Kwanini CHADEMA hawaongelei fedha za escrow?

ACHENI UNAFIKI HAYA NI MANENO HAPA CHINI NI YA DR SLAA TENA MWEZI JULY 2014 .....LISSU NAE KAONGEA MARA NYINGI TU .....

ESCROW:

-Katibu Mkuu huku Akiwa na Nyaraka kadhaa anasema:Nina barua ya AG wakati wa kuhamisha Hela.Barua inasema "This letter is instructive).Barua nyingi zimeandikwa na pia IPTL imeandika tarehe 5.9.2013 kuwa hela zisitolewe bado kuna utata

-Hadi sasa tunashangaa mtu anaenda kufungua kesi kwa jambo lililoko Bungeni.Ibara ya 100 ya katiba inakataza.PAP anapoenda kumshtaki Kafulila inashangaza

- Katibu Mkuu: Nina Bank statement Business Banking a/c no
9010000125294. Tarehe 29.11.2013 hela imekua transfered zaidi Bilioni 8 kwa mara ya kwanza. Hii ni akaunti iliyofunguliwa kwa ajili yake tu. Tarehe 4.12.2013 Checkbook ilitolewa kwa mara ya kwanza. Kampuni kubwa kama hiyo haina check book. Tarehe check namba 524 ilutumika kutoa milioni 15.

- Kukawa na mtindo baada ya hapo wa kuingiza hela na kutoa

- 31.3.2014 hela ya mwisho ilitolewa kwa ajili management Fee zaidi ya milioni 50. Sasa balance tuliyonayo ni standing balance ya 1.1.2014

- Transaction zilizofanyika pia kuna udanganyifu mkubwa wa malipo ya kodi

- Sasa Serikali itoke na Tamko.Pesa zilizochukuliwa zote ni bilioni 400 ingawa kwenye mlolongo wa trabsaction inaonekana kuna transaction ya Bilioni 188 kwenye akaunti hii

-Katibu Mkuu: Hatuwezi pia kupeleka au kutegemea msaada wa PCCB na ofisi yake maana kazi yake siku zote anailinda serikali

-Katibu Mkuu: Kuna utata jinsi PAP alivyoingia nchini. Hatuibembelezi serikali. Tunamtaka Kikwete atoke hadharani. Aitishe vyombo vyake. Tunataka international audit ifanyike. Na tunataka Jumuiya ya Kimataifa ituunge Mkono kama walivyotuunga kwenye swala la EPA.
 
Toka kuibuliwa kwa hoja ya escrow nimeshangazwa mno na ukimya wa makamanda wa chama chetu CHADEMA kulizungumzia na kulisimamia kidete suala la fedha za escrow?,kama tunavyofanyaga kwenye kashfa nyingine za ufisadi,kama EPA na Richmond,na kilichoniumiza zaidi ni kitendo cha mwenyekiti kuacha suala lililoko mezani yani escrow na kuibua mjadala wa gesi, Je chadema hautaki mjadala huu kwa vile umeibuliwa na msaliti wa chadema?,au ni kweli kuna ukweli kuhusu tuhuma za kambi inayomsapoti zitto kuwa baadhi ya viongozi wakuu upinzani wamo kwenye payroll ya Escrow (ingawa tuhuma hii imekaa kisiasa)..karibuni tujadili wakuu.

Mbowe na Slaa wako kwenye payrol ya kalasinga wa PAP
 
Kaka suala la escrow linahitaji shule kuweza kuliongelea hivi unajua kuna wabunge wengi tu hawajui maana ya hiyo escrow acnt kwa hili sugu hana uwezo wa kulisemea albda alalamike juu juu bila fact

Kabisa mkuu katika wabunge wote 300+ wa JMT sidhani wanafika 50 wanaoweza wakasimama na kuidadavua vizuri Escrow Account hata humu JF wachache sana wenye uelewa na hii kitu
 
Zitto na Deo ndie aliempasia Kafulila hili suala. Hakutaka na hataki CDM wahusike wapate credit anapambana kivyake.
Kwamba jamaa alianzishe badae wao kama PAC wapige msumari. Ukisoma maelezo ya Zitto kwenye utetezi wake utabaini exclusion ya CDM na wabunge wake.
Zitto anaionya CCM kuangushwa,hii inatoa tafsiri ya goodwishes to them.
Zitto adui wake kageuka na kua CDM hii ni kufuatia CDM kusimamia nidhamu.
Ila tutafika tuu japo wengi watakuwa majeruhi.
 
Nimemsikia sana Nasari akijenga hoja ya kuijadili hoja ya IPTL/PAP via ESCORW a/c... Inawezekana wanakuita spin Dr. lakini ni vema ukatambua kuwa UFISADI wa nchi hii siku zote huanikwa hadharani na CHADEMA!!!
 
Sifa kubwa sana ya CHADEMA ni kuweka mambo hadharani huku wakiwa na substantial evidence ... Thanks Mkuu

ACHENI UNAFIKI HAYA NI MANENO HAPA CHINI NI YA DR SLAA TENA MWEZI JULY 2014 .....LISSU NAE KAONGEA MARA NYINGI TU .....

