Chacha Willy
Senior Member
- Mar 30, 2014
- 103
- 36
Why not mbowe?,why not lissu,why not mnyika
Mkuu Mnyika wiki ilopita tu aliliongelea na akasema atapeleka hoja binafsi kuhusu ufisadi huo kama usiposhughuliwa
Why not mbowe?,why not lissu,why not mnyika
Itaonekana wanamuunga ZITTO mkono, ni Kheri kwao bil. 200 zisirudi lakini si kumuunga mkono Zitto
Why not mbowe?,why not lissu,why not mnyika
Hivi hili sakata la escrow liliibuliwa na Gazeti La CITIZEN,Kafulila au Zitto? Mbona mnalitumia kisiasa sana ninyi msiojitambua?
Tunaongelea Trilioni moja ya bomba la gesi..........
Kwahiyo ni heri kupoteza bil.200 kuliko kuunga mkono wazo la msaliti
jaribu walau kufanya research kabla haujaanza kutoa hoja.Toka kuibuliwa kwa hoja ya escrow nimeshangazwa mno na ukimya wa makamanda wa chama chetu CHADEMA kulizungumzia na kulisimamia kidete suala la fedha za escrow?,kama tunavyofanyaga kwenye kashfa nyingine za ufisadi,kama EPA na Richmond,na kilichoniumiza zaidi ni kitendo cha mwenyekiti kuacha suala lililoko mezani yani escrow na kuibua mjadala wa gesi, Je chadema hautaki mjadala huu kwa vile umeibuliwa na msaliti wa chadema?,au ni kweli kuna ukweli kuhusu tuhuma za kambi inayomsapoti zitto kuwa baadhi ya viongozi wakuu upinzani wamo kwenye payroll ya Escrow (ingawa tuhuma hii imekaa kisiasa)..karibuni tujadili wakuu.
na hapa ndio ugonjwa mkubwa wa upinzani na kwa namna hii watabaki wazomeaji ...kweli kabisa
Itaonekana wanamuunga ZITTO mkono, ni Kheri kwao bil. 200 zisirudi lakini si kumuunga mkono Zitto
kashfa ya escro account imeibuliwa na gazeti la citizen sio zzk
Toka kuibuliwa kwa hoja ya escrow nimeshangazwa mno na ukimya wa makamanda wa chama chetu CHADEMA kulizungumzia na kulisimamia kidete suala la fedha za escrow?,kama tunavyofanyaga kwenye kashfa nyingine za ufisadi,kama EPA na Richmond,na kilichoniumiza zaidi ni kitendo cha mwenyekiti kuacha suala lililoko mezani yani escrow na kuibua mjadala wa gesi, Je chadema hautaki mjadala huu kwa vile umeibuliwa na msaliti wa chadema?,au ni kweli kuna ukweli kuhusu tuhuma za kambi inayomsapoti zitto kuwa baadhi ya viongozi wakuu upinzani wamo kwenye payroll ya Escrow (ingawa tuhuma hii imekaa kisiasa)..karibuni tujadili wakuu.
Dr slaa pia alishaliongelea,na yeye ndiye aliyesema pesa za escrow siyo by 200,ni zaidi ya bn 400
we ndo umeongea kitu nilichokua nacho kichwan..big up mkuu
Ah! Unazungumzia yule mwanamipasho sio!Una uhakika? Jana tu sugu kaongelea. Jitahidi kutazama TV.
Toka kuibuliwa kwa hoja ya escrow nimeshangazwa mno na ukimya wa makamanda wa chama chetu CHADEMA kulizungumzia na kulisimamia kidete suala la fedha za escrow?,kama tunavyofanyaga kwenye kashfa nyingine za ufisadi,kama EPA na Richmond,na kilichoniumiza zaidi ni kitendo cha mwenyekiti kuacha suala lililoko mezani yani escrow na kuibua mjadala wa gesi, Je chadema hautaki mjadala huu kwa vile umeibuliwa na msaliti wa chadema?,au ni kweli kuna ukweli kuhusu tuhuma za kambi inayomsapoti zitto kuwa baadhi ya viongozi wakuu upinzani wamo kwenye payroll ya Escrow (ingawa tuhuma hii imekaa kisiasa)..karibuni tujadili wakuu.
Citizen ni channel ilopitisha tu habari,there are politicians who fed them with info