Kwanini CHADEMA mnaruhusu kua kama CCM?

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Habari wadau

Nashangaa chadema kufuraia kua na tabia kama ya CCM ya kuto wawajibisha viongozi wao ambao ni mafisadi.

Kwa miaka mingi tukekua tukiona CCM ikifanya ujinga na wizi wa kutupwa bila kuchukuliwa hatua yoyote kwa wanao kua wamehusika mpaka alipo kuja Rais magufuli ameweza kujaribu kufukua makabur ya saiz yake yakio mshinda kayaacha. Pia japo mh Rais John pombe magufuli anafanya kazi nzuri lakini mafisad wa CCM bado wanampaka matope nilitegemea kangi lugola saiz angekua amesha tupa maelezo ya hela zetu alizo tupiga Ila mpaka sasaiv kimia hata takukuru wameamua wapotezee.

CCM ndio doa pekee linalo mchafua Rais magufuli sababu ccm Ina watu ambao bado wanaendelea kuitafuna hii nch na hawaguswi na mtu sababu tu ni CCM ili hua linaniuz Sana. Na kila siku nilikua nataman CCM itoke madarakan Ila magufuli kaja juibeba so hatakiw juibeba CCM na majiz yake anatakiwa kila Alie piga apigije sijui ataweza Lin kuwahoj kina kikwete na wengine wengi.

Chadema nao wamesha zeeka kumbuka malaika akizeeka wnakua shetan kwa MISEMO ya wahenga nayeye siku izi viongozi wake wanaongoza kwa kula hela za wananch uku wanachama wao wakifanya ujinga ule ule walio fanya vijana wa CCM kua wazee wa ndio mzee tu na imekua kawaida chadema ukiwasemea viongoz wao wanajibu mbona CCM wanaiba hamsem kwa majibu haya unabaki unashangaa kua Hawa watu wameamua wawe Kama ccm na vip wakishakua Kama CCM itaswihi wao kupewa nchi Mana wote watakua tayar wala nyama na sisi tunataka kiongozi mla nyasi so itabidi tumuangalie Nan atae tufaa hao mafahar wawili itabidi wakae pembeni.

Chadema mnatakiwa kwa maslahi ya chama chenu nyie makamanda muunde kamat ya kumchunguza mwenyekit wenu na aeleze hela kapeleka wapi Kama hatokua na ushahid bila ivyo mnakitengeneza chama kua Kama CCM hata viongoz watakao kuja wata shindwa kufanya maamuzi Kama wanavyo shindwa viongizi wa CCM.

Pia napenda nikwambie Rais magufuli hao mafisad walio kula hela zetu huto weza kuwasafisha kwa juhud zako za Kaz na uadilifu wanatakiwa warudishe Mali za watanzania ukiweza kuwa wajibisha mh Rais John pombe magufuli Basi utakua umeweza kuitengeneza CCM mpya.

Pia hata Kama wamesha toka ndan ya CCM Sio viongozi Tena Ila hela za wananch wanatakiwa wazirudishe.

Pia hata mbowe Kama kwel umekula Ela za wananch please rudisha sababu huto samehewa milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzalendo iq1,

Mkuu unapoandika bandiko refu hivyo, kisha halina koma wala nukta ni aibu kubwa sana. Hata matumizi ya herufi kubwa na ndogo zimekushinda, huoni bandika lako linakuwa kama chakula kilicho jalalani? Kwa taarifa yako hata Magu hapambani na mafisadi, bali analipiza kisasi kwa wale waliohitilafiana naye kabla hajawa rais. Usione hawezi kuchukua hatua ukadhani anapenda, ukweli ni kuwa hata yeye sio msafi, hivyo anajua akichukua hatua na yeye akitoka madarakani atachukuliwa hatua. Kwa maneno marahisi, kambale msafi hatoki bwawa chafu.
 
Huu ndio ujinga ulio wafikisha CCM Apo walipo pia ujinga huo huo unaenda kuifikisha chadema katika kilele Cha ahadi na kua shamba la Bibi
Yote tisa kumi tunaitaji kuviona viwonder elfu nne mlipovijenga bila kusahau mil 50 kila kijiji.

Hapo ndo mtajuwa kwanini mnachochea moto wakati amjui kupika ngoja walambe dawa, Hata mkivaa bullet proof tunawashuti kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yote tisa kumi tunaitaji kuviona viwonder elfu nne mlipovijenga bila kusahau mil 50 kila kijiji.

Hapo ndo mtajuwa kwanini mnachochea moto wakati amjui kupika ngoja walambe dawa, Hata mkivaa bullet proof tunawashuti kichwani.
AMANDLHA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom