za Mheshimiwa Kafulila zimekuwa zikiwatoa sana Jasho na kuwakimbiza kama Mwenge wa Uhuru na hakuna anayeweza wala kufanikiwa kupangua hoja zake kwa hoja na akaweza kueleweka kwa watu. Mfano mdogo ni juu ya hoja nzito ambazo Mheshimiwa David Kafulila amekuwa akieleza na kuitetea serikali juu ya ukopaji na uchukuaji wa mikopo kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo imekuwa na matokeo chanya kwa uchumi wetu .
Ambapo Mheshimiwa Kafulila ametoa Elimu pana sana kuanzia masuala ya marshall Plan ya Mmarekani ilivyozisaidia nchi za Ulaya, na namna nchi mbalimbali hata zilizoendelea kama vile Japan ambavyo zina madeni makubwa tu.akaenda mbali zaidi kuelezea kwa hoja na ushahidi kuwa Tanzania siyo miongoni mwa nchi zenye madeni makubwa.na kwamba Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kiwango kikubwa sana ndani ya muda mfupi wa Uongozi wa Rais Samia kutoka takribani Dolla Billion 66 mpaka zaidi ya Dolla Billion 85.akaelezea pia ongezeko la watalii ambalo limefikia zaidi ya watalii Million 1.8.ambapo imepelekea kuongezeka kwa mapato mabilioni kwa mabilioni.
Mheshimiwa Kafulila akaelezea pia maana ya ujenzi wa huduma za kijamii kiuchumi zilizojengwa awamu hii ya Rais Samia.akaelezea mfano kwa kipindi hiki kumekuwa na mapinduzi makubwa sana katika Secta ya Afya ,ambapo sasa wananchi wanapata huduma za afya karibu kabisa na maeneo yao.ambapo sasa badala ya mtu huyu kutumia nauli kubwa kwenda umbali mrefu kupata huduma za afya ,sasa anaokoa pesa ya nauli na kuitumia kwa mahitaji yake mengine.
Mheshimiwa Kafulila ameweza na kufanikiwa kwa uhodari na umahili mkubwa sana na kwa takwimu kuelezea Mwenendo wa kiuchumi wa Dunia na hali ya mikopo na madeni kwa Nchi mbalimbali Duniani. Jambo ambalo limewapa Elimu na ufahamu Mkubwa sana wananchi.hali hii imewaacha CHADEMA hoi bin taabani hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa wao huongea kiujumla jumla tu pasipo kuwa na takwimu za aina yoyote ile.hali inayotokana na kukosa uelewa na watu wenye uelewa na Elimu ya masuala ya Uchumi na namna uchumi wa Dunia unavyokwenda.
Ndio maana kuna wakati walikuwa wanapiga kelele kuwa mafuta ya petrol yanauzwa bei juu sana na kwamba hali hiyo inasababishwa na serikali ya CCM. Lakini walikuja kuishiwa nguvu na kupata aibu ya karne pale walipoona wakenya mbalimbali wanakimbilia Tanzania kununua mafuta kwa kuwa bei yetu ilikuwa ni ndogo ukilinganisha na Nchini kwao.hii ni baada ya serikali ya Rais Samia kuwa na utaratibu wa kutoa Ruzuku ya Billion Mia moja kila Mwezi katika Mafuta na hivyo kupelekea Bei ya mafuta kuwa chini ukilinganisha na Majirani zetu..
Ikumbukwe bei ilikuwa imepanda kutokana na kupanda katika soko la Dunia,kulikokuwa kumechochewa na kuchangiwa na vita vya Ukrein na Urussi.ila wao CHADEMA wakawa hawaelewi kitu chochote kile maana wao hawawezagi kuangalia na kujuwa hali ya Dunia inakwenda vipi. Na kwamba wao huona kama Tanzania ni kisiwa hapa Duniani.
Sasa Mheshimiwa Kafulila amekuwa akiwatwanga kwa hoja nzito na zenye ushahidi wa kutosha na takwimu sahihi ,jambo linalowafanya wamuogope sana na kumuona adui wao wa kuwaumbua udhaifu wao na uongo wao na upeo wao mdogo wa masuala mbalimbali hususani ya kiuchumi.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lakini kafulila wa eskrow aliituhumu serikali ya ccm kuiba na kugawana fedha za wananchiNdugu zangu Watanzania,

Lucas Mwashambwa mbona kimya hapa?Kafulila anadai kwamba global GDP ni dollar trillion 106, lakini kutokana na statica (hapa: Topic: Gross Domestic Product (GDP) worldwide ) GDP ya dunia ni about 84.96 trillion U.S. dollars, sasa sijui magumashi yake anayatolea wapi? halafu hiyo ndio tumuamini kweli ? amelambishwa asali na ote mavi ya nyanza kwa kauli ya Mchonga...
akikujibu nitag haya ya hiv hayataki uwa anayarukaLakini kafulila wa eskrow aliituhumu serikali ya ccm kuiba na kugawana fedha za wananchi
Wenye akili Tujadili hili la wizi kwanza kuliko hoja yako dhaifu ya chadema
Mheshimiwa Kafulila siyo chawa na hajawahi kuwa chawa .Ni mtu Mzalendo,mchapa kazi,msema kweli na mwenye uwezo mkubwa sana wa kiuongozi kuliko mtu yeyote yule ndani ya CHADEMA nzimaKafulila anauwezo gani? Huyu ni chawa kama walivyochawa wengine, mtu mwenye UWEZO WA kujenga hoja, hawezi kusifia Kila kitu, huko CCM mwenye UWEZO ni jaji warioba TU.
Mheshimiwa Kafulila hahitaji kutangazwa na mtu yeyote yule maana kila mtanzania anamfahamu vyema sana Kafulila kwa uchapa kazi wake na uzalendo wake kwa Taifa letu.Naona unatumia nguvu nyingi kumtangza Kafurira kula hiyo posho