zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 22,910
- 36,857
Hivi hii kampuni ilifia wapi? Ilikua active sana miaka ile ya 2000s.Nilipomwona Seth Singh pale Mlimani City nikamkumbuka Seth Mwamoto wa Majembe Auction Mart
Iringa ni chimbuko la Wajanja wote wa Tanzania πππ
Lissu anafanya nini magereza??Siyo kwamba CCM wanatamani CHADEMA ife, bali CHADEMA imeshakufa, saa hizi wametandika mikeka na tanga anaanua tarehe 29/ 10/ 2025
Yono alimzidi spidi akamnyangβanya kazi zote za SerikaliHivi hii kampuni ilifia wapi? Ilikua active sana miaka ile ya 2000s.
THE FALL OF CCM 1995-2025.Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kupita, harakati za kuisambaratisha CHADEMA zimekuwa nyingi.
Ingawa sasa harakati hizo zimechukua mkondo mwingine na kuwa za kiwango cha juu, lakini ni jambo ambalo limeshazoeleka na kuwa sehemu ya siasa zetu Tanzania.
Nakumbuka wakati fulani Mzee Steven Wassira wakati huo akigombea ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, alisema achaguliwe kwa kuwa anao uwezo wa kuiua CHADEMA.
Kwani CCM itafaidika nini kama CHADEMA itakufa na uwepo wa CHADEMA unaleta kikwazo gani kwa CCM?
Ilifilisiwa na Prof mmoja wa UDSM kesi ya madai na fidia baada ya gari yake kukamatwa wrong parking.. Alikwenda mahakamani na kushinda kesiHivi hii kampuni ilifia wapi? Ilikua active sana miaka ile ya 2000s.
Chadema haiwezi kufa kwa kesi Uchawara mnazo mpaka Lissu chadema itakufa endapo mwananchi wakipata maji safi na salama wanafunzi wakipata Madawati ya Kutosha Ambulance zikipatika kila hospital na zahanati za kutosha kipindi ambacho wananchi waatacha kulipia maiti hospital wakati rais ana nunua magoli kipindi ambacho ubabaishiji uatisha serikalini watu hawana shida na Chadema ila chadema inawasemea wale ambao hawana huwezo wa kusema kiufi chadema ni Voice of voicelessSiyo kwamba CCM wanatamani CHADEMA ife, bali CHADEMA imeshakufa, saa hizi wametandika mikeka na tanga anaanua tarehe 29/ 10/ 2025
Mbowe si mlisema ni Gaidi ujinga kama huu ulioandika hapa tumeuzoeaTangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kupita, harakati za kuisambaratisha CHADEMA zimekuwa nyingi.
Ingawa sasa harakati hizo zimechukua mkondo mwingine na kuwa za kiwango cha juu, lakini ni jambo ambalo limeshazoeleka na kuwa sehemu ya siasa zetu Tanzania.
Nakumbuka wakati fulani Mzee Steven Wassira wakati huo akigombea ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, alisema achaguliwe kwa kuwa anao uwezo wa kuiua CHADEMA.
Kwani CCM itafaidika nini kama CHADEMA itakufa na uwepo wa CHADEMA unaleta kikwazo gani kwa CCM?
chorus tu ilaa CHADEMA kwishney. Kuna chama kiliitwa NCCR na CUF na nyinyi manelekea hukohukoMbona unaandika kama vile CHADEMA Iko hai wakati wewe ulisema ilishakufa? Au unaandika huku unaendesha baiskeli ya mitano tena?
Usiposhiriki uchaguzi ni sawa na umekufa. Ujanja mwingi mbele gizaChadema haiwezi kufa kwa kesi Uchawara mnazo mpaka Lissu chadema itakufa endapo mwananchi wakipata maji safi na salama wanafunzi wakipata Madawati ya Kutosha Ambulance zikipatika kila hospital na zahanati za kutosha kipindi ambacho wananchi waatacha kulipia maiti hospital wakati rais ana nunua magoli kipindi ambacho ubabaishiji uatisha serikalini watu hawana shida na Chadema ila chadema inawasemea wale ambao hawana huwezo wa kusema kiufi chadema ni Voice of voiceless
wameiua waropokaji wasiokuwa na chembe ya hekimaWanaotaka kuiua chadema ni Dola Wala sio hao uliowatajΓ mkuu...
Kwa hiyo Lissu ni mzoga?Sawa mkuu imekufa basi wamuachie Lissu maana sijawahi sikia mzoga unafungwa jela.
Anasubiri hatma ya kesi ya uhainiLissu anafanya nini magereza??
wala sio Dola, Dola inatumiwa kama zana. kuna genge la kina msoga gang &rost tamu a. K. a wahuni ndio haswaaa adui wa taifaWanaotaka kuiua chadema ni Dola Wala sio hao uliowatajΓ mkuu...
Si ww umesema chadema imekufa sasa hii kumfunga lissu, kuzuia shughuli za chama, kumtengua mnyika n.k ni za nini na chama kimeshakufa?Kwa hiyo Lissu ni mzoga?
Mchezo wa siasa hauhutaji hasira. Just be humble, na hicho ndiyo hao watu wenu wamekosaSi ww umesema chadema imekufa sasa hii kumfunga lissu, kuzuia shughuli za chama, kumtengua mnyika n.k ni za nini na chama kimeshakufa?
Chadema haifanani chochote na hivyo vyama viwili. Ni tishio hata kama haishiriki uchaguzi maana ndio ina washabiki na wanachama wengi nyuma tu ya CCM.chorus tu ilaa CHADEMA kwishney. Kuna chama kiliitwa NCCR na CUF na nyinyi manelekea hukohuko
Usiposhiriki uchaguzi ni sawa na umekufa. Ujanja mwingi mbele giza
Mbowe was humble mbona mlimpa kesi ya ugaidi?Mchezo wa siasa hauhutaji hasira. Just be humble, na hicho ndiyo hao watu wenu wamekosa
siasa saf ndo kila kitu,Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kupita, harakati za kuisambaratisha CHADEMA zimekuwa nyingi.