Kwanini CCM wengi mazuzu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini CCM wengi mazuzu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kakini, Apr 17, 2011.

 1. k

  kakini Senior Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika utafiti wangu nimekuja kuona ccm wanachama wengi wa ccm na viongozi wao wapo kimaslahi yao na hawana jipya la kufanya kimaendeleo.

  Karibia wote ni vilaza wanaopewa nafasi kubwa serikalini ndio maana wanasababisha matatizo makubwa kama ufisadi, na maisha magumu yanayowakabili wananchi wengi kwa sasa.

  Wamekuwa wakikimbilia cheap popularity kwa watu wasio na uelewa wa mambo yanavoenda mbona hawawezi kutoa tathmini ya mandeleo wanayoyafanya mbele ya watu wanao fatilia na wasomi kwa ujumla.

  Mimi binafsi naona ni ukomo wao maana zama zao zilikuwa za kuongoza watu walio gizani. Kama sasa wanalalamika wanavyuo kuwazomea je walipozomewa na wananchi wa ubungo wakati wametoka sijui kutoa magamba yao wale walikuwa ni wanachuo????

  Ccm mmekwisha hakuna mnalolifanya kwa sasa zaidi ya kutuletea matatizo kila siku. Mnaposema jamii forums inawachafua kwani inaandika uwongo???

  Chadema wanapowapinga wanakosea????

  Kwa kweli nyie sio siri ni mabogas mlio pitiliza
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  .........Hata kama ulikuwa mtu unajua kujenga hoja ukiungana na CCM lazima uwe kilaza,kuna pepo mbaya sana pale anachakachua akili za watu...Tazama hawa kabla awajajiunga CCM au kukubaliana na mawazo ya CCM

  1. Tambwe Hiza
  2. Prof Lipumba
  3. James Mbatia wa NCCR Manunuzi according to Mh Halima Mdee
  Pima mawazo yao before CCM and after CCM..........
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Halafu wakisema JF ni ya CDM watu mnakuja juu, wakati uthibitisho uko wazi wazi
   
 4. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ndio vision na focus yao, adopting mazuzu wasioweza kuhoji.
   
 5. k

  kakini Senior Member

  #5
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  JAMII FORUMS SIO YA CHADEMA wewe brainless naona huna hoja na upo kichama zaidi jamii forums ni mtandao wa watu wwlio elimika na wenye uwezo wa kufikiri na kupembua uchafu na uozo wa mtu flani, jambo flani , chama flani au kiongozi flani ingawa wanaCCM mnaona mnaandamwa nyie kwakuwa mmeoza katika utendaji wenu kiutendaji ni kiakili mpo chini sana.

  CHADEMA haimiliki Jamii forums ila watu walio kwenye huu mtandao wanakipa hadhi kutokana na watu walioko chadema, utendaji wao wa kazi uwezo wao wa kufikiri na vilevile umakini wao katika swala la maendeleo ya nchi kwa ujumla.

  Kama Jamii forum ni Ya CHADEMA wewe unatafuta nini humu ndani waache wana chadema wabaki wenyewe toa kihereher chako peleka kwa mazuzu wenzako wewe unaejiita GENIUS BRAIN hauna maana hata chembe:sleepy:
   
 6. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Channel ten wametangaza katika taarifa ya habari asubuhi hii.

  Mkuu wa mkoa wa Mara amemkamata diwani wa Chadema katika kata moja wilayani Serengeti akiwa anamiliki bunduki AK47 kinyume na sheria. Alikiri kwamba yeye na ndugu zake wamekuwa wakimiliki

  Alichukuliwa kutoka kikao cha madiwani akahojiwa na kukiri. Kisha akawapeleka kwenda kuwaonesha mahali alipoifukia
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kama viongozi mazuzu unategemea wanachama watakuwa weledi lazima nao wawe mazuzu tu
   
 8. k

  kakini Senior Member

  #8
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  so unataka tufanyeje?????
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Assume JF ni ya chadema afu mtengeneze forum yenu pia!
  Damn
   
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tufanye tu iwe ya chadema,kwani ni kosa chadema kuwa na forum au chombo cha habari?
  Mbona sijasikua watu wakilalamika eti Uhuru,tbc ni vya ccm?

  Waache waanzishe forum yao pia,nitakua wa kwanza kujiunga huko kama hawataifunga siku mbili tu
   
 11. k

  kakini Senior Member

  #11
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  speaker katiak hali ya kawaida CCM hakuna dira wala uwelekeo wowote kolimba si alshawaambia???? CCM HAKUNA DIRA
  wafuasi wengi wa CCM ni wasiojua kinachoendelea na ndio maana wanawabeba na mabasi kuwapeleka kwenye mikutano yao na wanatumia UMASIKINI NA UJINGA ILI KIENDELEE KUWATAWALA kwanini katika mkutano wengi wao ni watu wasio makini wenye uelewa mdogo njoo uongee na sisi watu makini kama kweli wewe ni MWANA CCM makini
   
 12. k

  kakini Senior Member

  #12
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  brainless angalia post zake zote ni za kama mtu ambaye ........................ anjua mwenyewe condition ya kichwa yake
   
 13. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nasisitiza.................

  CCM ni Mazuzu
   
 14. Z

  Zhu Senior Member

  #14
  Apr 17, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JF ni ya Chadema. Ofisi zao ziko Ilala Dar. Box 4203. Simu 0713444649.
   
 15. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mkuu agiza kinywaji bil lete kwangu!
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Apr 17, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  tumekubali ni ya CDM, na nyie CCM kaanzisheni yenu ya mazuzu!
   
 17. p

  plawala JF-Expert Member

  #17
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siyo ya Chadema,ila haiendani na wajamaa ambao wanatumia viungo vingine kufikiri badala ya ubongo,wajenga hoja wanakubalika,waungwana wanakubalika,wajasiri wanakubalika,wazalendo wanakubalika...............
   
 18. Z

  Zhu Senior Member

  #18
  Apr 17, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chadema ndo Mazuzu kwa kuwa na kiongozi mmoja tu anayetegemewa. CCM ni ya wengi any can lead but not Chadema.
   
 19. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #19
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Siyo kweli kuwa CCM wote ni mazuzu, akitoka mtu CCM akija CDM uzuzu utakwisha? Ni imani yangu saizi watu wamechoka CCM hivyo wanatafuta unafuu na unafuu huo umeindokea CDM baada ya kuonyesha inaweza. Mbona Mpendazoe alipoanzisha CCJ alionekana mtu asiye na uelekeo lakini alipojiunga CDM anaonekana mtu makini. Achana na huyo yupo yule mwanamashairi Shibuda mbunge wa CDM msukuma pekee mwenye tambo na mbwembwe nyingi mbunge wa Shinyanga ni zuzu japo yupo CDM? Alikiponda chama chake pale bungeni kama amepata wazimu, mbona hamsemi. Tuache ku generalize hoja very likely conclusion ikawa mbovu. Ni mtazamo tu.
   
 20. Bepari

  Bepari JF-Expert Member

  #20
  Apr 17, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 814
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 60
  Heeeh! Hata wewe umeelimika na una uwezo wa kufikiri na kupembua mada! Tena hauko kichama zaidi?
  Well i dont think so, labda kimatusi zaidi...
   
Loading...