Kwanini CCM wanatuita SACCOS?

Kwanini CCM wanatuita SACCOS?

Akili zimeanza kuwajia..unyumbu unawatoka.

Tangu lini kujifunza kutokana na makosa ikawa issue?

Uanaharakati ndiyo njia pekee ya kuipata katiba ya wananchi

Tunataka katiba mpya. Tumekifahamu kilicho tuchelewesha:

Wewe kama mtanzania tembea kifua mbele sasa. Hatuko mbali tena:

1. Minyukano ndani ya CCM haitusaidii kwenye madai yetu ya katiba mpya.
2. Mwendazake hayupo tena, makando kando yake tuhangaike nayo kwenye "haki na maridhiano" baada ya katiba mpya.
3. Agenda zetu ni za kudumu si marafiki.
 
Mkuu angalau wewe una akili sasa.
Chadema wengi ni mabingwa wa kutukana na huwa hawataki kukosolewa na kuambiwa ukweli.
Akitokea mtu akawa tofauti na mawazo yao,hata kama ni kwa nia njema basi watamshambulia na matusi ya kila aina...hawapendi kushauriwa.
Hii ilikifanya kiwe chama cha hovyo,,,,ila mkienda kwa akili hii ya kujenga hoja na mfumo imara basi mtavutia watu wengi kuingia huko,hata tusio na vyama.
 
Mkuu nakushukuru kwa uelewa. Hata hivyo tambua kuna tofauti kubwa baina ya wana chadema na wajumbe au mashabiki mitandaoni:

Watambue Wanachama wa Vyama Mitandaoni

Kimsingi kama Chadema matusi si agenda yake.

Tunataka katiba mpya. Hilo kwenye matusi au yasiyohusika halimo.

Tunajua kuwa katiba mpya iko hapa:

Uko sahihi kabisa, hata hapa Jukwaani kusema lolote tofauti na haya mavyama utaoga mitusi sana, hawa jamaa na mavyama yao sisiemu na cdm wanadhani wanaakili kuliko watu wote hapa jukwaani
 
Akina mdude ni wanachadema,wajumbe au mashabiki?
Binafsi huwa nakiona chama cha hovyo na cha kihuni kutokana na watu waliopo humo.
 
Kabisa yaani.
Mimi nishawahi kuogeshwa matusi na hizo timu zote mbili,ukikosoa cdm wanakupachika uccm na kuanza kumwaga matusi.
Ukikosoa ccm akina bia yetu wanaanza kukushambulia na kukupachika ubavicha.

Upuuzi wa hii mivyama imewafanya wawe kama mazuzu.
Wananchi tunakosa upande wa kufungamana nao.
 
Na nikama huwa wanaitana kabisa, huwa hawajadili hoja ila "personal attack "
 
Nadhani matusi ya kwenye Siasa yapo pande zote

Matusi ya mashabiki mitandaoni hizo si ni kelele za chura tu mkuu?

Ila huyu si chura:

IMG_20210704_225616_761.jpg

Au nasema uongo ndugu Chukwu emeka
 
Akina mdude ni wanachadema,wajumbe au mashabiki?
Binafsi huwa nakiona chama cha hovyo na cha kihuni kutokana na watu waliopo humo.

Hudhani wengine utawaonea bila kuwaangazia hawa wa majukwaani wenye dhamana?

IMG_20210704_143127_720.jpg

Matusi kama haya yana dhamana na mwenyekiti wa chama. Au siyo?
 
View attachment 2061743

Matusi kama haya yana dhamana na mwenyekiti wa chama. Au siyo?
Nimeiongelea chadema kwa sababu wewe ni mwanachadema.
Akija wa ccm pia nitamuuliza hilo swali.

Hebu jengeni chama bwana,ifike mahala msiendeshwe na upepo na mihemko.
 
Na nikama huwa wanaitana kabisa, huwa hawajadili hoja ila "personal attack "

Mkuu unasemaje kuhusu hawa:

IMG_20210704_143127_720.jpg

Haiwezekani huyu kuwa katumwa na mwenyekiti?

Huyu aliyetumwa na mwenyekiti anakifanya chama kizima kuwajibika. Au siyo?

Si Mbowe, Lissu, Heche, Mnyika nk wala Chadema anayeweza kuhusishwa na matusi yoyote na popote.

Chadema wanataka katiba mpya hilo halihusiani na matusi.
 
Nimeiongelea chadema kwa sababu wewe ni mwanachadema.
Akija wa ccm pia nitamuuliza hilo swali.

Hebu jengeni chama bwana,ifike mahala msiendeshwe na upepo na mihemko.

Nipende kukazia:

Matusi si sera za Chadema. Matusi hayakubaliki bila kujali yanatokea wapi.

Ni nia yetu kubakia katika hoja za msingi ambazo ziko wazi.
 
Cha kushangaza ni kwamba unakuta mtu anatukana matusi ila huku nyuma yake watu wanashangilia na wanajaza kichwa.

Ninakusoma mkuu ila kelele za chura ni sawa na kelele za mlango tu.

Tatizo ni matusi majukwaani.

Haya ya mitandaoni mbona yako kwenye range za ma mods tu mkuu?
 
Napenda nijue kwanza hao CCM kwanini wanakiita Chadema SACCOS, halafu tuangalie kama kweli hoja zao zina msingi, mimi binafsi huwa nawaona wanaimba tu mapambio yao waliyokaririshwa yasiyo na maana.

Siamini kama chama cha siasa tena zaidi CDM kikiwa na sifa ya kuwa SACCOS kitaachwa kiendelee kuwepo na msajili wa vyama waliyempa kila aina ya sheria za kuwashughulikia Chadema.
 
Ninadhani hii ni kwa sababu ya kupoa mno baada ya mwamba kukamatwa.

Ninadhani ni kwa kuamini kuwa tuna mpambanaji mmoja tu ndani ya nchi. Kuwa bila huyo wengine wala si mali kitu tena.

Ninadhani ndiyo maana wakamkamata Mh. Mbowe. Lengo lao bila shaka ni kuendelea kumshikilia kwa muda mrefu kadri iwezekanavyo ili kutusambaratisha kabisa (kwa mawazo yao):

Mbowe: Kwanini atashikiliwa kwa Muda Mrefu

Chama cha siasa kina amsha amsha zake.

Chama cha siasa kina agenda zake.

Tumekaa kimya kwa kina Mwingira, Shoo, Mzee wa Upako, hata Polepole. Tumeshindwa hata kutoa matamko ya mshikamano.

Kwa msimamo wa Tutu tumechagua upande wa oppressor.

Ninadhani misingi yao ya jina hilo haipo mbali na humo. Kwa hakika kwa mtizamo huu tuna homework ya kufanya.

Angalia comment #6 toka kwake bwana Sang'udi.

Ninadhani inaakisi mawazo hayo.
 
Chadema ilijikita katika kuwasikiliza watu wachache sana,, wengi wamekuwa ni wapiga kelele tu ambao hawana makali yoyote...(saccos kwa sababu mwenyekiti ndio amekuwa chama,,kama hivi yupo cello mambo kibao yamesimama)

Viongozi pia wenye misimamo ni wachache,, wengi ni mileage tu za kisiasa,, sisiemu wakifika bei wananunulika.

Wananchi nasi bado tumekuwa waoga kabisaa,, tunasubiri tu kuwazika mashujaa,,hakuna anayetaka kuwa front..

Ukombozi utachukua miongo mingi sana kufanikiwa....
 
Katiba Mpya, Uongozi wa Kitasisi na Demokrasia ya kweli inapaswa kuanzia ndani ya CDM kabla ya kuhangaika na nchi.
Kunywa Spaletta baridi hapo kwa mangi, nitalipa. Huo ndiyo ukweli mchungu ninaousema kila siku humu.

Tunataka Katiba mpya lakini si kwa kuongozwa na CHADEMA ambayo haina haiba ya kupokezana madaraka, demokrasia na Katiba inayoeleweka
 
Back
Top Bottom