ESCROW:

-Katibu Mkuu huku Akiwa na Nyaraka kadhaa anasema:Nina barua ya AG wakati wa kuhamisha Hela.Barua inasema "This letter is instructive).Barua nyingi zimeandikwa na pia IPTL imeandika tarehe 5.9.2013 kuwa hela zisitolewe bado kuna utata

-Hadi sasa tunashangaa mtu anaenda kufungua kesi kwa jambo lililoko Bungeni.Ibara ya 100 ya katiba inakataza.PAP anapoenda kumshtaki Kafulila inashangaza

- Katibu Mkuu: Nina Bank statement Business Banking a/c no
9010000125294. Tarehe 29.11.2013 hela imekua transfered zaidi Bilioni 8 kwa mara ya kwanza. Hii ni akaunti iliyofunguliwa kwa ajili yake tu. Tarehe 4.12.2013 Checkbook ilitolewa kwa mara ya kwanza. Kampuni kubwa kama hiyo haina check book. Tarehe check namba 524 ilutumika kutoa milioni 15.

- Kukawa na mtindo baada ya hapo wa kuingiza hela na kutoa

- 31.3.2014 hela ya mwisho ilitolewa kwa ajili management Fee zaidi ya milioni 50. Sasa balance tuliyonayo ni standing balance ya 1.1.2014

- Transaction zilizofanyika pia kuna udanganyifu mkubwa wa malipo ya kodi

- Sasa Serikali itoke na Tamko.Pesa zilizochukuliwa zote ni bilioni 400 ingawa kwenye mlolongo wa trabsaction inaonekana kuna transaction ya Bilioni 188 kwenye akaunti hii

-Katibu Mkuu: Hatuwezi pia kupeleka au kutegemea msaada wa PCCB na ofisi yake maana kazi yake siku zote anailinda serikali

-Katibu Mkuu: Kuna utata jinsi PAP alivyoingia nchini. Hatuibembelezi serikali. Tunamtaka Kikwete atoke hadharani. Aitishe vyombo vyake. Tunataka international audit ifanyike. Na tunataka Jumuiya ya Kimataifa ituunge Mkono kama walivyotuunga kwenye swala la EPA.
 
Toka kuibuliwa kwa hoja ya escrow nimeshangazwa mno na ukimya wa makamanda wa chama chetu CHADEMA kulizungumzia na kulisimamia kidete suala la fedha za escrow?,kama tunavyofanyaga kwenye kashfa nyingine za ufisadi,kama EPA na Richmond,na kilichoniumiza zaidi ni kitendo cha mwenyekiti kuacha suala lililoko mezani yani escrow na kuibua mjadala wa gesi, Je chadema hautaki mjadala huu kwa vile umeibuliwa na msaliti wa chadema?,au ni kweli kuna ukweli kuhusu tuhuma za kambi inayomsapoti zitto kuwa baadhi ya viongozi wakuu upinzani wamo kwenye payroll ya Escrow (ingawa tuhuma hii imekaa kisiasa)..karibuni tujadili wakuu.

Umetumwa?
 
Fuatilia bunge mkuu utaona.
 
Akili za hovyo kabisa hizi.
Hamtaweza kututoa kwenye mjadala mkuu wa wizi huo.
 
Hivi vyama vya siasa Tanzania/Africa ni wachumia matumbo tu.....hapo wameshaona kushadadia ishu ya Escrow ni kuwasaidia Zitto na Kafulila ambao tayari ni wahanga wa "usaliti" kwenye vyama vyao.....so kwao sio big deal tena ....na nahisi wote wamecross fingers swala lipotelee mbali ili wasije kuonekana mashujaa.
 
Toka kuibuliwa kwa hoja ya escrow nimeshangazwa mno na ukimya wa makamanda wa chama chetu CHADEMA kulizungumzia na kulisimamia kidete suala la fedha za escrow?,kama tunavyofanyaga kwenye kashfa nyingine za ufisadi,kama EPA na Richmond,na kilichoniumiza zaidi ni kitendo cha mwenyekiti kuacha suala lililoko mezani yani escrow na kuibua mjadala wa gesi, Je chadema hautaki mjadala huu kwa vile umeibuliwa na msaliti wa chadema?,au ni kweli kuna ukweli kuhusu tuhuma za kambi inayomsapoti zitto kuwa baadhi ya viongozi wakuu upinzani wamo kwenye payroll ya Escrow (ingawa tuhuma hii imekaa kisiasa)..karibuni tujadili wakuu.

OK ,umesha sikia KINANA NA NAPE wakiliongelea hili suala kwenye miutano yao? ,
 
Hapo ndio ninapoikubali CHADEMA. Yaani bila mbunge au kiongozi wale chadema kuongelea kwa uzito kashfa yoyote, mwanangu akiwemo mtoa thread hajisikii kwamba kashfa imeongelewa. Mnaikataa mdomoni ila mnaikubali kimoyomoyo
 
Back
Top Bottom