dolevaby, kama alivyosema Yericko Nyerere, hatupambani na chama cha siasa, tunapambana na establishment ambayo imeamua kutoruhusu wananchi waamue taifa hili litaendeshwa kwa misingi gani. CCM kama chama imekufa, wamebaki tu majambazi yaliyo tayari kufanya lolote lile kutwaa mamlaka ya wananchi kwa nguvu.Mkuu Mag3 imekiwaje ule uzi ulioanzisha Jana kusuhu yule MTU mwenye uRAIA wa NCHI mbili mbona siuoni?,au wameunyofoa kwa maslahi ya GAMBAZ?
Yeyote anayetaka ripoti anaweza kuniPM...tuko vitani, wananchi vs genge la waovu lililojivika jina la serikali...ni hatari! Hawangeruhusu kuchapishwa kwa ripoti ile JF hata iweje lakini ripoti tumeisambaza. Hakuna namna CCM inaweza kushinda kupitia sanduku la kura, lililobaki ni kulazimisha kwa kutumia vyombo vya dola dhidi ya UMMA.
Last edited by a moderator: