- Thread starter
- #41
Kunywa Spaletta baridi hapo kwa mangi, nitalipa. Huo ndiyo ukweli mchungu ninaousema kila siku humu.
Tunataka Katiba mpya lakini si kwa kuongozwa na CHADEMA ambayo haina haiba ya kupokezana madaraka, demokrasia na Katiba inayoeleweka
Ni jambo la kheri kuwa hata wewe kumbe unataka katiba mpya.
Ni ukweli wa wazi kuwa hakuna aliye na akili asiyeona umuhimu wa katiba mpya dhidi ya iliyopo iliyoandikwa na wazee wachache wa CCM 1977.
Bahati mbaya kwako hujui kwa nini unataka katiba mpya, ambao huo ni ugonjwa usiokuwa na dawa.
Tunajipanga na tunakuja. Utake usitake Chadema itatufikisha kunako katiba tunayoitaka, katiba ya wananchi.
Hiyo ndiyo habari yenyewe.
.