Katika utafiti wangu nimekuja kuona ccm wanachama wengi wa ccm na viongozi wao wapo kimaslahi yao na hawana jipya la kufanya kimaendeleo.
Karibia wote ni vilaza wanaopewa nafasi kubwa serikalini ndio maana wanasababisha matatizo makubwa kama ufisadi, na maisha magumu yanayowakabili wananchi wengi kwa sasa.
Wamekuwa wakikimbilia cheap popularity kwa watu wasio na uelewa wa mambo yanavoenda mbona hawawezi kutoa tathmini ya mandeleo wanayoyafanya mbele ya watu wanao fatilia na wasomi kwa ujumla.
Mimi binafsi naona ni ukomo wao maana zama zao zilikuwa za kuongoza watu walio gizani. Kama sasa wanalalamika wanavyuo kuwazomea je walipozomewa na wananchi wa ubungo wakati wametoka sijui kutoa magamba yao wale walikuwa ni wanachuo????
Ccm mmekwisha hakuna mnalolifanya kwa sasa zaidi ya kutuletea matatizo kila siku. Mnaposema jamii forums inawachafua kwani inaandika uwongo???
Chadema wanapowapinga wanakosea????
Kwa kweli nyie sio siri ni mabogas mlio pitiliza